Kwani kazi ya Maria Sarungi Nairobi Ilikuwa ni nini? Na nani alikuwa anamlipa

View attachment 3199909

Tunamuombea apatikane akiwa salama. Lakini naomba nijibiwe maswali haya:-
1. Kwa zaidi ya miaka 2 sasa amekuwa anaishi Nairobi huku akaunti zake za mitandao ya Kijamii zikishambulia mambo ya Serikali. Je ni nani anamlipa kwa kazi hiyo?

2. Ameweza kuwachukua na kuwatafutia makazi vijana maarufu kwa kuishambulia Serikali kama Sativa, Hilda Newton na Tito Magoti. Je nao wanalipwa na nani?

3. Kwanini alidhania Nairobi ni mahali pepesi kwa kufanyia harakati kama hizo?
Muulize Lissu!
 
Mkuu unauliza kazi ya mtu Karne hii?

Unaweza kubet ukaishi bila kazi rasmi.
Unaweza kuwa influencer ukapiga domo ukaishi
Unaweza kuwa dalali na bado ukaishi.
Unaweza kuwa software developer.
Unaweza ukawa programmer.
Unaweza ukawa umewekeza bitcoins.
Unaweza ukawa online consultant.

Mambo ni mengi Sana karne hii sio lazima utumie miguvu miingi na kazi unayofanya lazima watu waione.
Unaweza Piga Ramli kama mtani wangu Mshana Jr ukaishi
 
Kwamba mtu hawezi kuwa mwanaharakati huku ana shughuli nyingine za kumuingizia kipato?

Unachokitafuta ni nini hasa? Unataka kusikia nini ili upate uhakika wa unachofikiri?
Hawa madogo wa FB wamekuwa wengi humu. Wanaamini kuwa mwanaharakati basi huwezi kuwa na ajira nyingine. Hawamfahamu Maria Sarungi. Maria ana conmections na anafanya kazi nyingi sana na amefanya pia na NGOs kadhaa. But pia anafanya sana consultations na analipwa in terms of Dollar. Sema tu alichemka kwenda kuishi Kenya. Harakati fanya ukiwa nchi za watu. Siyo hizi.
 
View attachment 3199909

Tunamuombea apatikane akiwa salama. Lakini naomba nijibiwe maswali haya:-
1. Kwa zaidi ya miaka 2 sasa amekuwa anaishi Nairobi huku akaunti zake za mitandao ya Kijamii zikishambulia mambo ya Serikali. Je ni nani anamlipa kwa kazi hiyo?

2. Ameweza kuwachukua na kuwatafutia makazi vijana maarufu kwa kuishambulia Serikali kama Sativa, Hilda Newton na Tito Magoti. Je nao wanalipwa na nani?

3. Kwanini alidhania Nairobi ni mahali pepesi kwa kufanyia harakati kama hizo?
Maria Sarungi bila ya shaka ni jasusi wa nchi fulani ya magharibi. Amekua adui wa sera za kitaifa za maslahi kwa umma wa wananchi. Bila shaka ni wakala anayepewa hela na kuwasajili wengine kupinga siasa na sera za kitaifa sisizokua na maslahi kwa nchi za kibeberu. Ni sawa na yule kabendara tu. Wote ni watu hatari kwa nchi yetu ya Tanzania.
 
Kwa akili ya kawaida,unawezaje kuishi hapo Nairobi, kms 176 kutoka namanga,ukawa unaitukana serikali
 
Yule ni mwanamke asili yake ni "kutunzwa"

Mleta mada kama nawe unapenda kuolewa na kutunzwa chagua nchi na jiji unalopenda kuhamia nipo tayari kukuhudumia nawe unipe Ile huduma muhimu si uinajua..??!?
 
Unataka nikuingilie kinyume na maumbile?
 
View attachment 3199909

Tunamuombea apatikane akiwa salama. Lakini naomba nijibiwe maswali haya:-
1. Kwa zaidi ya miaka 2 sasa amekuwa anaishi Nairobi huku akaunti zake za mitandao ya Kijamii zikishambulia mambo ya Serikali. Je ni nani anamlipa kwa kazi hiyo?

2. Ameweza kuwachukua na kuwatafutia makazi vijana maarufu kwa kuishambulia Serikali kama Sativa, Hilda Newton na Tito Magoti. Je nao wanalipwa na nani?

3. Kwanini alidhania Nairobi ni mahali pepesi kwa kufanyia harakati kama hizo?
kazi yake kubwa kule ni nafasi na uhuru wa kuitukana ardhi ya Tanzania na nchi ya uzao wake.

infact ni kazi laana imempeleka huko :pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom