Kelvin X
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,940
- 2,401
Hii dunia dawns was always right, survival of the fittest. Just work hard be creative ndio rule of lawNdio maana nikasema practically hakuna 100 percent socialism au 100 percent capitalism ni mixed economies
Mimi sina neno na kila Bill Gates au Tesla, Google, Amazon kuleta innovation na kufaidika na nguvu zao, ila hio ni tofauti na kusema huu mgodi ni wangu au hili ziwa ni langu au hiki kijiji chote ni changu sababu babu yangu aliniachia thus hakuna mtu kulima hapa au kuchota maji
Tatu maendeleo ya hawa mabepari wamepiga hatua kwa marginalizion ya watu au nchi fulani in a competitive world watu wanaenda kwenye nchi za mbali na kuwanyonya na kuharibu mazingira kuweka sumu ili tu wapate faida for their shareholders
By the way current innovation nyingi zimetokea kwenye army sababu ya investment kubwa pia nyingine mfano graphical user interface (iliyopita kwa apple mpaka windows) ilitokea kwenye research ya vyuo vikuu kwahio innovation is pushed by investments na mara nyingine ni state money au big corporations inayosaidia hizo research and developments