Kwangu mimi hiyo ndiyo hotuba ya maana kuliko zote zilizopata kuhutubiwa na Hayati mzee Nyerere

Ndio maana nikasema practically hakuna 100 percent socialism au 100 percent capitalism ni mixed economies

Mimi sina neno na kila Bill Gates au Tesla, Google, Amazon kuleta innovation na kufaidika na nguvu zao, ila hio ni tofauti na kusema huu mgodi ni wangu au hili ziwa ni langu au hiki kijiji chote ni changu sababu babu yangu aliniachia thus hakuna mtu kulima hapa au kuchota maji

Tatu maendeleo ya hawa mabepari wamepiga hatua kwa marginalizion ya watu au nchi fulani in a competitive world watu wanaenda kwenye nchi za mbali na kuwanyonya na kuharibu mazingira kuweka sumu ili tu wapate faida for their shareholders

By the way current innovation nyingi zimetokea kwenye army sababu ya investment kubwa pia nyingine mfano graphical user interface (iliyopita kwa apple mpaka windows) ilitokea kwenye research ya vyuo vikuu kwahio innovation is pushed by investments na mara nyingine ni state money au big corporations inayosaidia hizo research and developments
Hii dunia dawns was always right, survival of the fittest. Just work hard be creative ndio rule of law
 
Ujamaa wa Nyerere aliuandika mwenyewe katika kitabu chake cha UJAMAA - Essays on Socialism. China hawana kitu hicho sasa hivi. Walikuwa nacho wakati ule wa Cultural revolution ya Mao Zedong na alivyokufa wakautupa. Ndiyo baadaye viwanda vingi vya Ulaya na Marekani vikaenda kuwekeza kule China na kupaisha uchumi wao.
Ningependa kukuhakikishia kuwa kilichofanya viwanda vingi vya Ulaya na Marekani vikaenda kuwekeza China siyo tu kufariki kwa Mao, ni gharama ndogo za uzalishaji na faida kubwa waliyokuwa wamehakikishiwa. Mwanzo Wachina mishahara yao ilikuwa midogo sana, kodi zao zilikuwa ndogo sana ukilinganisha na kwao Ulaya na Marekani. Wakahamishia viwanda kule na bidhaa walizozalisha China zikaweza kusafirishwa na kuuzwa kwa bei rahisi kwenye zile zile nchi zao walikotoka. Mchezo huu makini wa Mchina ulileta maendeleo ya haraka sana kwa China, ie. Transfer of Technology, Skills and Assets nk. nk. Wasomi wengi na hata wastaafu wa nchi za ulaya na marekani walihamia China kuwekeza. Imagine mstaafu katika kiwanda kama cha kuunda magari anachukua mafao yake anaenda kuanzisha kiwanda China na anafanikiwa, huo ni mfano mmoja au mdogo tu.
 
View attachment 2056609

Mzee Nyerere alijaaliwa hekima na busara za pekee mno na mwenyezi Mungu.

Ukiisikiliza hotuba hiyo hapo juu kwa mfano ni wazi unaona u Walimu wake kwenye muktadha wa kuonya,kuelekeza na kutabiri yawayo huko mbele ya safari.

Mengi kama si yote aliyopata kutuasa mzee wetu yule yalitimia ama yanaendelea kushuhudiwa.

Kwangu mimi hiyo hapo juu ndiyo hotuba yenye darasa zuri mno kwa mwanafunzi yeyote awaye atakaye kuja kuwa kiongozi wa Nchi yetu.

RiP mzee wetu.
Udini na ukabila ni kitu mbaya mnooo! Nireteeeeni gwajimaa!!
 
Mbili kati ya kampuni tano kubwa duniani kwa mapato ni state owned (China).

1. State Grid
2. China National Petroleum
3. Sinopec Group
4. China State Construction
5. ICBC
Hizi ni kampuni tano kubwa China zote zinamilikiwa na serikali ya China 100%. Huu ni ubepari gani?
Akili huna,hata Tzn inaweza nunua hisa za voda 100% lakini uendeshaji wa kampuni ukawa typical market oriented with greedy in accumulating wealthy.

Pili kama hakuna kuingiliwa na state kwenye management ya makampuni lazima yalete faida ila kama yanavyofanyika hapa Tzn mara serikali ichukue pesa,iamrishe nini mara iweke makada ,kwa upuuzi kama huo no efficiency hata kidogo ndio maana yanaleta hasara.
 
