Kwani hawa dada poa wanaojiuza huwa hawana period days?

Leo nimeona niulize hili swali pengine naweza pata majibu humu.

Hawa wadada wanaojiuza huwa hawana period? Maana daily tu unakuta wapo on duty hamna cha off days wala nini...mwendo wa chaka tu chaka.. kutoa huduma.
Sasa natamani nifahamu wanadhibitije hizo mambo zao 😑 au Kuna dawa wanatumia kukata bleeding...

NB: moja kati ya makosa sitakuja kufanya mpaka kesho ni kununua kwa starehe za kijinga.. eh Mungu nisaidie ... Ujana una mambo ya kishenzi sana...💔💔💔☠️💀
Wengi wanatumia Dawa za kukata bleed
 
mtu anapiga vidonge vinne at once na halaji wala nini😄😄😄,,,,, nishawahi kuzitumia mara moja kilicho nikuta the day after kudinywa siwezi kusahau🤦‍♀️ dam zilivuja kama kuku alochinjwa weee😅😅 siezi sahau
ulitumia zipi hizo 😀 😀 😀 😀 siku nyingine tumia Norethisterone
 
sasa Xi Jinping unajitapisha nini?, mbona vitu vya kawaida kabisa jamni,, yan bae wangu akae camp 2yrs itokee chance ya kuonana nae mara moja alf anarudi tena camp nisimpe utam kisa navuja?,,,

duniani kuna mengi alooo,, wengine wanatumbukizaga kipande cha godoro hukoo kunako, naomba nisiulizwe kinatolewaje😅😅😅
 
NB: moja kati ya makosa sitakuja kufanya mpaka kesho ni kununua kwa starehe za kijinga.. eh Mungu nisaidie ... Ujana una mambo ya kishenzi sana...💔💔💔☠️💀
Unakataa kununua na kwenda kutongoza mwanamke ambae ametembea na mtu anaenunua malaya.

Which is Which
 
mtu anapiga vidonge vinne at once na halaji wala nini😄😄😄,,,,, nishawahi kuzitumia mara moja kilicho nikuta the day after kudinywa siwezi kusahau🤦‍♀️ dam zilivuja kama kuku alochinjwa weee😅😅 siezi sahau
Una balaa wewe 2008 ulikua la pili
Umejaribu tena hii michezo haya lete picha
 
Leo nimeona niulize hili swali pengine naweza pata majibu humu.

Hawa wadada wanaojiuza huwa hawana period? Maana daily tu unakuta wapo on duty hamna cha off days wala nini...mwendo wa chaka tu chaka.. kutoa huduma.
Sasa natamani nifahamu wanadhibitije hizo mambo zao 😑 au Kuna dawa wanatumia kukata bleeding...

NB: moja kati ya makosa sitakuja kufanya mpaka kesho ni kununua kwa starehe za kijinga.. eh Mungu nisaidie ... Ujana una mambo ya kishenzi sana...💔💔💔☠️💀
Wewe huwa unazo hizo?
 
Wanayo
 
Kwa upande mwingine nawaonea huruma wadada wanaojiuza barabarani, wengi ni sababu hawana elimu wala skills zitakazowawezesha kupata kipato Cha kutosha kukidhi mahitaji Yao, wanaanza kama kujaribu mwishowe wanaangukia huko, Yani mtu inabidi avue nguo ndo ale, wengine baada ya sex unaona uso wao unajaribu kuficha huzuni hadi unajisikia vibaya

Ni maisha ya huzuni sana.
Wengi hawapendi kufanya kazi naa wanajivunia uzuri wao
 
Back
Top Bottom