residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
"hakisi" ni nini?Binafsi mimi nakubaliana na wewe kuwa Mh Rais amefanya haraka sana kumtengua bado naona alipaswa kumpa nafasi huyu mtu yaliyotokea pengine yana hakisi ubinadamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"hakisi" ni nini?Binafsi mimi nakubaliana na wewe kuwa Mh Rais amefanya haraka sana kumtengua bado naona alipaswa kumpa nafasi huyu mtu yaliyotokea pengine yana hakisi ubinadamu.
ni udhibisho tosha kuwa hata ubunge hakushinda MUNGU kamuumbua huu ni mwanzo wengine wanafuataFrancis Ndulane alikuwa Mhasibu Mkuu wa Tanroads Mkoa Lindi, Magufuli alipo ingia Madarakani kama Rais akamteua kuwa Mkurugenzi wa Mji Ifakara.
Mwaka huu akagombea ubunge, kwenye kura za maoni ndani ya chama akashika nafasi ya tatu kwa kupata kura 21 nyuma ya Ahmed Raphael Bongi aliyekuwa amshindi wa kwanza kwa kura 155 ambaye alikuwa ni Mhasibu mkuu wa Mkoa wa Lindi.
Ila kamati kuu ya CCM ikarudisha jina aliyeshika nafasi ya tatu Francis Ndulane kuwa mgombea jimbo la Kilwa kusini.
Rais Magufuli mwenyewe ameunda Baraza lake baada ya kupita takriban wiki 3 baada ya uchaguzi kupita ,hivi bila shaka alijidhihirisha kuwa ni mtendaji mzuri.
Kilichompata ndugu yetu kinaweza kumpata mtu yeyote katika mazingira yoyote mathalani ni jambo furaha hivo mhusika alikuwa yuko temper.
Mh. Francis Kumba Ndulane. Mbunge wa Kilwa kaskazini - CCM aliyekuwa ameteuliwa kuwa Naibu Waziri Nishati, kwa bahati mbaya ameondolewa katika nafasi hiyo kwa kile kinachodaiwa kushindwa kuapa. Mh Ndulane anaonekana katika video akisoma kiapo kwa kusitasita kama anakigugumizi (stama).
Kilichompata Mh. Ndulane kisaikolojia kinaitwa ' Occasional Anxiety'. Kiufupi ni hali ya wasiwasi isiyotarajiwa inayomkuta mtu kufuatia jambo fulani kumpata au kulazimika kulifanya.
Jambo hilo laweza kuwa geni kabisa au kutokana na uzito wake likawa na mvuto mkubwa kijamii. Mazingira haya hutufanya baadhi yetu kuingiwa na wasiwasi hatimaye kushindwa kulifanya kwa ufanisi unaotarajiwa.
Katika mazingira ya uanafunzi, baadhi wanapokuwa katika vyumba vya mitihani ya taifa hukumbwa na hali hii. Hukuta hata mwanafunzi anashindwa kushika kalamu na kujikuta vidole vikitoa jasho huku mkono ukitetemeka,saa zingine hutokea wakati wa ku-present kitu ,niliwahi kusoma na msichana yani alipoingia panel alizimia kabisa.
Baadhi yetu tumeshuhudia katika mazingira ya vyuo vikuu, wanachuo wenzetu wakishindwa kusimama mbele ya wanafunzi wenzao na kuzungumza. Ipo mifano mingi.
Hali hii huwa haina kusema umesoma shahada (degree) ngapi. Ni tendo kisaikolojia. Katika matukio kama ya kuhutubia, kuapishwa nk.ndio maana ili kupunguza uwezekano wa kutukia kitu kama hicho, watu hulazimika kufanya kitu kinaitwa ' rehearsal' kabla ya tukio husika.
Tusimshambulie mh. Francis Ndulane kama mtu wa ajabu kwakuwa kilichomtokea, kimewatokea wengi na kitawapata wengi.
Tusimfedheshe. Tumfariji, hasa ukizingatia kapoteza fursa adhimu ambayo wengine huitafuta kwa udi na uvumba,wengine hutoa hadi kafara.
