Kwamba naye mkuu wa muhimili fulani anawekwa pembeni?

Kwa Kwa hiyo wa Burundi amestaafu siasa kweli au naye alistaafishwa kwa Mzee wa Mafaili kiaina maana Diblo alikua ametunzwa hata angerudi mkate asingeupata ..
Februari si tuliambiwa kuwa amaehidi kanafasi flani alikung'utwa ka Olomide tu small hata haka hurt...Ila yule Oili chafu sidhani kama ana uhakika wa kurudi maana wataenda kuwekeana kiumangula huko bungeni na Sterling.
 
Giningi pagumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…