Angefuatilia historia ya yaliyotokea kwa Mcghee na Uncle Thom (Lugangira) 1983 walivyobadilishwa kirahisi na akina Ochuka😀...3. Kwanini alidhania Nairobi ni mahali pepesi kwa kufanyia harakati kama hizo?
Tueleze kwanza alikuwa anashambulia vipi?View attachment 3199909
Tunamuombea apatikane akiwa salama. Lakini naomba nijibiwe maswali haya:-
1. Kwa zaidi ya miaka 2 sasa amekuwa anaishi Nairobi huku akaunti zake za mitandao ya Kijamii zikishambulia mambo ya Serikali. Je ni nani anamlipa kwa kazi hiyo?
2. Ameweza kuwachukua na kuwatafutia makazi vijana maarufu kwa kuishambulia Serikali kama Sativa, Hilda Newton na Tito Magoti. Je nao wanalipwa na nani?
3. Kwanini alidhania Nairobi ni mahali pepesi kwa kufanyia harakati kama hizo?
Kwa hiyo mkuu unataka kusemajeAngefuatilia historia ya yaliyotokea kwa Mcghee na Uncle Thom (Lugangira) 1983 walivyobadilishwa kirahisi na akina Ochuka😀
Stuxnet wa leo na yule wa Enzi za Magufuli ni Mbingu na Ardhi.Unashindwa nini kujibu maswali kama unajuwa majibu yake? Hivi unadhani watekaji wanateka tu?? Mbona wewe hujatekwa??
Nashukuru umelikumbusha hili la akina Ochuka/ Lugangira la miaka ya mwanzoni mwa 1980s.Angefuatilia historia ya yaliyotokea kwa Mcghee na Uncle Thom (Lugangira) 1983 walivyobadilishwa kirahisi na akina Ochuka😀
Kenya wanaharakat wanapotea yeye kaenda tena pale pale.. kuna yule wa Rwanda aliye uwawa S. Africa hakujifunza kitu.. Hao walio mteka wakiwa na silaha watakuwa na baraka kutoka kwa ruto.. Huyu hawez kupatikana tenaKama alikuwa anaishi Kenya na anakuwa mkosoaji vile basi hajui tu kuwa nchi za Africa zote ni sawa tu
Tofauti kati ya Magufuli na Samia ni kubwa tu. Mama Samia alianza vizuri na hana yale mauhayawani ya Magufuli kama:-Stuxnet wa leo na yule wa Enzi za Magufuli ni Mbingu na Ardhi.
Huwa najiuliza ulikuwa unamkandia Magufuli kwa sababu gani? Au ulikuwa na chuki binafsi?
Kama ni hivyo sasa mbona Ruto anateka kwa raha zake?Si ndo huko Amnesty Int.
Maria ni mpingaji si mkosoajiKama alikuwa anaishi Kenya na anakuwa mkosoaji vile basi hajui tu kuwa nchi za Africa zote ni sawa tu