Hapo washauri wa Mh.Rais wanatakiwa kumshaauri vizuri haikupaswa hatua ya kumwondoa iwe kwa haraka vile. Lile ni jambo la kawaida sana.
Hakuna uhusiano kati ya utekelezaji majukumu kwa ufasaha na uwezo wa kuzungumza na ikizingatiwa kwa Ndulane nafasi kubwa kama ile nadhani ni ngeni na ni mara ya kwanza kwake kuteuliwa kuwa naibu waziri , lkn wkt mwingine feelings na namna mtu anavyolichukulia jambo kwa uzito mkubwa huweza kumfanya yeyote akakutwa na hali ile hali...ukichukulia ule ukali wa Magufuli wa kuwatukana mawaziri wapumbavu ndo basi kabisa Ndulane alitaka afanye haraka amalize.
Hata leo Biden alikuwa anaapisha baadhi ya watendaji kuna mama alikuwa anakosea hadi lugha lakini hamkumuondoa.
Tujifunze kuvumiliana.
Thats why there is always a room for the second chance.
Najua washauri wa Rais watamshauri ampatie jamaa nafasi ya pili..Majaliwa na Makamu wa Rais kasi kwenu.
Hi unithibisho tosha hata ubunge kapenyakwa ujanja wengine wanakujaUko sawa,
Hili si mara ya kwanza kujitokeza katika uongozi wa JPM.Nakumbuka pia ilishawahi kumtokea Mh.Eng.Stella Manyanya,lakini mh Rais alimvumilia hadi akamaliza kiapo chake.
Mimi sina shaka kabisa na mh.Ndulane najua Jpm na wasaidizi wake walimchunguza kwa kina kabla na kumuona anafaa,hivyo mh.rais angempa nafasi tena atumikie taifa lake.
Uchunguzi gani mkuu .Lakini si aliwahi kuapishwa kuwa Mkurugenzi wa Mji wa Ifakara? Mbona leo kashindwa? Uchunguzi wa kina ufanyike
Tunamuombea iwe hivo.Huyo anarudi kuapa tena
Mtu yuko public..angemsihi tu atulie ale kiapo ametulia ila yeye akachukua traditional approach. vaaap sio sahihi.Upo sahihi. Nakumbuka waziri Chibulunje aliwahi kupatwa na hali kama iliyompata huyo ndugu wakati akijibu swali la mbunge bungeni. Spika Makinda alimwamuru akakae kwenye kiti chake baada ya kuona kuna walakini kwa waziri Chibulunje.
Rais ali-overreact na kuchukua maamuzi yasiyo sahihi.
Kesho ataapishwa tena uje na maswali mengine tena.Naibu ndiye anajibu maswali bungeni kwa niaba ya wizara, UNATAKA WIZARA HUSIK awe anajibu nani?
Ni kweli ...nadhani Rais ataskia maoni hayo.Ukiangalia clip yake jamaa alienda vizuri tu hadi mwisho, kabla ya kumalizia ile 'ee Mungu nisaidie' nafikiri ndo wakamwambia arudie. Niliona hawakuwa na uvumilivu wa kumwacha amalizie kiapo chake, labda walikuwa wamepanga kumpiga chini kwa sababu kuna yule mwingine alirudia mara nne.
Not true...Speechless. All in all he didn't deserve that.
Yaani mkuu hata mim jins milivo na usongo wa kupiga kazunakuta jamaa alikuwa na high feelings so akapatwa na hio disorderNot for that extent...yule jamaa sio kwamba hawezi kuongea ni just high feeling imetokea au low confidence ukichukulia Rais na ule ukali wake ..waziri mkuu yuko pale..wenye suti nyeusi wako pale ...so akawa na temper ya kufa.
Chukulia alikuwa mhasibu wa mkoa zen mkurugenzi means Takukuru ,TISS ,CAG amekutana nao so leo sio Rais ashindwe halafu sio mara ya kwanza kuapa mbele yake ila ile position ndo huenda mhusika amechukulia kwa mihemko mingi.
