Kwamba Mzee Warioba, Butiku, Shivji, Bagonza, Pengo, Kitima wamelipwa kukataa Mkataba wa DP World?

Nawew the cost ....

Acha upumbafu
Watuoneshe Cha maana walichofanya Hadi wanaota mvi vinginevyo hizi sio zama za backward minded kama hao.
Just imagine Ethiopia Ili kuvutia Uwekezaji wao wanafuata kabisa import duty za Mitambo,wanatoa tax exemption nk Sasa ingekuwa hayo yanafanyika Tanzania si wangeanza kuharisha Kwa midomo?

Kuchukua mawazo ya watu kama hao ni kuendelea kuwa maskini,Samia amekataa huo ujinga
 
Pengo mnufaika wa kwanza, hao wengine wameshazeeka na wwananukuliwa vibaya na au wanaongozwa wajibu nini na waandidhi walionunuliwa.
Wezi mnajifanya mna akili sana.Mkae mkijua kuwa hata siku moja Tanganyika haitaweza kubadilishwa na mtu yeyote au kikundi chochote cha mamlaka au watu binafsi kwa misingi ya dini,ukabila,rangi na ukanda.Hata siku moja Tanganyika haiwezi kuwa Somalia au Sudan,jitahidini kufanya wizi wenu ila amani yetu msiichezee kwani Mungu kaiumba Tanganyika kwa makusudi yake.
 
Hovyo kabisa. Wewe ndiyo utakuwa umehongwa. Swala la Bandari ni nyeti mpaka kwa Usalama wa hii nchi. Halafu mnampa mwarabu indefinitely. Hao Magaidi. Sisi ni watu wazima tumebaki kushangaa huu upuuzi. Nchi ni yetu na mali ni zetu. Kwa nini wasiuze Zanzibar walikotoka? Wamekuja kutuletea umaskini na mateso ambayo vizazi vijavyo vitapata na wakati huo hakuna hata mmoja wetu atakuwa hai. Na ikitokea yupo basi hatakuwa na nguvu ya kusema. Acha wenye nguvu ya kukemea huu ufisadi wafanye. Tuko kimya si kwa kuwa tunafurahia bali ni kwa kuwa tunajua tukisema tutapoteza.
 
Hii inabadilishwa kila baada ya bajeti. Je mkataba unaweza badili. Fiscal policy hiyoo.
 
Ni maana pana ya vita ya kiuchumi. Kwanini Waziri Mkuu wa sasa ameutetea mkataba huu akiwa msikitini?.

Yeye ni mtendaji mkuu wa serikali na anaelewa kila kinachoingia na kutoka serikalini. Anajua namna wanavyoingia hasara kwa kuruhusu foleni za meli pale nje ya bandarini wakati wa kuingia.

Hao wazee upo uwezekano hawajui kwa kina mkataba umekaa vipi na unakwendaje kubadilisha kabisa utendaji wa kazi wa kimazoea ndani ya bandari, wameongea kama wanasiasa wanaotoa maoni kwenye suala wasilo na ufahamu nalo kwa asilimia mia moja.

Ni sehemu ya ugumu wa vita ya kiuchumi, kwani inatumika media kupotosha na wanaopotosha wanakuwa ni watu wenye kuheshimiwa na jamii.

Nawaonea huruma sana waagizaji na wauzaji wa bidhaa wanaotumia bandari ile kila siku. wanakosa watetezi hivyo hawa mafisadi na wezi wa hapo bandarini wanataka kuwapotezea nafasi ya kuboreshwa kwa huduma yao kupitia huu uwekezaji wa DPW.

Umekuwa ni mjadala ulioingiliwa na wanasiasa na mafisadi wamejificha nyuma ya kila kinachoendelea. Rais SSH ni mpole na anao uwezo wa mapambano ya kimkakati, naamini serikali itashinda.
 
Haihitaji akili kuyafahamu hayo, huwezi kulia maumizu kama hujaumizwa.

Sijuwi kama unaelewa mana ya "hurt hurt". Usidhani nimekosea na kuandika neno moja mara mbili, hapana, ndiyo sentensi yenyewe hiyo "hurt hurt".
 
Mimi nikiwa mjinga, wewe utakuwa MPUMBAVU, tena hata uchizi utakuwa unao tayari.

Haya sasa, kama unataka kwenda huko, nipo tayari kabisa.

Huyo mama ndiye chimbuko la ufisadi, sasa kashikiliwa na genge, anachezea hata uhuru wa nchi yetu.
Uhuru wa nchi yako ni siasa potofu na nyepesi za kujaribu kupinga uwekezaji wa DPW. Mnawakera sana wafanya biashara wenyewe wanaotumia bandari ile kila siku, kwa kifupi mnawacheleweshea mabadiliko ya ufanisi mzima wa kazi yao kwa siasa zenu za kulipwa pesa na wezi wachache pale TPA.
 
Hao ni Akina wallstreet ndio wapo nyuma ya dp world. Fuatilia nani ninani dp. Wasap hawezi kubali mwarabu atawale transportation corridors bila maslahi. Utashangaa the first ceo atakuwa nani pale?
wala siwezi kulibishia hilo.
 
Werevu mwingi mbele giza.
 
Wewe ni nani mpaka uongee maneno haya tofauti na speaker wa Bunge la JMT aliyepitisha huu mkataba na kwa maneno yake mwenyewe Speaker Dr. Tulia alisema Bunge limeupitisha MKATABA?
Ni azimio la makubaliano ya uwekezaji. Mikataba inakwenda kusainiwa baada ya azimio hilo kuwa limeshapita bungeni.

Imepitishwa IGA bungeni na inatoa baraka ya kupitishwa mikataba ya kibiashara HGAs.
 
Hizo zote ni tuhuma zilizotengenezwa kwa kufikirika ,zenye kutoa watu kwenye hoja ya mkataba urekebishwe ili DPW apewe kazi la sivyo mkataba uvunjwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…