Kwako Single Mother, naomba nafasi tulee huyo mtoto, nitakuwa baba bora mwenye upendo hutoamini

duh haha
 
Na Mungu akubariki katika nia yako.akupe tumain la Moyo wako akupe WA kuendana Na wewe...
 
Fulsa hizi adimu sana watakuja mkuu kila kheri
 
Kama unalifanya hili kwa nia njema na iwe kheri kwako na kwenye mipango yako.......!!

Ila kama unafanya hili kwa malengo mabaya au kudhihaki....laana ya kila chozi la atakayelia kwa ajili yako ikuandame wewe na kizazi chako......

Amen......
Yuko serious kabisa si kwamba anafanya maskhara na nina hakika atatuletea mrejesho hapa akifanikiwa
 
Ushauri wangu kwenye hili...
Kwakuwa uko serious na hili replies zote zenye mwelekeo wa kebehi dhihaka na mabezo jitahidi kuzipotezea...jitahidi sana ili ufanikiwe
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Mungu anakuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…