Kwani CHADEMA huo mkutano ni kongamano la injili? Mnajiharibia

Kafie huko ccm
 
Ukweli hiki chama nilikuwa nakipenda sana, lakini kila nikitafakari, ukanda wao na udini! Narudi nyuma. Hiyo siku walekebishe kama wanatusikia.
Hata usipokipenda watakipenda wengine.
Baki kumpenda mumeo inatosha
 
n
Nakubaliana nawe
Chadema mumeshindwa kupata wazungumzaji waislamu? Yaani wamejaza maaskofu?
Kwanini msiwatafute kina Sheikh Ponda, Mwalimu Mwalimu, jenerali Ulimwengi na Prof Issa bin Shivji?
 
This is "MATOPE" 😡 😡 😡
 
Hii nchi kwa akili kama yako tutasubori sana. Kwani askofu anatoa maoni kama askofu au kama mwananchi? Kwahiyo kama mtu ni askofu anakosa haki ya kuwa mwananchi? Ccm imefanikiwa sana kwenye hili eneo.....
Mkuu,

Askofu akitoa maoni kama mwananchi atoe kofia ya uaskofu, hata kuitwa asiitwe askofu, symbolism has meaning.

Most Tanzanians cannot hold a nuanced conversation.
 
Hata mimi sikubaliani na mkataba kabisa ila hii approach inaleta mgawanyiko na wateteaji wanaitumia vilivyo. Maaskofu wangeendelea kupga kelele kivyao
 
Kinachotakiwa ni facts, ziwe zimetoka kwa muislamu, mkristo, mhindu au asiye na dini siyo tatizo.
Ni umasikini wa fikra kuanza kujadili dini zetu katika mambo ya siasa za kitaifa.
Dini zenyewe ni aina ya njia za kumdhalilisha, kumtawala, kumnyonya na kumdidimiza mwafrika kwa ujumla zilizotumiwa tangu enzi za utumwa na ukoloni.
 
Sheria ipi inayomkataza Askofu kutoa maoni yake? kwani Askofu sio raia wa Tanganyika anayelindwa na Katiba inayompa uhuru wa kutoa maoni?

Kwenye mambo ya jamii, serikali hutaka msaada toka kwa viongozi wa dini kuiasa jamii kuhusu mambo mbalimbali, iweje mambo yakihamia upande wao viongozi wa serikali muanze kuwakataza viongozi wa dini kutoa maoni yao?

Unataka hiyo rushwa ikakemewe wapi, kanisani? ili tena kesho mje kusema wanapeleka siasa kanisani? Kwanini hutaki viongozi wa dini wakemee rushwa, hasa kama waumini wao wanahusika? usiwafunge mdomo.

Hebu tulieni, viongozi wa dini ni haki yao kutoa maoni yao popote ilimradi hawavunji sheria za nchi, tusidanganyane kwa sababu nyepesi.
 
KKKT tatizo Lina viongozi wa ovyo
 
Kwanza kabisa hakuna kitu kama raia wa Tanganyika.
 
Naam,

Na kwa kuzingatia hili, u Askofu wa mtu ni irrelevant katika suala la sheria kwenye nchi secular.

Zaidi, ni suala litakaloleta distraction za udini.

Kwa nini hili linakuwa gumu kueleweka?
 
Tunaongelea mkataba wa kutoa bandari Bure Kwa waarabu hakuna dini pale

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
We nesi mkunga endelea kuzalisha kwenye siasa ma masilahi ya kitaifa inaonekea uelewa wako ni mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…