Ningependa kukuhakikishia kuwa kilichofanya viwanda vingi vya Ulaya na Marekani vikaenda kuwekeza China siyo tu kufariki kwa Mao, ni gharama ndogo za uzalishaji na faida kubwa waliyokuwa wamehakikishiwa. Mwanzo Wachina mishahara yao ilikuwa midogo sana, kodi zao zilikuwa ndogo sana ukilinganisha na kwao Ulaya na Marekani. Wakahamishia viwanda kule na bidhaa walizozalisha China zikaweza kusafirishwa na kuuzwa kwa bei rahisi kwenye zile zile nchi zao walikotoka. Mchezo huu makini wa Mchina ulileta maendeleo ya haraka sana kwa China, ie. Transfer of Technology, Skills and Assets nk. nk. Wasomi wengi na hata wastaafu wa nchi za ulaya na marekani walihamia China kuwekeza. Imagine mstaafu katika kiwanda kama cha kuunda magari anachukua mafao yake anaenda kuanzisha kiwanda China na anafanikiwa, huo ni mfano mmoja au mdogo tu.
Sawa lakini hata sisi tungefanya kazi viwandani kwa gharama ndogo na faida kubwa wangepata kama Nyerere angekubali. Tena sisi tuko karibu na Ulaya zingewapunguzia gharama za usafirishaji. Tunajaribu kufanya sasa hivi lakini tumechelewa sana.
 
Akili huna,hata Tzn inaweza nunua hisa za voda 100% lakini uendeshaji wa kampuni ukawa typical market oriented with greedy in accumulating wealthy.
Kwenye ubepari wa kweli hakuna 100% state owned wewe kilaza.
Pili kama hakuna kuingiliwa na state kwenye management ya makampuni lazima yalete faida ila kama yanavyofanyika hapa Tzn mara serikali ichukue pesa,iamrishe nini mara iweke makada ,kwa upuuzi kama huo no efficiency hata kidogo ndio maana yanaleta hasara.
Itawezekana vipi serikali kumiliki 100% bila kuwa mwamuzi?

Umeletewa kampuni kubwa tano za serikali ya China, mbili zikiwa kwenye top 5 duniani. Unataka kusema hazina efficiency, ziliwezaje kuwa na mapato makubwa duniani?
 
Sawa lakini hata sisi tungefanya kazi viwandani kwa gharama ndogo na faida kubwa wangepata kama Nyerere angekubali. Tena sisi tuko karibu na Ulaya zingewapunguzia gharama za usafirishaji. Tunajaribu kufanya sasa hivi lakini tumechelewa sana..
Hapo unazungumzia mazingira, mikataba isiyo ya unyonyaji, uwazi, Kuondoa ufisadi, rushwa, uwajibikaji. Ndio Mzingira JPM aliyojaribu kuyaweka kwenye mikataba ya madini na pengine.

Angalia mkataba wa gesi, mazingira ya bandari ya Bagamoyo, vitu vinavyoendelea bandari ya Dar kwa sasa. Mazingira biashara.
 
Akili huna,hata Tzn inaweza nunua hisa za voda 100% lakini uendeshaji wa kampuni ukawa typical market oriented with greedy in accumulating wealthy.
Mkuu mbona unaongea vitu ambavyo havipo; Ukinunua shares 100% Kampuni ni yako na una say percent 100; Ndio China ni socialist country with market economy State owned haimaanishi kupata hasara bali inahakikisha zaidi welfare ya mwananchi kama state inaweza kuongeza mapato kwa niaba ya wananchi hata pesa za miradi zinapatikana zaidi pia inapelekea kupunguzia watu mzigo wa kodi na kufakisha miradi (more money in their coffers) State owned haimaanishi kuweka watu wasiojua kazi wala haimaanishi hakuna auditing companies ili kucheki makosa yamefanyika wapi (tusisingizie shortcomings za utendaji na Taasisi duni kwamba ndio features za State owned)

Private owned ni kwamba zile pesa zinazopatikana ni uamuzi wa aliyepata kama azifiche Canary Islands, au aongeze mansion nyingine kumi au aamue kuhama kabisa nchi na kuwekeza pengine au kuwatisha Serikali msiponipa ruzuku nafunga kiwanda....
Pili kama hakuna kuingiliwa na state kwenye management ya makampuni lazima yalete faida ila kama yanavyofanyika hapa Tzn mara serikali ichukue pesa,iamrishe nini mara iweke makada ,kwa upuuzi kama huo no efficiency hata kidogo ndio maana yanaleta hasara.
Narudia tena too big to fail hizi big private sectors zinazochukua haya makampuni zikifail Serikali comes to the rescue (kodi zako) ili zisife sababu zikifa uchumi wa nchi unaweza tetereka (sort of blackmail) alafu unaongelea pure laizer faire hata huko nchi za watu so called mabepari kuna sheria kama minimum wages n.k. sasa in the world of supply and demand kwanini upangie watu cost of labor ?

