DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Kipi sahihi kati ya kudili na tatizo moja kwa moja au kulifukia ukipamga kulitatua baadae ..Money influx kwa mikataba ya Hovyo ilikuwa ni mpango wa muda mfupiWhich is better now amongst kikwete's influx of money and jpm's lack of liquidity everywhere
Kwa nini unataka mpango wa mudda mrefu wakati umri wa kuishi ni miama 70 tu. Unataka mpango wa muda mrefu wa nini? Utakiwepo?Kipi sahihi kati ya kudili na tatizo moja kwa moja au kulifukia ukipamga kulitatua baadae ..Money influx kwa mikataba ya Hovyo ilikuwa ni mpango wa muda mfupi
. wakati Mtwara Gesi inagunduliwa si wakazi wa Dar waliambiwa wataunganishiwa na mabomba ya gesi kazi ni kufungua koki tu? Alichokuwa akifanya kikwete ni kutuhadaa na Mtaji wa nchi(kuuza rasilimali kwa wawekezaji)...Magufuli alituonyesha uhalisia wa uchumi wetu ulivyo
Jpm kashaharibu kitu ambacho kinamtesa mama pia sema hana kelele tu kama jpm aliyemnanga jk bila kujua kwamba yeye ndo empty headedAjira hujaa.Hata arudi huyo JK leo hawezi kuajiri wengi kama kipindi kile
Mkuu, watoto/watanzania wanapo ongezeka, na bajeti nayo inabidi iongezeke. Ndio maana tunapaswa kuchagua viongozi ambao watakuza uchumi wa Nchi ili kukidhi mahitaji ya msingi ya wananchi wake. Kukuza uchumi wa Nchi kwa kutumia rasilimali zake ipasavyo. Aidha kupunguza matumizi ya kawaida (yasiyo ya maendeleo katika bajeti ya Serikali) ili kukidhi mahitaji ya muhimu ya Nchi.Watoto pia wameongeka which means mahitaji ya walimu ndo mengi zaidi
Ndo mana bajeti imeongeka piaMkuu, watoto/watanzania wanapo ongezeka, na bajeti nayo inabidi iongezeke. Ndio maana tunapaswa kuchagua viongozi ambao watakuza uchumi wa Nchi ili kukidhi mahitaji ya msingi ya wananchi wake. Kukuza uchumi wa Nchi kwa kutumia rasilimali zake ipasavyo. Aidha kupunguza matumizi ya kawaida (yasiyo ya maendeleo katika bajeti ya Serikali) ili kukidhi mahitaji ya muhimu ya Nchi.
Watanzania hamshughulishi vichwa vyenu. Kwa nini? Kama unasema kipindi cha Kikwete kilikuwa na ajira utasemaje wakati wa Nyerere? Au Mwinyi? Ni hivi: Kadiri miaka inavyozidi kusonga mbele ndivyo ajira zinavyopungua kwa sababu CCM haifanyi lolote ku-create ajira. Wapo wapo tu.Kipindi cha JK hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari ambaye hakupata ajira serikalini labda usiende kulipoti wewe mwenyewe kwa sababu private sector napo kulikuwa very strong hivyo mtu anafanya choice tu.
Kipindi cha JK mpaka wazazi walikuwa wanawahimiza watoto wasomee ama ualimu au udaktari kwani ajira zipo za uhakika.
Sasa alipokuja yule bwana (jpm) akaharibu utaratibu ule wa kuajiri watu wote wa kada hizo akaanza kudokoa dokoa mara mwaka huu tunaajiri elf 100 au elfu 200 maana uchumi ni mbovu.
Kwa kweli tulipmaliza kipindi hiko tunakukumbuka sana JK acha hawa waliomaliza miaka ya 2000 wasikuchukulie poa maana hawakujui.
Wasomi walikuwa wachache sana. kumbuka kipindi JK anaingia vyuo vya Serikali vinavyotoa degree vilikuwa vitatu tu (UDSM-ikijumuisha colege yake ya UCLAS na Muhimbili), SUA na Mzumbe tena hivi vyuo vikiwa na wanachuo wachache wanaohitimu. Sasa hivi kuna vyuo karibu kila Mkoa na vinatoa shazi ya graduate.Kipindi cha JK hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari ambaye hakupata ajira serikalini labda usiende kulipoti wewe mwenyewe kwa sababu private sector napo kulikuwa very strong hivyo mtu anafanya choice tu.
Kipindi cha JK mpaka wazazi walikuwa wanawahimiza watoto wasomee ama ualimu au udaktari kwani ajira zipo za uhakika.
Sasa alipokuja yule bwana (jpm) akaharibu utaratibu ule wa kuajiri watu wote wa kada hizo akaanza kudokoa dokoa mara mwaka huu tunaajiri elf 100 au elfu 200 maana uchumi ni mbovu.
Kwa kweli tulipmaliza kipindi hiko tunakukumbuka sana JK acha hawa waliomaliza miaka ya 2000 wasikuchukulie poa maana hawakujui.
nadhani zipo ajira nyingi mno, bwerere tena za kumwaga sekta binafsi mathalani kwenye kilimo, biashara, ufugaji, uvuvi, usafirishaji n.kKipindi cha JK hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari ambaye hakupata ajira serikalini labda usiende kulipoti wewe mwenyewe kwa sababu private sector napo kulikuwa very strong hivyo mtu anafanya choice tu.
Kipindi cha JK mpaka wazazi walikuwa wanawahimiza watoto wasomee ama ualimu au udaktari kwani ajira zipo za uhakika.
Sasa alipokuja yule bwana (jpm) akaharibu utaratibu ule wa kuajiri watu wote wa kada hizo akaanza kudokoa dokoa mara mwaka huu tunaajiri elf 100 au elfu 200 maana uchumi ni mbovu.
Kwa kweli tulipmaliza kipindi hiko tunakukumbuka sana JK acha hawa waliomaliza miaka ya 2000 wasikuchukulie poa maana hawakujui.
Mkuu huwezi tu kuongeza ustawi na uchumi wa Nchi kwenye bajeti ya kawada kwa say 60% na ya maendeleo 40% na kati hizo 40%; 20% ni za ndani zilizobaki 20% ni mikopo na misaada: UHUTOBOI, MIISAADA NA MIKOPO ITAKUHUSUNdo mana bajeti imeongeka pia
Uchumi wa nchi yetu tunapaswa kuongeza matumizi siyo kupunguza ili kuchochea mzunguko wa pesa na kujaza ukwasi mtaani kwa wafanyabiashara. Ungekuwa umesoma uchumi usingepuyanga
Naona umekuka nanpoint nyingine baada ya point ya kwanza kufeliMkuu huwezi tu kuongeza ustawi na uchumi wa Nchi kwenye bajeti ya kawada kwa say 60% na ya maendeleo 40% na kati hizo 40%; 20% ni za ndani zilizobaki 20% ni mikopo na misaada: UHUTOBOI, MIISAADA NA MIKOPO ITAKUHUSU
Ajira ndo muhimu kuliko chochote. Si unaona wahamiaji haramu kiutoka sudan kila siku wanakamatwa japo kwao kuna hivyo vi SGR na mabwawa ya umeme? The good choice ni watu kwanza siyo vitu. Jk was extremely very right
Siku ukijua kuwa elimu na akili ni vitu viwili tofauti...wewe unavijielimu hila akili haunaWe ni poyoyo.
Maendele ni
C +I+G+ (x-m). Vyote hivi vinategemea ajira ya mtu mmoja mmoja. Kama.ajira hamna vyote hivyo vinaenda chini na kusalisha wakimbizi kama sudani kusini regardless kuwa na miundo mbinu mizuri sana
Sasa hapa unakuwa kama mpiga ramliAjira hujaa.Hata arudi huyo JK leo hawezi kuajiri wengi kama kipindi kile
Kwa hiyo million 16 ya watanzania iliyoongezeka ni watu wazima ambao hawahitaji elimu Wala HUDUMA za afya ???Tanzania wakati wa Kikwete ilikuwa na watu milioni 44, Tanzania ya leo ina watu milioni 60.
Kabisa na unawatesa hadi huko alipo 8Ni mzimu haswa. Mana alitutesa kweli