Yes hawa ndio Watanzania ambao huwa siwaelewi.Basi kusingekuwa na hata haja ya kusoma.Tumchukue mjomba wangu kule Kigwandi tumpe Air Tanzania aiongoza!Let's come to our senses guys.Kizazi hiki cha kati ya Mwinyi na Kikwete kina shida gani?Kwa hiyo weledi sio lazima.Huu ni ujinga wa kutupa kabisa.Francis Ndulane alikuwa Mhasibu Mkuu wa Tanroads Mkoa Lindi, Magufuli alipo ingia Madarakani kama Rais akamteua kuwa Mkurugenzi wa Mji Ifakara.
Mwaka huu akagombea ubunge, kwenye kura za maoni ndani ya chama akashika nafasi ya tatu kwa kupata kura 21 nyuma ya Ahmed Raphael Bongi aliyekuwa amshindi wa kwanza kwa kura 155 ambaye alikuwa ni Mhasibu mkuu wa Mkoa wa Lindi.
Ila kamati kuu ya CCM ikarudisha jina aliyeshika nafasi ya tatu Francis Ndulane kuwa mgombea jimbo la Kilwa kusini.
Rais Magufuli mwenyewe ameunda Baraza lake baada ya kupita takriban wiki 3 baada ya uchaguzi kupita ,hivi bila shaka alijidhihirisha kuwa ni mtendaji mzuri.
Kilichompata ndugu yetu kinaweza kumpata mtu yeyote katika mazingira yoyote mathalani ni jambo furaha hivo mhusika alikuwa yuko temper.
Mh. Francis Kumba Ndulane. Mbunge wa Kilwa kaskazini - CCM aliyekuwa ameteuliwa kuwa Naibu Waziri Nishati, kwa bahati mbaya ameondolewa katika nafasi hiyo kwa kile kinachodaiwa kushindwa kuapa. Mh Ndulane anaonekana katika video akisoma kiapo kwa kusitasita kama anakigugumizi (stama).
Kilichompata Mh. Ndulane kisaikolojia kinaitwa ' Occasional Anxiety'. Kiufupi ni hali ya wasiwasi isiyotarajiwa inayomkuta mtu kufuatia jambo fulani kumpata au kulazimika kulifanya.
Jambo hilo laweza kuwa geni kabisa au kutokana na uzito wake likawa na mvuto mkubwa kijamii. Mazingira haya hutufanya baadhi yetu kuingiwa na wasiwasi hatimaye kushindwa kulifanya kwa ufanisi unaotarajiwa.
Katika mazingira ya uanafunzi, baadhi wanapokuwa katika vyumba vya mitihani ya taifa hukumbwa na hali hii. Hukuta hata mwanafunzi anashindwa kushika kalamu na kujikuta vidole vikitoa jasho huku mkono ukitetemeka,saa zingine hutokea wakati wa ku-present kitu ,niliwahi kusoma na msichana yani alipoingia panel alizimia kabisa.
Baadhi yetu tumeshuhudia katika mazingira ya vyuo vikuu, wanachuo wenzetu wakishindwa kusimama mbele ya wanafunzi wenzao na kuzungumza. Ipo mifano mingi.
Hali hii huwa haina kusema umesoma shahada (degree) ngapi. Ni tendo kisaikolojia. Katika matukio kama ya kuhutubia, kuapishwa nk.ndio maana ili kupunguza uwezekano wa kutukia kitu kama hicho, watu hulazimika kufanya kitu kinaitwa ' rehearsal' kabla ya tukio husika.
Tusimshambulie mh. Francis Ndulane kama mtu wa ajabu kwakuwa kilichomtokea, kimewatokea wengi na kitawapata wengi.
Tusimfedheshe. Tumfariji, hasa ukizingatia kapoteza fursa adhimu ambayo wengine huitafuta kwa udi na uvumba,wengine hutoa hadi kafara.
Hapo washauri wa Mh.Rais wanatakiwa kumshaauri vizuri haikupaswa hatua ya kumwondoa iwe kwa haraka vile. Lile ni jambo la kawaida sana.