Pure capitalism its all about profits kwahio kama Burundi wanaweza kuwanyonya kwa kufanya kazi kwa kuwalipa senti mbili usitegemee kama Dangote atabaki Tanzania, kesho tu anaweza kufunga kiwanda chake kuhamia Burundi (Wakati state owned inaangalia pia cost ya wellness ya watu wa pale huenda ikatafuta another scenario) tubaki Tanzania kwa kupata faida ya sumni na watu kupata ajira kuliko twende Burundi tupate faida ya Tshs 1
 
Sawa lakini hata sisi tungefanya kazi viwandani kwa gharama ndogo na faida kubwa wangepata kama Nyerere angekubali. Tena sisi tuko karibu na Ulaya zingewapunguzia gharama za usafirishaji. Tunajaribu kufanya sasa hivi lakini tumechelewa sana.
Wewe China is the Industry of the World kwa sasa kutokea utamaduni wao mpaka uchapakazi, kuna sehemu kama India wananchi wengi ni technical savy kwahio viwanda vinakwenda kuwekeza huko..., Pia China kutokana na watu wengi ukiweza kuteka market au product yako ikipendwa kule ni market ya kutosha...., we unadhani ukisema tu kwamba viwanda vije vinakuja ? Cost of production ya Bongo umeme wa kusua sua, watu wezi na vibaka na sound za kutosha (maneno mingi) bila kusahau red tape ambazo haziishi unadhani ni rahisi kwa viwanda kuja ?

Huku watu wanakuja tu sababu ni shamba la bibi na kusomba rasilimali na si vinginevyo (cost of production bado ni kubwa) Unahangaika ili mtu wa nje ndio aje aweke viwanda (viwanda vya kufanya nini) kwanini wewe usibangue korosho zako mwenyewe na uuzie wananchi wako mwenyewe na sio mpaka usubiri dollar ya mmarekani ili ndio anunue ?

Utagundua kwamba buying power ya mwananchi wako bado ni ndogo sana kwahio mzizi wa tatizo hili sio kuweka kiwanda pekee (ukizingatia viwanda vya sasa ni automation nyingi hivyo ajira havitoi nyingi thus buying power ya mtu wako haitaongezeka sababu ya hivyo viwanda)
 
Ujamaa wa Nyerere aliuandika mwenyewe katika kitabu chake cha UJAMAA - Essays on Socialism. China hawana kitu hicho sasa hivi. Walikuwa nacho wakati ule wa Cultural revolution ya Mao Zedong na alivyokufa wakautupa. Ndiyo baadaye viwanda vingi vya Ulaya na Marekani vikaenda kuwekeza kule China na kupaisha uchumi wao.
Kwani sasa hivi bado tupo kwenye ujamaa wa mwalimu? Tuko wapi kiuchumi?
 
Wewe China is the Industry of the World kwa sasa kutokea utamaduni wao mpaka uchapakazi, kuna sehemu kama India wananchi wengi ni technical savy kwahio viwanda vinakwenda kuwekeza huko..., Pia China kutokana na watu wengi ukiweza kuteka market au product yako ikipendwa kule ni market ya kutosha...., we unadhani ukisema tu kwamba viwanda vije vinakuja ? Cost of production ya Bongo umeme wa kusua sua, watu wezi na vibaka na sound za kutosha (maneno mingi) bila kusahau red tape ambazo haziishi unadhani ni rahisi kwa viwanda kuja ?

Huku watu wanakuja tu sababu ni shamba la bibi na kusomba rasilimali na si vinginevyo (cost of production bado ni kubwa) Unahangaika ili mtu wa nje ndio aje aweke viwanda (viwanda vya kufanya nini) kwanini wewe usibangue korosho zako mwenyewe na uuzie wananchi wako mwenyewe na sio mpaka usubiri dollar ya mmarekani ili ndio anunue ?

