Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Hata najua basi tumkabe huyu jamaa atupe visa zaidi ya vitatu hapa ๐๐๐๐๐๐Visa ni vingi afu huwezi amini wanachuo wengi ni wateja waaminifu
Hata najua basi tumkabe huyu jamaa atupe visa zaidi ya vitatu hapa ๐๐๐๐๐๐Visa ni vingi afu huwezi amini wanachuo wengi ni wateja waaminifu
Waje wakupe shukrani ๐ location n nyingi hvy washindwe wnyw tuuKuna wana ndo wameingia jijini leo wengine wameshuka pale stand ya magufuli wasipate shida kutoka stand ya mkoa mpaka lubumbashi unatembea tuu ๐๐๐
๐๐๐๐๐Takbir โ๏ธ
Najua wewe hapa ume kaa rada kujua hayo maeneo kama yana mishangazi ๐Hata najua basi tumkabe huyu jamaa atupe visa zaidi ya vitatu hapa ๐๐๐๐๐๐
Huyu jamaa huyu ana kituWaje wakupe shukrani ๐ location n nyingi hvy washindwe wnyw tuu
Et kazi ngumu ๐๐๐๐๐๐๐Kwani wanaenda biasharani siku zote 30 za mwezi? Nadhani huwa wanapumzika siku 4 hadi 5.
Hii kazi ni ngumu, kwa maslahi mapana ya taifa serikali iweke angalau bei elekezi iwe 30k kwa saa. ๐ญ๐
Hapana Period kama kawaida,isipotoka basi hayo ni madhara ya dawa,hata akifunga kizazi Period inaendelea kama kawaidaHivi Kwani mwanamke akitumia dawa za kutokushika mimba au za uzazi period nayo si inakata
C bora sabuni kuliko kutoa hy 30k kwa saaKwani wanaenda biasharani siku zote 30 za mwezi? Nadhani huwa wanapumzika siku 4 hadi 5.
Hii kazi ni ngumu, kwa maslahi mapana ya taifa serikali iweke angalau bei elekezi iwe 30k kwa saa. ๐ญ๐
Hapana hapanaNajua wewe hapa ume kaa rada kujua hayo maeneo kama yana mishangazi ๐
Atafika mbali ๐Huyu jamaa huyu ana kitu
Yes wanatamani japo wachache hata wakipata hiyo nafasi hawatuliiHalafu kama umewahi ku observe kingine unakuta mtu ametoka out na mpenzi wake wakiwa na mtoto au watoto kwenda Maeneo ya bar au kwenye restaurant kupata kinywaji na mlo wa hapa na pale, huwa wahudumu wa bara yaani bar maids au wale watoa huduma kwenye restaurant ni kama Roho huwa inawauma sana wakiona mtu kaenda na mpenzi wake... Hata wakiwa wanatoa huduma ya vinywaji watatoa kinyonge...Sasa sijui ni wivu na wenyewe wanatamani wangekuwa na familia na mtu awatoe out au ni kama wanaoona wanazibiwa riziki ya kupata mteja(yaani mwanaume).๐ค.. God help us
Kwahiyo unataka upewe bure?Leo nimeona niulize hili swali pengine naweza pata majibu humu.
Hawa wadada wanaojiuza huwa hawana period? Maana daily tu unakuta wapo on duty hamna cha off days wala nini...mwendo wa chaka tu chaka.. kutoa huduma.
Sasa natamani nifahamu wanadhibitije hizo mambo zao ๐ au Kuna dawa wanatumia kukata bleeding...
NB: moja kati ya makosa sitakuja kufanya mpaka kesho ni kununua kwa starehe za kijinga.. eh Mungu nisaidie ... Ujana una mambo ya kishenzi sana...๐๐๐โ ๏ธ๐
Nyingi zinaenda kuvuruga mfumo wa uzazi wengine mayai hayajitengeneziHivi Kwani mwanamke akitumia dawa za kutokushika mimba au za uzazi period nayo si inakata
Kwahiyo kuna uwezekano wa kutoingia kwenye hedhi ?Nyingi zinaenda kuvuruga mfumo wa uzazi wengine mayai hayajitengenezi