Kwani kazi ya Maria Sarungi Nairobi Ilikuwa ni nini? Na nani alikuwa anamlipa

Naona kama maswali yako tayari majibu unayo...? Kukubali ujinga siyo ujinga, ni upumbavuuuu...
 
Hakufanya mahesabu yake vizuri, ameenda Kenya(rafiki wa TZ) na kuanza harakati za kuivua nguo serikali yako unatafuta matatizo tu. Serikali za Afrika zinalindana, zina itikadi sawa, wote ni madikteta tu. Unategemea Ruto akulinde kweli?
Lakini miaka yote yuko huko au makundi ya wahuni tu wanatafuta hela
 
Ila nina imani atapatikana tu.
Japo watamharibu sana kisaikolojia..
Kuikosoa Tz na kuishi Nairobi ilikuwa ni wrong move, Kenya yenyewe haina sera zozote madhubuti kulinda raia wake, pale viongozi ni vibaka tu, kuanzia rais wao ni kibaka na muuaji...
 
alikua akishirikiana na lisu kutukana tanzania na serikali yake
 
Ila nina imani atapatikana tu.
Japo watamharibu sana kisaikolojia..
Kuikosoa Tz na kuishi Nairobi ilikuwa ni wrong move, Kenya yenyewe haina sera zozote madhubuti kulinda raia wake, pale viongozi ni vibaka tu, kuanzia rais wao ni kibaka na muuaji...
Acha kumchafua Rais wa nchi jirani .
 
Aione nani kwa majibu?
 
Kenya wanaharakat wanapotea yeye kaenda tena pale pale.. kuna yule wa Rwanda aliye uwawa S. Africa hakujifunza kitu.. Hao walio mteka wakiwa na silaha watakuwa na baraka kutoka kwa ruto.. Huyu hawez kupatikana tena
Absolutely correct!! Gen Z wa Kenya kama 400 hawajulikani walipo, halafu eti naye Maria Sarungi akajifanya ni STAR wa kurusha makombora kutokea Nairobi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…