Kwani hawa dada poa wanaojiuza huwa hawana period days?

Daaah we jamaa jinsi ulivyojibu
Kwanza umejibu kwa kujiamini sana kuwa ujabaahatisha aiseeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Noma sana
 
Ni utafiti ulifanya au wewe ni mteja mtiifu?
Natanguliza samahani
 
Kwahy umeamua kutoa location kitaalam ili mtoa mada akaendeleze utafiti wake au sio πŸ˜‚
 
Daaah we jamaa jinsi ulivyojibu
Kwanza umejibu kwa kujiamini sana kuwa ujabaahatisha aiseeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu enzi za JK mimi na jamaa zangu tuliamua kufanya tour kabisa, na hii kitu ina addiction mbaya sana, kwa sasa nimeacha
 
Mbaga kwenye mada kama hizi utamkuta mstari wa mbele.. na ana comment majibu ya maana kabisa

Ila mada za pongezi za mama angalia commemt zake sasa

Et Takbir πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mm sitaki mada za kuniumiza kichwa, Nataka mada ambayo hata nikiisoma nusu niwe nimepata point ya mtoa mada πŸ˜‚
 
Mkuu enzi za JK mimi na jamaa zangu tuliamua kufanya tour kabisa, na hii kitu ina addiction mbaya sana, kwa sasa nimeacha
Kuwa huru mkuu hakuna mtu anakujua..
Kuwa na amani kabisa . Umeacha kweli kabisa au maana the way ume explain hapo ni kama upo currently na hivi vitu..

Unaweza kuwa utumii ila ni agent mmoja wa hatare ambao mnatafutia mapedeshee watoto wakali...

Niseme tuu dada powa wapo poa sana
 
Ndo biashara pekee ambayo TRA akienda kukagua au kudai kodi, mmiliki ana uwezo wa kukimbia na biashara yake
Muuzaji anakodisha kwa muda, ila mteja anadai anauziwa πŸ˜‚

Malaya anauza utelezi tuu, Ila chanzo cha utelezi anabaki nayo na TRA wakija anakimbia na chanzo chake πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…