Kwani lazima kuoana?

Kwani lazima kuoana?

slama
sio lazima huyo dada asubiri 'yeyote' atokee....another alternative ni kumleta hapa JEIEFU....akianzisha thread am sure atapata wanaume kibaaaaaaao...:behindsofa:

hivi Jeiefu bado kuna watu single???
 
haluuu....Dark City nitamuita wife hapa aje ashuhudie haya maandishi ..

Kwani kuwepo in retrospect hairuhusiwi? Wewe hujauliza kama unataka vijana wa leo, jana au kesho. Ndo maana na mimi nakwambia tupo tu. Halafu huyo unayetaka kumwita anatambua fika kuwa kufanya mazoezi ni muhimu ili tusisahau. Kwa hiyo ruksa ninayo dada, usiwe na shaka!
 
Ukitazama jamii yetu ya kitanzania kuolewa ama kuoa imekaa kiwajibu zaidi ya hiyari. Kwani mara nyingi kwa sisi wanaume mara baada ya kufikia hatua ya kuanza kujitegemea linalofuata kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki huwa ni swali "Utaoa(utachukua jiko) lini bwana?"
 
Wakuu ningependa kufahamu kwa nini watu wanaoana? Naomba nipewe majibu kwa kila mtu anavyoona swala hili.
 
Ili watengeneze familia.
Yaani aongezeke mama/baba na watoto.
Huo ni kwa mtazamo wangu. Ila sababu zipo nyingi.
 
Ni kwa mazoea, Kwa Wanawake waliowengi hasa hapa bongo ni "greatest achievement" wako tayari kulazimisha ndoa hata kwa kubeba mimba kutimiza malengo
 
ati wanadai....unakuwa likely kupata sex whenever you need na pia waoa/kuolewa kwa ajili ya HESHIMA....ati unaheshimika ukioa na kuolewa.
 
because no one wants kuzeeka akiwa mpweke.....!
kuanzisha familia,ambayo ni kama investment ya kuja kukutunza ukiwa mzee..lol:coffee::laugh::laugh:
 
Ili wapewe ruhusa ya kufanya ngono kila wanapotaka na bila kuogopa Baba/Mama.

Maswali mengine bana utata mtupu
 
ati wanadai....unakuwa likely kupata sex whenever you need na pia waoa/kuolewa kwa ajili ya HESHIMA....ati unaheshimika ukioa na kuolewa.

Hapo kwenye Bold sikubaliani na wewe kwani wako wana ndoa wanalala nyumba moja kila mtu chumba chake wengine mzungu wa nne, wengine wake zao wana lala wame vaa Jeans!!!!!!!!!

Nadhani watu wengi kwa sasa wanao kama Fashion kwamba flani kaoa na yeye inabidi ila ukimfuatilia kiukweli hana sababu kwani unakuta ana mke/mume ila kwa mechi za nje siyo mchezo
 
Kuna mawili hapo. Kwa nini unaolewa na faida ya kuolewa. Kujibu la kwanza tunapooa, kwa mimi niliolewa kwa kuwa I was soo in love very crazy in love. Siwezi kumjibia jamaa kwa nini alinioa. I wanted to spend the rest of my life with him. I wanted to make him mine, to own him, not ot share him with any other woman in this world. As days went on I tried to see married as something more than love. I have a great companion. A person we can discuss issues. A person I can tell things (secrets) that I would not share with anyone at work. A person we have things that we share, our children. A person who offers a sholder to cry on when I am down. I feel a sense of protection with my husband. Nisingeolewa nadhani nisingekuwa naheshimika kama nanvyoheshimika sasa. Hata kama ningekuwa na boyfriend au ningeamua kuwa nyumba ndogo umri ukienda ni lazima nitahachwa mpweke kwani wanume wanapenda dogodogo. Mume wangu hataniacha hata niki-turn 50.
 
Hapo kwenye Bold sikubaliani na wewe kwani wako wana ndoa wanalala nyumba moja kila mtu chumba chake wengine mzungu wa nne, wengine wake zao wana lala wame vaa Jeans!!!!!!!!!

Nadhani watu wengi kwa sasa wanao kama Fashion kwamba flani kaoa na yeye inabidi ila ukimfuatilia kiukweli hana sababu kwani unakuta ana mke/mume ila kwa mechi za nje siyo mchezo

Wewe unaesema fahion hayajakukuta. Utakuja kumbuka shuka kumekucha. Yes usi force marriage. Na siamini kuna mtu analazimisha ndoa. Ila kwa wanawake ukijitia unanata utaishia kutumiwa na wame za watu wanapopata stress kwa wake zao. Ndo maana wanawake wazuri sana wanadoda kwani wanaona "I am too beautifu to be under this guy's possession". Kila anaekuja unadengua mwisho wa siku ngozi imeshuka hupati cha salamu wala nini. Angalizo, ndoa bado ni muhimu kwa wa africa msiige wazungu wenye laana wanaooana jinsia moja. Mnaosema kuoa/ kuolewa si lazima ni watumwa wa western culture. Poleni, wenzenu tunafaidi. Angalia wanawake waso na wame walivyo na visirani. Hawana wa kuwapunguzia stress. Ndoa raha.
 
Mi bado but have seen alot,.personally sijawahi kuona ndoa that has no love(ME) and i have seen bestfriends from the couples around me sio kuwa hawana matatizo ila what they have is big!ningesema kama nyumba kubwa.
 
Watu huoana kutokana na sababu mbalimbali,mfano to share costs and availability of sex is guaranteed.
Na pia watu huoana kutokana na jinsi walivyo ridhishana kimapenzi na hali kama hii hutofautiana kutokana na tabia za wapendanao. Kila mmoja anatabia zisizofanana na za mepeziwake lakini kila mmoja hupenda tabia za mwenzie.
 
Nature.............................................................................................................agizo?
 
ndoa ni mila na desturi zilizopitwa na wakati......mambo ya kuoana yamepitwa na wakati.
 
wanaoana ili kumiliki sehemu sehemu za viungo fulan hv ili wawe wenyewe 2uu wanamilikiana ni hvyo 2uu
 
Back
Top Bottom