Hakuna uhusiano kati ya utekelezaji majukumu kwa ufasaha na uwezo wa kuzungumza na ikizingatiwa kwa Ndulane nafasi kubwa kama ile nadhani ni ngeni na ni mara ya kwanza kwake kuteuliwa kuwa naibu waziri , lkn wkt mwingine feelings na namna mtu anavyolichukulia jambo kwa uzito mkubwa huweza kumfanya yeyote akakutwa na hali ile hali...ukichukulia ule ukali wa Magufuli wa kuwatukana mawaziri wapumbavu ndo basi kabisa Ndulane alitaka afanye haraka amalize.
Hata leo Biden alikuwa anaapisha baadhi ya watendaji kuna mama alikuwa anakosea hadi lugha lakini hamkumuondoa.
Tujifunze kuvumiliana.
Thats why there is always a room for the second chance.
Najua washauri wa Rais watamshauri ampatie jamaa nafasi ya pili..Majaliwa na Makamu wa Rais kasi kwenu.
Inawezekana ni nyumba ndogoHilo linawezekana, maana kazungumzia hadi wasiwasi wa elimu yake kwa tukio lile tu wakati mwenyewe anajisifu kuwa wale wote aliyowateu amepitia mafile yao na amewachagua hizo nafasi kila mmoja kwa sifa maalumu. Yule mama kakosea kosea ila kamsifia.
Yeye ndiye aliyemchagua na yeye ndiye aliyemuondoa tatizo lipo wapi? Tuvimiliane maana yake una muhali wewe nchi haitaenda kwa kuvumilianaFrancis Ndulane alikuwa Mhasibu Mkuu wa Tanroads Mkoa Lindi, Magufuli alipo ingia Madarakani kama Rais akamteua kuwa Mkurugenzi wa Mji Ifakara.
Mwaka huu akagombea ubunge, kwenye kura za maoni ndani ya chama akashika nafasi ya tatu kwa kupata kura 21 nyuma ya Ahmed Raphael Bongi aliyekuwa amshindi wa kwanza kwa kura 155 ambaye alikuwa ni Mhasibu mkuu wa Mkoa wa Lindi.
Ila kamati kuu ya CCM ikarudisha jina aliyeshika nafasi ya tatu Francis Ndulane kuwa mgombea jimbo la Kilwa kusini.
Rais Magufuli mwenyewe ameunda Baraza lake baada ya kupita takriban wiki 3 baada ya uchaguzi kupita ,hivi bila shaka alijidhihirisha kuwa ni mtendaji mzuri.
Kilichompata ndugu yetu kinaweza kumpata mtu yeyote katika mazingira yoyote mathalani ni jambo furaha hivo mhusika alikuwa yuko temper.
Mh. Francis Kumba Ndulane. Mbunge wa Kilwa kaskazini - CCM aliyekuwa ameteuliwa kuwa Naibu Waziri Nishati, kwa bahati mbaya ameondolewa katika nafasi hiyo kwa kile kinachodaiwa kushindwa kuapa. Mh Ndulane anaonekana katika video akisoma kiapo kwa kusitasita kama anakigugumizi (stama).
Kilichompata Mh. Ndulane kisaikolojia kinaitwa ' Occasional Anxiety'. Kiufupi ni hali ya wasiwasi isiyotarajiwa inayomkuta mtu kufuatia jambo fulani kumpata au kulazimika kulifanya.
Jambo hilo laweza kuwa geni kabisa au kutokana na uzito wake likawa na mvuto mkubwa kijamii. Mazingira haya hutufanya baadhi yetu kuingiwa na wasiwasi hatimaye kushindwa kulifanya kwa ufanisi unaotarajiwa.
Katika mazingira ya uanafunzi, baadhi wanapokuwa katika vyumba vya mitihani ya taifa hukumbwa na hali hii. Hukuta hata mwanafunzi anashindwa kushika kalamu na kujikuta vidole vikitoa jasho huku mkono ukitetemeka,saa zingine hutokea wakati wa ku-present kitu ,niliwahi kusoma na msichana yani alipoingia panel alizimia kabisa.
