Kwangu mimi Rais Magufuli amefanya jambo la haraka kumuondoa Naibu Waziri wa Madini, hakuna uhusiano wowote kati ya kuzungumza na kufanya kazi

ni udhibisho tosha kuwa hata ubunge hakushinda MUNGU kamuumbua huu ni mwanzo wengine wanafuata
Hi unithibisho tosha hata ubunge kapenyakwa ujanja wengine wanakuja
 
Mtu yuko public..angemsihi tu atulie ale kiapo ametulia ila yeye akachukua traditional approach. vaaap sio sahihi.
Rais n mlezi ..Rais ni baba ilitakiwa amtulize jamaa kwa namna moja au nyingine.
 
Naibu ndiye anajibu maswali bungeni kwa niaba ya wizara, UNATAKA WIZARA HUSIK awe anajibu nani?
Kesho ataapishwa tena uje na maswali mengine tena.
Kuapa mbele ya Rais unadhani mchezo..maswali bungeni unajibu tu kwanza unaemjibu unamumudu.
Mathalani huyo mh.alikuwa anawajibu madiwani kwenye mabaraza yao..so mbunge unamjibu kwa sababu courage unayo wewe ni waziri yeye n mbunge n mdogo kwa waziri .
 
Ni kweli ...nadhani Rais ataskia maoni hayo.
Kwanza jamaa hajatetemeka(vibration) ila alipata kigugumizi (stuttering ) ni jambo la kawaida hasa uwapo na mkuu wako wa kazi kwa mara ya kwanza.
 
Yaani mkuu hata mim jins milivo na usongo wa kupiga kazunakuta jamaa alikuwa na high feelings so akapatwa na hio disorder
 
Yes hawa ndio Watanzania ambao huwa siwaelewi.Basi kusingekuwa na hata haja ya kusoma.Tumchukue mjomba wangu kule Kigwandi tumpe Air Tanzania aiongoza!Let's come to our senses guys.Kizazi hiki cha kati ya Mwinyi na Kikwete kina shida gani?Kwa hiyo weledi sio lazima.Huu ni ujinga wa kutupa kabisa.

Magufuli was 100% right,kama wewe hujui hata kusoma,hufai kuwa Naibu Waziri.it is as simple as that.
 
Hata mimi ningekuwa Rais lazima nigemtengua huyo aliye shindwa kuapa kiapo cha sekunde 10, hafai tena hata yule mama mwengine naibu wa fweza naye hafai kabisaa, kwa kifupi aina ya mawaziri kama hawa ndio wanao sababisha nchi yetu kuliwa na wajanja maaana wanaonekana hawako makini kabisaaa, wanaweza kuchezeshwa halafu wakajikuta wanaachia goli. hawafai kabisa wapabgiwe majukumu saizi yao
 
Maigizo ya Jiwe , baada ya kugundua kabugi kumteua wakati alitimuliwa na waziri mkuu ifakara kws ufisadi ndio akaona atumie mbinu hiyo kumtoa , hivi nyinyi mnajua Jiwe mnamsikia?
 
Hilo linawezekana, maana kazungumzia hadi wasiwasi wa elimu yake kwa tukio lile tu wakati mwenyewe anajisifu kuwa wale wote aliyowateu amepitia mafile yao na amewachagua hizo nafasi kila mmoja kwa sifa maalumu. Yule mama kakosea kosea ila kamsifia.
Inawezekana ni nyumba ndogo
 
Yeye ndi
Yeye ndiye aliyemchagua na yeye ndiye aliyemuondoa tatizo lipo wapi? Tuvimiliane maana yake una muhali wewe nchi haitaenda kwa kuvumiliana
 
Naambiwa jamaa kumbe alipigwa na stroke wakati wa uchaguzi hvo hayuko fit 100%.
Na ameshika nyashifa mbalimbali hadi TFF amekuwa akisafiri na team.
 
Maigizo ya Jiwe , baada ya kugundua kabugi kumteua wakati alitimuliwa na waziri mkuu ifakara kws ufisadi ndio akaona atumie mbinu hiyo kumtoa , hivi nyinyi mnajua Jiwe mnamsikia?
Hahahahahaha...sasa kwani hakusoma hilo au hakupitia CV yake ..Mh ndulane kumbe alipigwa stroke wakati wa Uchaguzi
 
"He was not impressived enough" ?!!!! Hii lugha ya Malkia ni ugonjwa sugu ktk Taifa hili! Hadi inatia kinyaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…