Utagundua kwamba buying power ya mwananchi wako bado ni ndogo sana kwahio mzizi wa tatizo hili sio kuweka kiwanda pekee (ukizingatia viwanda vya sasa ni automation nyingi hivyo ajira havitoi nyingi thus buying power ya mtu wako haitaongezeka sababu ya hivyo viwanda)
Hujui unachokiongea. Cultural revolution ya China iliharibu uchumi na kuua mamilioni ya watu. Mao Zedong alifilisi nchi kama Nyerere alivyoifilisi Tanzania na Ujamaa wake. Walipoanza economic reforms na walikuwa bado masikini. Wawekezaji walianza kwenda China miaka ya 70's wakati uchumi wa China bado uko chini sana na hawakuwa na buying power ya vitu wanavyotengeneza wakati ule. Wawekezaji ndiyo waliinua uchumi wa China aliouharibu Mao Zedong. Nyerere yeye aliukomalia ujamaa wake mpaka mwisho na ndiyo maana alifeli kwenye Uchumi.
 
Kwani sasa hivi bado tupo kwenye ujamaa wa mwalimu? Tuko wapi kiuchumi?
Bado tuko nyuma sana kiuchumi kwa sababu za ufisadi, tamaa, na ubinafsi wa wale waliorithishwa nchi na Nyerere. Lakini umasikini wa leo sio kama ule wa enzi ya Nyerere. Ule ulikuwa ni kiboko.
 
Hujui unachokiongea. Cultural revolution ya China iliharibu uchumi na kuua mamilioni ya watu. Mao Zedong alifilisi nchi kama Nyerere alivyoifilisi Tanzania na Ujamaa wake. Walipoanza economic reforms na walikuwa bado masikini. Wawekezaji walianza kwenda China miaka ya 70's wakati uchumi wa China bado uko chini sana na hawakuwa na buying power ya vitu wanavyotengeneza wakati ule. Wawekezaji ndiyo waliinua uchumi wa China aliouharibu Mao Zedong. Nyerere yeye aliukomalia ujamaa wake mpaka mwisho na ndiyo maana alifeli kwenye Uchumi.
rudia kusoma nilichoandika alafu wewe unajibu nini..., mimi naongelea current things as they stand now wewe unanipeleka kwenye miaka ya 70's

China kuwa industry of the world now haimaanishi kama kesho haitabadilika au Jana ilikuwaje (haya mambo huwa yanakwenda kwa utamaduni na kubadilika polepole kutokana na mtizamo wa watu) Historically China used to be one of the innovative countries (na hapa naongelea enzi za empires) sio jana wala juzi.

Germany kuwa a powerhouse of Europe haimaanishi kesho haitakuwa Macedonia... Deep down innovations zinaendana na investments kwenye knowledge hard working and getting together for a common goal (Vyuo Vikuu au Corporations chache) zinaweza zikawa a powerhouse in innovation na nchi kuendelea kwa kuwekeza kwenye knowledge na technology..., Hata ukiwa na system nzuri kiasi gani kama watu wanaamini katika majungu, uchawi au Mungu atatuletea ni vigumu kuendelea... Sasa hivi kupiga deals / rushwa au siasa ndio inaonekana mtaji na sifa na sio innovation au ugunduzi..., kila kitu kinatengenezwa kwa soko la nje na sio kuangalia ni vipi watu wa ndani wanaweza kunufuika na hizo products...

Maybe tunahitaji kuwa emancipated from mental slavely above all else na huu uchumi kuuangalia katika household level na sio IMF inasemaje
 
Na mimi namuongelea Nyerere ambaye miaka ya 70's alikuwa madarakani na ujamaa wake. Kama aliweza kuiga sera za kijamaa za Mao Zedong kwa nini alishindwa kuiga economic reforms za Deng Xiaoping? Wawekezaji tungeanza kuwapata tangu zamani tungekuwa mbali. Tuna rasilimali, maji tele, cheap labor ni Nyerere ndiyo alikuwa stubborn.
 
