Kwani hawa dada poa wanaojiuza huwa hawana period days?

Ni watu hawajui tu lakini hili ni kundi la watu wanaonyanyaswa vibaya sana na hawana sehemu ya kulalamikia. Kuna mmoja animwelezea X wangu dhahama aliyokutana nayo nikaona kweli duniani kuna wanyama. Alichukuliwa na mwanaume mmoja, akampeleka guest house, akamdanganya akanywa soda kumbe ilikuwa na madawa ya kulevya. Wahusika walikuja kuvunja mlango kesho yake mchana wakakuta amelawitiwa na wanaume watatu akapelekwa hospital.
 
Umeua
 
Walijuaje 3
 
Wanatishwa
Kupigwa
Kuibiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…