Baadhi yetu tumeshuhudia katika mazingira ya vyuo vikuu, wanachuo wenzetu wakishindwa kusimama mbele ya wanafunzi wenzao na kuzungumza. Ipo mifano mingi.
Hali hii huwa haina kusema umesoma shahada (degree) ngapi. Ni tendo kisaikolojia. Katika matukio kama ya kuhutubia, kuapishwa nk.ndio maana ili kupunguza uwezekano wa kutukia kitu kama hicho, watu hulazimika kufanya kitu kinaitwa ' rehearsal' kabla ya tukio husika.
Tusimshambulie mh. Francis Ndulane kama mtu wa ajabu kwakuwa kilichomtokea, kimewatokea wengi na kitawapata wengi.
Tusimfedheshe. Tumfariji, hasa ukizingatia kapoteza fursa adhimu ambayo wengine huitafuta kwa udi na uvumba,wengine hutoa hadi kafara.
Hapo washauri wa Mh.Rais wanatakiwa kumshaauri vizuri haikupaswa hatua ya kumwondoa iwe kwa haraka vile. Lile ni jambo la kawaida sana.
Hakuna uhusiano kati ya utekelezaji majukumu kwa ufasaha na uwezo wa kuzungumza na ikizingatiwa kwa Ndulane nafasi kubwa kama ile nadhani ni ngeni na ni mara ya kwanza kwake kuteuliwa kuwa naibu waziri , lkn wkt mwingine feelings na namna mtu anavyolichukulia jambo kwa uzito mkubwa huweza kumfanya yeyote akakutwa na hali ile hali...ukichukulia ule ukali wa Magufuli wa kuwatukana mawaziri wapumbavu ndo basi kabisa Ndulane alitaka afanye haraka amalize.
Hata leo Biden alikuwa anaapisha baadhi ya watendaji kuna mama alikuwa anakosea hadi lugha lakini hamkumuondoa.
Tujifunze kuvumiliana.
Thats why there is always a room for the second chance.
Najua washauri wa Rais watamshauri ampatie jamaa nafasi ya pili..Majaliwa na Makamu wa Rais kasi kwenu.
Naambiwa jamaa kumbe alipigwa na stroke wakati wa uchaguzi hvo hayuko fit 100%.Yes hawa ndio Watanzania siwaelewi.Basis kusingekuwa na hata ya kusoma.Tumchukue mjomba wangu Kyle Kigwandi tumpa Air Tanzania aiongoza.Let's come to our senses guys.Kizazi hiki cha kati ya Mwinyi na Kikwete kina shida gani?Kwa hivyo weledi sio lazima.Huu ni ujinga wa kutupa kabisa.
Magufuli was 100% right,kama wewe huijui hata kusoma,hufai kuwa Nàibu Waziri.
Hahahahahaha...sasa kwani hakusoma hilo au hakupitia CV yake ..Mh ndulane kumbe alipigwa stroke wakati wa UchaguziMaigizo ya Jiwe , baada ya kugundua kabugi kumteua wakati alitimuliwa na waziri mkuu ifakara kws ufisadi ndio akaona atumie mbinu hiyo kumtoa , hivi nyinyi mnajua Jiwe mnamsikia?
"He was not impressived enough" ?!!!! Hii lugha ya Malkia ni ugonjwa sugu ktk Taifa hili! Hadi inatia kinyaa!Hatujui ni kwanini Rais alimteua (inawezekana Rais aliuziwa mbuzi kwenye gunia na wasaidizi wake), sasa baada ya kufungua gunia akakutana na kitu ambacho hakukitegemea, he was not impressived enough! Hivyo hata akimtumbua ni sawa tu.
Yote kwa yote, huyo jamaa huenda atarudishwa tena kwenye hiyo nafasi yake, jipe muda. Magufuli pale alikuwa anatafuta media attention tu, ni bingwa wa kutengeneza tatizo na kuja kulitatua.