Na hapo huenda ndio kuna mzizi wa fitina kichwani mwako unaamini bila mtu kutoka sehemu kuwekeza huwezi kupata chochote, ingawa wenzako hata hao China kwa kutumia some state owned companies wameweza kufanya kazi bega kwa bega na private sectors kwa manufaa ya China

Je unahitaji muwekezaji kuweka mashine ya kubangua korosho, unahitaji muwekezaji ili kununua combined harvester au kujikita kwenye precision farming( Nyerere huenda hasingeshindwa kwa technology ya sasa ambayo sio ya jana wala hakuwa na wataalamu ambao sasa hivi wamejaa na wanakimbilia kwenye siasa) Pili Makusayo hakuwanayo kama yaliyopo sasa ambayo tunatumia mtaji wa wajukuu kwa kuchimba kila kinachowezwa kuchimbwa na kupatiwa vi-mirabaha eti ndio uwekezaji...

Unahitaji muwekezaji kuweka msonge huko Serengeti ili mtalii akija kuona nature aweze kupata an African Taste ? Unahitaji kufundishwa kwamba hii gasi asilia iliyopo ya kumwaga usiuze hatimiliki bali kuipackage na kuuzia mataifa yenye uhitaji ?

In short Nyerere aliweka foundations hasingeweza kufika au kumaliza vision yake, wengine inabidi waendelee pale alipoishia..., tatizo kama taifa hatuna Dira /Vision ya wapi tunataka kufika hence tunatapatapa na kwa taarifa yako hilo unaloongelea wewe au huko unakotaka kufika ni dunia ya matabaka na gap in classes ambapo hitimisho lake huwa ni chuki baina ya Wealthy Minorities na Poorest Majorities na kama kila kitu ni Private owned hao majority hawana pa kukimbilia....
 
Na hapo huenda ndio kuna mzizi wa fitina kichwani mwako unaamini bila mtu kutoka sehemu kuwekeza huwezi kupata chochote, ingawa wenzako hata hao China kwa kutumia some state owned companies wameweza kufanya kazi bega kwa bega na private sectors kwa manufaa ya China

Je unahitaji muwekezaji kuweka mashine ya kubangua korosho, unahitaji muwekezaji ili kununua combined harvester au kujikita kwenye precision farming( Nyerere huenda angeshindwa technology ya sasa sio ya jana wala hakuwa na wataalamu ambao sasa hivi wamejaa na wanakimbilia kwenye siasa) Pili Makusayo hakuwanayo kama yaliyopo sasa ambayo tunatumia mtaji wa wajukuu kwa kuchimba kila kinachowezwa kuchimbwa na kupatiwa vi-mirabaha eti ndio uwekezaji...

Unahitaji muwekezaji kuweka msonge huko Serengeti ili mtalii akija kuona nature aweze kupata an African Taste ? Unahitaji kufundishwa kwamba hii gasi asilia iliyopo ya kumwaga usiuze hatimiliki bali kuipackage na kuuzia mataifa yenye uhitaji ?

In short Nyerere aliweka foundations hasingeweza kufika au kumaliza vision yake, wengine inabidi waendelee pale alipoishia..., tatizo kama taifa hatuna Dira /Vision ya wapi tunataka kufika hence tunatapatapa na kwa taarifa yako hilo unaloongelea wewe au huko unakotaka kufika ni dunia ya matabaka na gap in classes ambapo hitimisho lake huwa ni chuki baina ya Wealthy Minorities na Poorest Majorities na kama kila kitu ni Private owned hao majority hawana pa kukimbilia....
Foundations alizoweka aliziandika kwenye kitabu chake cha UJAMAA - Essays on Socialism. Ujamaa wake ulifeli. State owned enterprises zilikuwepo pia enzi za Mao Zedong lakini hazikuwa na ufanisi na faida kama za leo. Kwa nini? Zilikuwa zinaendeshwa hovyo kama mashirika yetu ya umma enzi ya Nyerere yakafilisika. Walipoanza economic reforms walibadilisha jinsi ya kuendesha hayo mashirika ya umma. Nyerere alibakia na ujamaa wake mpaka mwisho.
 
kwanza kabisa kwenye ubepari hakuna mashirika ya umma wenyewe wanashauri government kuwa na very minor play....

