Kwani Kikwete alikuwa anatumia mbinu gani kuiongoza nchi? Ajira zilikuwa kila mahala

Aliiua kwa kuwathreaten yaani alikuwa unpredicatable hujui leo ataamka na lipi. Ki ufupi nchi haikuwa inaongozwa kwa sheria bali matakwa ya mtu. Wawekezaji wako sensitive sana hii risk
Kwa sabubu mfumo unaruhusu hilo, bunge ndilo lilitakiwa liwe na nguvu zaidi hasa katika masuala ya uchumi (kodi, sheria za kodi na matumizi ya serikali)
 
Approach ya Magu ilikuwa tofauti.
Unakumbuka alivyoingia tu akaanza kuhakikisha kama hizi ajira ni sahihi, watu Wana sifa au la!
Maana watu walikuwa wanaajiri majina hewa tu ili wapige hela.
Hakujawahi kuwa na ajira hewa tanzania ndo mana samia kawarudisha wote baada ya kuona ilikuw ni uzushi
 
Kwa sabubu mfumo unaruhusu hilo, bunge ndilo lilitakiwa liwe na nguvu zaidi hasa katika masuala ya uchumi (kodi, sheria za kodi na matumizi ya serikali)
Bunge gani sasa wakati alihakikisha anawaingiza bungeni wana ccm wote kwa kutoshinda kwa kura ilimradi tu abakize ambao hawana nguvu za kumpinga.
 
Hata viwanja na mashamba yalikuwa bei juu. Enzi za Kikwete ukiwa na kieneo cha 20 kwa 20 alikuwa anapewa pesa ya maana.
 
Under ceteric peribus the higher the population the higher the employment
 
Uchumi siyo kuajiri ovyo bila ya tija..pesa ya serikali inatakiwa kuleta maendeleo na maendeleo yanaletwa na tija ya wafanyakazi walio ajiriwa ...kazi kuu ya kodi siyo kuajiri watu bali ni kuleta maendeleo na hayo maendeleo yanapokuja yanakuja na ajira mpya ...tatizo wafanyakazi waliopo makazini hawana tija hivyo kuzuia kukua wigo wa ajira.
 
Maendeleo ni ajira unless huelewi maama ya maendeleo. Ajira inaongeza ppp (purchasing power parity) au purchasing power ambapo kukiwa na consumption rate kubwa tayari ni soko kwa ujenzi wa viwanda na biashara kubwa. Huwezi kuwa na viwanda au biashara halafu kwa siku hujzi mana watu hawana hela utafunga tu biashara kama ilivyokuwa kwa jpm
 
Mtoto wa mjini huwa hashindwi kitu.
Yule ni bingwa wa siasa,fitna na mwanadiplomadia nguli kuwahi kutokea nchini
Ana kiwanja chake mbinguni

Tuliosomeshwa na kuajiriwa kipindi cha JK tuanzishe harambee tumjengee sanamu pale Chalinze
Nimeingia masomoni kipindi cha Kikwete nikapata boom bila shida ingawa ilikuwa priority kupata.

Nikamaliza Masomo kipindi cha Magu akiwa kashavuruga mfumo wa ajira.

Hatimaye nikalionja joto mtaani.

Kwenye suala la kuajiri, JK ana maua yake mazuri kwa Sir God!
 
Tumia akili maendeleo ndiyo yanayo leta ajira ya kweli ....kama una ajiri ila maendeleo yana poromoka kwa kukosa tija unadhani nini ....tatizo la tz viraza kama wewe ndiyo mpo maofisini kazi mnayo fanya ni ufisadi tu kisha mnalia muongezewe mishahara
 
Aliicha nature iamue nikama msituni wanyama wanakulana lakini wanaongezeka kila kukicha lakini ukiwachukua kuwapeleka burigi huko wanajifia wote so regulations muhimu ila tuishi kwenye soko huru na usisahau JK kipindi chake makusanyo ya kodi yalikua chini kuliko hawa wengine kulingana na takwimu zao sasa inatupa shaka usikute takwimu zinapikwa kuvutia ila uhalisia tukawa na hali mbaya
 
Tumia akili maendeleo ndiyo yanayo leta ajira ya kweli ....kama una ajiri ila maendeleo yana poromoka kwa kukosa tija unadhani nini ....tatizo la tz viraza kama wewe ndiyo mpo maofisini kazi mnayo fanya ni ufisadi tu kisha mnalia muongezewe mishahara
We ni poyoyo.

Maendele ni

C +I+G+ (x-m). Vyote hivi vinategemea ajira ya mtu mmoja mmoja. Kama.ajira hamna vyote hivyo vinaenda chini na kusalisha wakimbizi kama sudani kusini regardless kuwa na miundo mbinu mizuri sana
 
Mzimu wa marehemu utawasumbua sana na Bado
 

Attachments

  • images.jpeg-191.jpg
    34.5 KB · Views: 1
Magufuri hakustahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yeye alifaa kuongoza DRC na Rwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…