Kuna wanawake wanajiuza lakini usijue.Wengine wameolewa pia wanafanya biashara kwa siri sanaHii fate naamini haitanitokea...
Ni watu hawajui tu lakini hili ni kundi la watu wanaonyanyaswa vibaya sana na hawana sehemu ya kulalamikia. Kuna mmoja animwelezea X wangu dhahama aliyokutana nayo nikaona kweli duniani kuna wanyama. Alichukuliwa na mwanaume mmoja, akampeleka guest house, akamdanganya akanywa soda kumbe ilikuwa na madawa ya kulevya. Wahusika walikuja kuvunja mlango kesho yake mchana wakakuta amelawitiwa na wanaume watatu akapelekwa hospital.Kwa upande mwingine nawaonea huruma wadada wanaojiuza barabarani, wengi ni sababu hawana elimu wala skills zitakazowawezesha kupata kipato Cha kutosha kukidhi mahitaji Yao, wanaanza kama kujaribu mwishowe wanaangukia huko, Yani mtu inabidi avue nguo ndo ale, wengine baada ya sex unaona uso wao unajaribu kuficha huzuni hadi unajisikia vibaya
Ni maisha ya huzuni sana.
Upo group lao la WhatsappHahahha mkuu njoo hapaa kitambaa cheupe Sinza karibu na Dj upande wa kuliaa tujaribu kujadili nao hili swalaa…
UmeuaHawa dada poa wapo wanaoingia mzigoni wakiwa period, wengi wao wameshakata tamaa ya maisha wao ni pesa tuu
Kwa dar es salaam ukipita maeneo tajwa utawakuta 👇🏻
Sinza kona bar
Sinza kitambaa cheupe
Ubungo river side
Tabata
Buguruni kimboga
Sokota sugar ray
Temeke sudan
Tandika
Mbagala
Chuo cha uhasibu geti linalotazamana na barabara ya kwenda darajani
K.koo
Kinondoni makaburini
Kinondoni 4 ways
Kinondoni vijana
Mwananyamala kwa wahaya
Kawe
Goba lastaza
Mbezi bar ya lubumbashi
Na maeneo mengine 👆🏻
Swali lako linaendana mada?Hivi kwanini wasukuma wakitaka kusafirisha kuku kwenye gari hawajali kabisa kuwa wengine watakereka na kuku Seran
Walijuaje 3Ni watu hawajui tu lakini hili ni kundi la watu wanaonyanyaswa vibaya sana na hawana sehemu ya kulalamikia. Kuna mmoja animwelezea X wangu dhahama aliyokutana nayo nikaona kweli duniani kuna wanyama. Alichukuliwa na mwanaume mmoja, akampeleka guest house, akamdanganya akanywa soda kumbe ilikuwa na madawa ya kulevya. Wahusika walikuja kuvunja mlango kesho yake mchana wakakuta amelawitiwa na wanaume watatu akapelekwa hospital.
WanatishwaNi watu hawajui tu lakini hili ni kundi la watu wanaonyanyaswa vibaya sana na hawana sehemu ya kulalamikia. Kuna mmoja animwelezea X wangu dhahama aliyokutana nayo nikaona kweli duniani kuna wanyama. Alichukuliwa na mwanaume mmoja, akampeleka guest house, akamdanganya akanywa soda kumbe ilikuwa na madawa ya kulevya. Wahusika walikuja kuvunja mlango kesho yake mchana wakakuta amelawitiwa na wanaume watatu akapelekwa hospital.