Pili kwahio kuna kanuni ya kijamaa ya kuendesha mashirika ya umma kwamba yasiwe na ufanisi ? Kuna checks and balances kuna makampuni ya auditing n.k. kuhakikisha mali ya UMMA haifujwi sasa kwa watu kufuja mali sio sababu ya mfumo bali utamaduni wa watu husika (ambapo bora kipindi cha Nyerere sasa hivi kupiga deals na kujichotea mali ya UMMA ndio ujanja wakati zamani ilikuwa aibu)

Kwa Ufupi Uchumi na kuendesha nchi is a complicated thing kitu ambacho Socialists wengi wa mwanzo walikosea ni kudhani they can plan it yaani kupanga bei n.k. jambo ambalo limekuja kuonekana market is a good determinant ya kufanya hivyo bila kulazimisha thus pamoja kuwa na enterprises ambazo ni za UMMA lakini hizi nazo zinacompete katika soko na zilizopo na sio kulazimisha monopoly kwa kuua private owned companies haya mambo unayoita ya Nyerere n.k. ni ideologies tofauti ambazo ndio zilikuwa Dira / Vision za hawa wazee wetu wa kuweza kulifikisha taifa..., Kumbuka pia hawa Wazee wetu walikuwa na sera za PAN Africanism ndio maana Nyerere alitumia nguvu kubwa kuhakikisha Afrika yote inakombolewa na mwisho wa siku kuungana for common good (Umoja ni Nguvu) kwahio binafsi kuwa na Dira / Vision ni muhimu sana kwahio angalau yeye alikuwa na Vision kuliko hivi sasa hata vision hatuna....

And as things goes mifumo inabadilika huenda economic systems za sasa another few decades they will be different and improved na sikafanya kazi then ambazo zilezile zisingefanya kazi now (Mfano ubepari ungepata / ulipata shida sana kipindi trade unions na vyama vya wafanyakazi)
 
Angetukomboa kwanza sisi Watanzania kutoka kwenye umasikini kabla hajaenda kuikomboa Afrika. Kwa mfano ukombozi wa Zimbambwe ulituletea faida gani Watanzania? Leo hii unafikiri WaAfrika Kusini wangapi wanakumbuka alichofanya Nyerere kuwakomboa? Kila mtu kivyake. Umoja wa Afrika ilikuwa ni ndoto ambayo mtu yoyote mwenye kuona mbali na kusoma historia angeona isingeweza kutokea. Mataifa tuu yanasambaratika sembuse bara zima? Juhudi zake Nyerere na wanamapinduzi wenzake was waste of time, waste of money.
 
Angetukomboa kwanza sisi Watanzania kutoka kwenye umasikini kabla hajaenda kuikomboa Afrika.
Hakuna mtu mmoja anaweza kukukomboa wewe au nyie bali ni watu wote kwa kuunganisha nguvu zao with common goals ndio wanaweza kutoka point A mpaka B..., Kutuunganisha tu na kutoa misingi ya Ukabila na sasa tunaongea kama taifa moja ni msingi tosha ambaye yoyote leo au kesho anaweza kuendelea kujenga (taifa la wamoja ni rahisi kwenda mbele kuliko a disintergrated nation)
Kwa mfano ukombozi wa Zimbambwe ulituletea faida gani Watanzania? Leo hii unafikiri WaAfrika Kusini wangapi wanakumbuka alichofanya Nyerere kuwakomboa? Kila mtu kivyake.
Naam na ndio maana Afrika ni bara la giza pamoja na resources zote hizo (ubinafsi umimi, uchoyo na kuona adui yako ni binadamu mwenzako kumbe ni mazingira ambayo wote tukifanya kazi kwa kushirikiana tutaweza kuyakabili..., na hio mentality ikitoka kwenye umimi wa kidunia na mabara unakuwa kwenye umimi wa nchi na ndani ya nchi umimi wa vyama na makabila mwisho wa siku hakuna kinachoendelea (hakuna solidarity)
Umoja wa Afrika ilikuwa ni ndoto ambayo mtu yoyote mwenye kuona mbali na kusoma historia angeona isingeweza kutokea. Mataifa tuu yanasambaratika sembuse bara zima? Juhudi zake Nyerere na wanamapinduzi wenzake was waste of time, waste of money.
We either survive as a unit or perish as individuals.....Siku tukipevuka kiakili ndio tutagundua hilo; na sio Afrika tu bali Dunia nzima inabidi tuishi as a unit kwa kutegemeana
 
Naunganisha tgo gb 72 za mwaka mzima ambapo kila mwez utapata GB 6 kwa siku 14 kwa mwaka mzima Bei Pm. ( Malipo kabla ya kazi).
Pia naunganisha free call tgo kwa miaka 2 ( malipo baada ya kazi)
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Only for seriously people.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Sh ngapi

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom