Kwangu mimi, Regia Mtema ndio mbunge/mwanasiasa mahiri mwanamke mwaka 2011...

Wote naona mnajizungusha tu, hakuna aliyetaja la maana ambalo huyu dada amefanya mpaka kupewa nafasi ya mwanamke bora na wa shoka 2011, msiwe mnaleta hoja ambazo mwisho wa siku mnakosa justification yake........jipange kabla ya kuleta hoja jamvini
 
Kichwa cha mada kinasema
"Kwangu mimi, Regia Mtema ndio mbunge/mwanasiasa mahiri mwanamke mwaka 2011..."

Hiyo ni kwa mujibu wake yeye only83. Sasa hutaki only83 aone hivyo?
 
Nashangaa watu wamekuja full force utadhani wamemkamata fisadi red-handed

Hoja za Kiranga ni nzuri, lakini too bad, and by precedency, zina tendency ya kumlenga Regia fiercely kuliko wabunge na wanasiasa wengine wachafuzi sana wa maslahi ya Taifa la Tanzania...!
Any personals?

Kuna Mbunge mwanamke alisemekana kufanya uwizi kwenye hoteli na kuleta historia ya ajabu kati ya wabunge, lakini wenzetu hawa wa mrengo-shoto hawakuthubutu kutamka kauli zao hizi kali na za maapizi, utadhani mtu kauza nchi kwa vipande vya fedha.

Regia amejibu kuwa baadhi ya tuhuma alizosemwa nazo hapo juu ni za kupandikizwa, lakini tayari watu washamnenea hadi lugha za malaika kumdhalilisha na kumwita hana nidhamu kwa viongozi wake...mbona tunageuka tena kuwa kama yeye tuliyesema hafanyi utafiti?..kwanini tunamsimanga mtu kwa mambo ambayo ni hearsay.....AIBU!
 
I was letting this thread slide in view of it's cult of personality nature, but since you made mention of direct refrences to me, in the trademark Kiranga tradition, I will address everything toe to toe.

I am almost always passionate in my posts, if that is what you call "fiercely" then I will take that.

Kuhusu "personal" mie simjui huyu dada, kwa hiyo nashangaa hizi habari zinawezaje kuwa personal. Mie nawabalasa burlesques wote kuanzia kina Kikwete na Mwandosya mpaka Nchimbi Kigwangwalla na Mtema. Sasa itakuwaje nikimbalasa Kigwangwalla over and over watu hawaoni kwamba kuna kitu personal, lakini nikimgusa Mtema tu ishakuwa personal?

Habari ya mbunge mwanamke aliyefanya wizi kwenye hoteli mie ndio naisikia leo, ungekuwa na haki ya kunilaumu kama ungeona nimechangia kwa kutetea wizi huu, lakini sikuchangia, siijui hii habari, sasa utanilaumu vipi kwa habari ambayo hata siijui?

Mimi nilishaona kisirani cha Regia kabla hata ya hiyo story ya Slaa alivyokuja hapa JF na kuwatukana hata wafuasi wake wa nje ya Tanzania kwamba ni "wabeba box". Hili lilionyesha kwamba huyu si tu kisirani, bali hayuko allright upstairs pia. Mie mtu ambaye haheshimu hata wafuasi wake ni sioni kwa vipi ataheshimu kwa dhati viongozi wake, kama kuna heshima wengine wanaweza kusema ni heshima ya woga na show ya kutaka kupanda ngazi tu, watu genuine hawawezi kuwatukana wafuasi wao na ku exhibit kisirani multiple times.
 
Kichwa cha mada kinasema
"Kwangu mimi, Regia Mtema ndio mbunge/mwanasiasa mahiri mwanamke mwaka 2011..."

Hiyo ni kwa mujibu wake yeye only83. Sasa hutaki only83 aone hivyo?

NN sijakataa, ila swala ni why yeye anaona kwamba regia yuko energetic, na mengineyo aliyoyataja? yapi ameyafanya hadi kutoa sifa alizotoa,?hoja yangu hapa ni kwamba atoe point za kuipa hoja yake nguvu na sio kuja na blaa blaa kuhusu mtu flani, lazima atushawishi kwa kutoa hoja zenye mshiko. Ni kweli ni mtizamo wake lakin ameuleta kwenye jamvi ili tujadili, la sivyo abaki nalo moyoni mwake....kikija jamvini kije kimeshiba sio kije nusu nusu.......
 
Thank you sana Mkuu.Vipi mzima lakini?umenisahau kwenye list yako ya SMS za Xmass!

Nashangaa watu wamekuja full force utadhani wamemkamata fisadi red-handed

Hoja za Kiranga ni nzuri, lakini too bad, and by precedency, zina tendency ya kumlenga Regia fiercely kuliko wabunge na wanasiasa wengine wachafuzi sana wa maslahi ya Taifa la Tanzania...!
Any personals?

