Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Tunamuombea apatikane akiwa salama. Lakini naomba nijibiwe maswali haya:-
1. Kwa zaidi ya miaka 2 sasa amekuwa anaishi Nairobi huku akaunti zake za mitandao ya Kijamii zikishambulia mambo ya Serikali. Je ni nani anamlipa kwa kazi hiyo?
2. Ameweza kuwachukua na kuwatafutia makazi vijana maarufu kwa kuishambulia Serikali kama Sativa, Hilda Newton na Tito Magoti. Je nao wanalipwa na nani?
3. Kwanini alidhania Nairobi ni mahali pepesi kwa kufanyia harakati kama hizo?