Sasa sijui na wale waliooa na kuolewa na wanatoka nje ya ndoa zao sijui tuwaiteje? I guess wao wanaheshimika zaidi na "jamii" kwa vile wako kwenye ndoa....
heshima ya mtu inakamilika kwa kuoa/kuolewa?....cku hizi mbona kwenye ndoa uhuni ndio kiboko?.....
Hii ni dhana potofu! Ni nani anayetoa mamlaka ya kuamua kuwa wale ambao hawajaoa au kuolewa ni wahuni? Uhuni ni nini?
asante shem le kwa kweli unagonga mule mule tu
hao wana ndoa ni wangapi wanaongoza kwa kuzini (nyumba ndogo kila kona)
kwa kweli sitaogopa hukumu za macho ya watu as far as the truth is within me....
I will never despair.........uhuni mtu anafanya popote tu kwenye ndoa au hata akiwa hana ndoa!!
cku hizi ndoa ni fashion tu, ili mradi mtu na yeye aonekane ameoa/olewa, uhuni mtindo mmoja, kuumizana tu....
kama hutaki vyote, na kutendwa uache. Vinginevyo utajikuta una mtoto na umeolewa bila kujijuamie huwaga najiulizaga pia,kuolewa na kuzaa watoto ni kitu must??? As a young woman...i dont want any of this...nikisemaga hivi kila mtu ananishangaa???labda nikifika huko nitajutia.ila kwa sasa am 26 and yes i dont want to get married..and i dont want children!!........huyo dada nadhani anahitaji moral support....!!
cku hizi ndoa ni fashion tu, ili mradi mtu na yeye aonekane ameoa/olewa, uhuni mtindo mmoja, kuumizana tu....
Wanawake hufikiri kuolewa ni kila kitu, na kwa kawaida ndoa nyingi huwa ni matokeo ya mashinikizo ya mwanamke na jamii.
wanaume wengi hawachulii ndoa 'serous' sana.
Mwambie kuoa au kuolewa si lazima.
Ni sawa na kuoga sio lazima uoge ila ni muhimu.
Hii ni dhana potofu! Ni nani anayetoa mamlaka ya kuamua kuwa wale ambao hawajaoa au kuolewa ni wahuni? Uhuni ni nini?