Kwani hawa dada poa wanaojiuza huwa hawana period days?

Wengi wanatumia Dawa za kukata bleed
 
Wengi wanatumia Dawa za kukata bleed
mtu anapiga vidonge vinne at once na halaji wala niniπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„,,,,, nishawahi kuzitumia mara moja kilicho nikuta the day after kudinywa siwezi kusahauπŸ€¦β€β™€οΈ dam zilivuja kama kuku alochinjwa weeeπŸ˜…πŸ˜… siezi sahau
 
ulitumia zipi hizo πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ siku nyingine tumia Norethisterone
 
sasa Xi Jinping unajitapisha nini?, mbona vitu vya kawaida kabisa jamni,, yan bae wangu akae camp 2yrs itokee chance ya kuonana nae mara moja alf anarudi tena camp nisimpe utam kisa navuja?,,,

duniani kuna mengi alooo,, wengine wanatumbukizaga kipande cha godoro hukoo kunako, naomba nisiulizwe kinatolewajeπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
NB: moja kati ya makosa sitakuja kufanya mpaka kesho ni kununua kwa starehe za kijinga.. eh Mungu nisaidie ... Ujana una mambo ya kishenzi sana...πŸ’”πŸ’”πŸ’”β˜ οΈπŸ’€
Unakataa kununua na kwenda kutongoza mwanamke ambae ametembea na mtu anaenunua malaya.

Which is Which
 
Una balaa wewe 2008 ulikua la pili
Umejaribu tena hii michezo haya lete picha
 
Wewe huwa unazo hizo?
 
Wanayo
 
Wengi hawapendi kufanya kazi naa wanajivunia uzuri wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…