mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Leo nimeona niulize hili swali pengine naweza pata majibu humu.
Hawa wadada wanaojiuza huwa hawana period? Maana daily tu unakuta wapo on duty hamna cha off days wala nini...mwendo wa chaka tu chaka.. kutoa huduma.
Sasa natamani nifahamu wanadhibitije hizo mambo zao 😑 au Kuna dawa wanatumia kukata bleeding...
NB: moja kati ya makosa sitakuja kufanya mpaka kesho ni kununua kwa starehe za kijinga.. eh Mungu nisaidie ... Ujana una mambo ya kishenzi sana...💔💔💔☠️💀