Kwani hawa dada poa wanaojiuza huwa hawana period days?

Halafu kama umewahi ku observe kingine unakuta mtu ametoka out na mpenzi wake wakiwa na mtoto au watoto kwenda Maeneo ya bar au kwenye restaurant kupata kinywaji na mlo wa hapa na pale, huwa wahudumu wa bara yaani bar maids au wale watoa huduma kwenye restaurant ni kama Roho huwa inawauma sana wakiona mtu kaenda na mpenzi wake... Hata wakiwa wanatoa huduma ya vinywaji watatoa kinyonge...Sasa sijui ni wivu na wenyewe wanatamani wangekuwa na familia na mtu awatoe out au ni kama wanaoona wanazibiwa riziki ya kupata mteja(yaani mwanaume).πŸ€”.. God help us
 
Kwani wanaenda biasharani siku zote 30 za mwezi? Nadhani huwa wanapumzika siku 4 hadi 5.

Hii kazi ni ngumu, kwa maslahi mapana ya taifa serikali iweke angalau bei elekezi iwe 30k kwa saa. πŸ˜­πŸ˜…
Et kazi ngumu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Uwo ni uwongo
Uwongooo uwongo
Uwongo uwongoooo

Hakuna hakuna
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yes wanatamani japo wachache hata wakipata hiyo nafasi hawatulii
Wamezoea vya kunyonga vya kuchinja hawaviwezi
 
Kwahiyo unataka upewe bure?
 
Mbona wanaenda period vizuri tu labda Hao ndo wale unawakuta road ila ukiwa mteja kwenye chimbo moja ndipo utagundua hili...
Kuna siku ukienda wanakwambia hawafanyi kazi na ukiwa mgumu kuamini wanakuonesha mpaka pedi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…