Kuna Mbunge mwanamke alisemekana kufanya uwizi kwenye hoteli na kuleta historia ya ajabu kati ya wabunge, lakini wenzetu hawa wa mrengo-shoto hawakuthubutu kutamka kauli zao hizi kali na za maapizi, utadhani mtu kauza nchi kwa vipande vya fedha.

Regia amejibu kuwa baadhi ya tuhuma alizosemwa nazo hapo juu ni za kupandikizwa, lakini tayari watu washamnenea hadi lugha za malaika kumdhalilisha na kumwita hana nidhamu kwa viongozi wake...mbona tunageuka tena kuwa kama yeye tuliyesema hafanyi utafiti?..kwanini tunamsimanga mtu kwa mambo ambayo ni hearsay.....AIBU!
 
NN sijakataa, ila swala ni why yeye anaona kwamba regia yuko energetic, na mengineyo aliyoyataja? yapi ameyafanya hadi kutoa sifa alizotoa,?hoja yangu hapa ni kwamba atoe point za kuipa hoja yake nguvu na sio kuja na blaa blaa kuhusu mtu flani, lazima atushawishi kwa kutoa hoja zenye mshiko. Ni kweli ni mtizamo wake lakin ameuleta kwenye jamvi ili tujadili, la sivyo abaki nalo moyoni mwake....kikija jamvini kije kimeshiba sio kije nusu nusu.......

Sikiliza Mrembo, ndugu only83 ana kila sababu ya kuona vile aonavyo yeye hata pasipo na sababu. Wazungu wanasema 'just because'.

La mjadala sikatai. Lakini criticisms dhidi ya Regia zingine huvuka mipaka na kwenda personal kabisa. Kuna mtu hapa JF ameshawahi hadi kuzungumzia muonekano wake ingawa hakumtaja Regia moja kwa moja.

Kukosoa tu bila tact sio sifa. Sasa kuna watu hapa inakuwa kama wamelewa sifa. Wakipongezwa kidogo tu juu ya misimamo yao basi inakuwa nongwa na uungawana wanauweka kando.

Halafu mtu ajidai eti anatoa constructive criticism. My ass....
 
Thank You once again!

QUOTE=Nyani Ngabu;3046785]Sikiliza Mrembo, ndugu only83 ana kila sababu ya kuona vile aonavyo yeye hata pasipo na sababu. Wazungu wanasema 'just because'.

La mjadala sikatai. Lakini criticisms dhidi ya Regia zingine huvuka mipaka na kwenda personal kabisa. Kuna mtu hapa JF ameshawahi hadi kuzungumzia muonekano wake ingawa hakumtaja Regia moja kwa moja.

Kukosoa tu bila tact sio sifa. Sasa kuna watu hapa inakuwa kama wamelewa sifa. Wakipongezwa kidogo tu juu ya misimamo yao basi inakuwa nongwa na uungawana wanauweka kando.

Halafu mtu ajidai eti anatoa constructive criticism. My ass....[/QUOTE]
 
Sikiliza Mrembo, ndugu only83 ana kila sababu ya kuona vile aonavyo yeye hata pasipo na sababu. Wazungu wanasema 'just because'.

La mjadala sikatai. Lakini criticisms dhidi ya Regia zingine huvuka mipaka na kwenda personal kabisa. Kuna mtu hapa JF ameshawahi hadi kuzungumzia muonekano wake ingawa hakumtaja Regia moja kwa moja.

Kukosoa tu bila tact sio sifa. Sasa kuna watu hapa inakuwa kama wamelewa sifa. Wakipongezwa kidogo tu juu ya misimamo yao basi inakuwa nongwa na uungawana wanauweka kando.

Halafu mtu ajidai eti anatoa constructive criticism. My ass....
well said NN.... we sometimes get lose and say terrible stuffs

there are a few members would would even wake out of coma just to trade a few insults once regia is mentioned... cest la live
 
Sikiliza Mrembo, ndugu only83 ana kila sababu ya kuona vile aonavyo yeye hata pasipo na sababu. Wazungu wanasema 'just because'.

La mjadala sikatai. Lakini criticisms dhidi ya Regia zingine huvuka mipaka na kwenda personal kabisa. Kuna mtu hapa JF ameshawahi hadi kuzungumzia muonekano wake ingawa hakumtaja Regia moja kwa moja.

Kukosoa tu bila tact sio sifa. Sasa kuna watu hapa inakuwa kama wamelewa sifa. Wakipongezwa kidogo tu juu ya misimamo yao basi inakuwa nongwa na uungawana wanauweka kando.

Halafu mtu ajidai eti anatoa constructive criticism. My ass....

Speaking of tact, mbunge kufukuza raia wa Tanzania jimboni kwake kwa misingi ya ubaguzi wa rangi iliyo unconstitutional is worse than tactless, ni garden variety of racism. Na hatuwezi kuacha tabia kama hii isikemewe, especially kama mbunge anasemwa kuwa mahiri.
 
Back
Top Bottom