Unaweza usinunue malaya, Ila ukaja kuoa malaya mstaafu.NB: moja kati ya makosa sitakuja kufanya mpaka kesho ni kununua kikojoleo kwa starehe za kijinga.. eh Mungu nisaidie ... Ujana una mambo ya kishenzi sana...πππβ οΈ
Sio akaamua kutulia ni akatafuta Kijiwe halali cha biashara yakeUnaweza usinunue malaya, Ila ukaja kuoa malaya mstaafu.
Mtu amechoka umalaya hvy akaamua kutulia then nawe innocent boy ukatokea, akalenga ndege mbili kwa jiwe moja.
πππwatu wamechoka,hawataki kujua hata sura za viongozi waoππΎMbn picha ni ya muheshi retired
Mungu akambariki akapata mteja wa kudumu πSio akaamua kutulia ni akatafuta Kijiwe halali cha biashara yake
Hakika.. na huwa hawakuagi mentally stable.Kwa upande mwingine nawaonea huruma wadada wanaojiuza barabarani, wengi ni sababu hawana elimu wala skills zitakazowawezesha kupata kipato Cha kutosha kukidhi mahitaji Yao, wanaanza kama kujaribu mwishowe wanaangukia huko, Yani mtu inabidi avue nguo ndo ale, wengine baada ya sex unaona uso wao unajaribu kuficha huzuni hadi unajisikia vibaya
Ni maisha ya huzuni sana.
Daaaah aiseeee nimefurahi sanaKuna dawa za kukata bleed so maybe wanatumia hizo. Japo kitendea kazi sio hicho tu kuna YAS BJ na ndugu zao.
Mdau hayo Maeneo unayataja nadhani ni dar huko... Mara yangu ya kwanza na ya mwisho kufika dar ilikuwa 2010 kipindi nikiwa kachaliiHahahha mkuu njoo hapaa kitambaa cheupe Sinza karibu na Dj upande wa kuliaa tujaribu kujadili nao hili swalaaβ¦