Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Hajambo, anakusalimu....Asante sana Bala,nakutakia mwaka mpya mwema nawe pia.Bht hajambo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajambo, anakusalimu....Asante sana Bala,nakutakia mwaka mpya mwema nawe pia.Bht hajambo?
Kwa wabunge hao walionao hakuna change itakayotokea siku mbili hizi. Ujue Regia ni Waziri Kivuli wa Ajira na Vijana!
Pata picha ingelikuwa CHADEMA imeshinda huyo ndo angekuwa Waziri (?)
Wote naona mnajizungusha tu, hakuna aliyetaja la maana ambalo huyu dada amefanya mpaka kupewa nafasi ya mwanamke bora na wa shoka 2011, msiwe mnaleta hoja ambazo mwisho wa siku mnakosa justification yake........jipange kabla ya kuleta hoja jamvini
Na mm nashangaa........Kichwa cha mada kinasema
"Kwangu mimi, Regia Mtema ndio mbunge/mwanasiasa mahiri mwanamke mwaka 2011..."
Hiyo ni kwa mujibu wake yeye only83. Sasa hutaki only83 aone hivyo?
Na mm nashangaa........
Ameeen....Nimesha-do the needfull NN.......Nimeona kwenye gazeti la udaku JF kuwa upo likizo ya kubeba maboksi?ni kweli?Wee Zayon Dota hebu nigongee like basi...mbona unakuwa mnyimi hivyo?
Btw, bwana asifiwe.
Ameeen....Nimesha-do the needfull NN.......Nimeona kwenye gazeti la udaku JF kuwa upo likizo ya kubeba maboksi?ni kweli?
Nashangaa watu wamekuja full force utadhani wamemkamata fisadi red-handed
Hoja za Kiranga ni nzuri, lakini too bad, and by precedency, zina tendency ya kumlenga Regia fiercely kuliko wabunge na wanasiasa wengine wachafuzi sana wa maslahi ya Taifa la Tanzania...!
Any personals?
Kuna Mbunge mwanamke alisemekana kufanya uwizi kwenye hoteli na kuleta historia ya ajabu kati ya wabunge, lakini wenzetu hawa wa mrengo-shoto hawakuthubutu kutamka kauli zao hizi kali na za maapizi, utadhani mtu kauza nchi kwa vipande vya fedha.
Regia amejibu kuwa baadhi ya tuhuma alizosemwa nazo hapo juu ni za kupandikizwa, lakini tayari watu washamnenea hadi lugha za malaika kumdhalilisha na kumwita hana nidhamu kwa viongozi wake...mbona tunageuka tena kuwa kama yeye tuliyesema hafanyi utafiti?..kwanini tunamsimanga mtu kwa mambo ambayo ni hearsay.....AIBU!
Kichwa cha mada kinasema
"Kwangu mimi, Regia Mtema ndio mbunge/mwanasiasa mahiri mwanamke mwaka 2011..."
Hiyo ni kwa mujibu wake yeye only83. Sasa hutaki only83 aone hivyo?
Na mm nashangaa........
Nashangaa watu wamekuja full force utadhani wamemkamata fisadi red-handed
Hoja za Kiranga ni nzuri, lakini too bad, and by precedency, zina tendency ya kumlenga Regia fiercely kuliko wabunge na wanasiasa wengine wachafuzi sana wa maslahi ya Taifa la Tanzania...!
Any personals?
Kuna Mbunge mwanamke alisemekana kufanya uwizi kwenye hoteli na kuleta historia ya ajabu kati ya wabunge, lakini wenzetu hawa wa mrengo-shoto hawakuthubutu kutamka kauli zao hizi kali na za maapizi, utadhani mtu kauza nchi kwa vipande vya fedha.
Regia amejibu kuwa baadhi ya tuhuma alizosemwa nazo hapo juu ni za kupandikizwa, lakini tayari watu washamnenea hadi lugha za malaika kumdhalilisha na kumwita hana nidhamu kwa viongozi wake...mbona tunageuka tena kuwa kama yeye tuliyesema hafanyi utafiti?..kwanini tunamsimanga mtu kwa mambo ambayo ni hearsay.....AIBU!
NN sijakataa, ila swala ni why yeye anaona kwamba regia yuko energetic, na mengineyo aliyoyataja? yapi ameyafanya hadi kutoa sifa alizotoa,?hoja yangu hapa ni kwamba atoe point za kuipa hoja yake nguvu na sio kuja na blaa blaa kuhusu mtu flani, lazima atushawishi kwa kutoa hoja zenye mshiko. Ni kweli ni mtizamo wake lakin ameuleta kwenye jamvi ili tujadili, la sivyo abaki nalo moyoni mwake....kikija jamvini kije kimeshiba sio kije nusu nusu.......
well said NN.... we sometimes get lose and say terrible stuffsSikiliza Mrembo, ndugu only83 ana kila sababu ya kuona vile aonavyo yeye hata pasipo na sababu. Wazungu wanasema 'just because'.
La mjadala sikatai. Lakini criticisms dhidi ya Regia zingine huvuka mipaka na kwenda personal kabisa. Kuna mtu hapa JF ameshawahi hadi kuzungumzia muonekano wake ingawa hakumtaja Regia moja kwa moja.
Kukosoa tu bila tact sio sifa. Sasa kuna watu hapa inakuwa kama wamelewa sifa. Wakipongezwa kidogo tu juu ya misimamo yao basi inakuwa nongwa na uungawana wanauweka kando.
Halafu mtu ajidai eti anatoa constructive criticism. My ass....
Sikiliza Mrembo, ndugu only83 ana kila sababu ya kuona vile aonavyo yeye hata pasipo na sababu. Wazungu wanasema 'just because'.
La mjadala sikatai. Lakini criticisms dhidi ya Regia zingine huvuka mipaka na kwenda personal kabisa. Kuna mtu hapa JF ameshawahi hadi kuzungumzia muonekano wake ingawa hakumtaja Regia moja kwa moja.
Kukosoa tu bila tact sio sifa. Sasa kuna watu hapa inakuwa kama wamelewa sifa. Wakipongezwa kidogo tu juu ya misimamo yao basi inakuwa nongwa na uungawana wanauweka kando.
Halafu mtu ajidai eti anatoa constructive criticism. My ass....
Eti unashangaa, kwani hapa uko feri hadi ushangae?? Kashangae baharini utamuona samaki akioga bila sabuni na bado anabaki kuwa msafi.....
well said NN.... we sometimes get lose and say terrible stuffs
there a few members would would even wake out of coma just to trade a few insults once regia is mentioned... cest la live