Kwani lazima kuoana?

Kwani lazima kuoana?

Unajua wewe umenimalizia charge yangu sina umeme. Sawa let me come down zaa/zalisha na uolewe/uoe umefurahi

Pole kwa kuishiwa charge nadhani ukisha chaji utakuja na majibu mazuri sio ya hasira

Kwanza sijashawishi mimi nimetaka kuelimishwa tu lakini naona bado sijapata majibu yakunielimisha, Pili Juzi nchini uingeleza mama mmoja kwa jina la Winter Pincot amesherehekea miaka 80 ya u virginity anasema hajawahi kufanya tendo hilo kwakuwa alikuwa anachukia usumbufu wake sasa huyo hatuwezi kwenda zaidi kumuuliza alifunga ndoa wapi kwakuwa hata tendo la ndoa hajawi kulifanya maishani!

Mulama kwa hii post? Watoto show...sisi ni maua tuliyopendwa na Mungu mwenyezi...

Mdau mmoja katuma post kwamba babake wa age ya 70 kabaka housegirl na mama yao anataka kimka after being couple for a century!! unasemaje hapo??

Mnhhh, ana miaka 70, "being couple for a century"? Imekaaje hii? Mbona haziendani?

Mpendwa where ar you! My fellow mchunguzi? kindly do the needfull via mobile ina nilimit mno

Mhhh!! Dena unaomba usaidizi??! ama kweli nimekushika leo basi kama umeelemewa nitakupunguzia makali ya mada sawaeeeh!

Mhhh!! Dena unaomba usaidizi??! ama kweli nimekushika leo basi kama umeelemewa nitakupunguzia makali ya mada sawaeeeh!

Tuko wachunguzi wawili mimi na mpendwa mimi nina simu yeye na comp siwezi kufanya kazi yangu sasa km vp subiri kesho ha h a ha siombi msaada wa kihivo

Tuko wachunguzi wawili mimi na mpendwa mimi nina simu yeye na comp siwezi kufanya kazi yangu sasa km vp subiri kesho ha h a ha siombi msaada wa kihivo

Wewe comp umepeleka wapi? hata hivyo niligundua toka jana unavyopata shida nimekwisha post sledi ya kukuombea comp nami nimeanza kuchangia efu 50 hujaisoma?

Ni tafakuri jadidi katika mkutadha huu, je wadau nyakati hizi tulizo nazo kuna haja ya kuoana? Ikiwa tendo la kuzaa na kuijaza dunia tuliloagizwa na maulana tunalitimiza kikamilifu nje ya utaratibu huu wa kuoana na imefikia mahala hata wengine hatutaki tena kujaza dunia tuna abort au kuua vi offspring vyetu kinyume na mpango wa mola!
Mimi naona mpaka hapo kuoana ni uchoyo tu wa kutaka mtu mmoja kushikilia mwenzie na kuwanyima fursa wengine kuongeza dunia hapohapo!
Mnasemaje wadau?

Mada yako umeichanganya kiasi kwamba ni ngumu kujua point yako kuu iko wapi? Kwanza hapo kwenye red, kwako wewe kuoana ni kuzaa, which is wrong. Kwani mimi mfano nilivyoolewa sikuwa na wazo la kuzaa. Na nilikaa kwenye ndoa 4 years ndio tukafikiria kuanza kuzaa. Kuoana kwa dhati ni msukumo wa mapenzi yaliyopitiliza yanayowafanya watu muhisi mkikaa pamoja 24/7 mtafaidi zaidi!

Pili mada yako inaonyesha unaona ni vizuri mtu kuwa na multiple partners at a time au kubadili partners now and then. Kwangu sioni kama ni poa hata kama kungekuwa hakuna magonjwa.

Tatu as long as jamii duniani kote bado inathamini ndoa (hata wadhungu wanaoana japo wanadivorce daily), kuwa single kwa kiasi fulani kunamfanya muhusika kujihisi socially excluded. Hata ulaya ukimuuliza mtu marital status kama ameoa/ameolewa anakujibu with a smile. Ila kama yupo yupo anakwambia it is a odd question. Why?

Kulea watoto si shida na wala mujarabu wake si ndoa kwani kuna single parent wengi wanaotokana na ndoa zilizovunjika na hawa hawaitwi yatima bali wanaitwa wanalelewa na mzazi mmoja
Hilo body ni lako? Dou!

Wewe comp umepeleka wapi? hata hivyo niligundua toka jana unavyopata shida nimekwisha post sledi ya kukuombea comp nami nimeanza kuchangia efu 50 hujaisoma?

Mulama bana nakushukuru kwa mchango wako mkubwa thanx

Mada yako umeichanganya kiasi kwamba ni ngumu kujua point yako kuu iko wapi? Kwanza hapo kwenye red, kwako wewe kuoana ni kuzaa, which is wrong. Kwani mimi mfano nilivyoolewa sikuwa na wazo la kuzaa. Na nilikaa kwenye ndoa 4 years ndio tukafikiria kuanza kuzaa. Kuoana kwa dhati ni msukumo wa mapenzi yaliyopitiliza yanayowafanya watu muhisi mkikaa pamoja 24/7 mtafaidi zaidi!

Pili mada yako inaonyesha unaona ni vizuri mtu kuwa na multiple partners at a time au kubadili partners now and then. Kwangu sioni kama ni poa hata kama kungekuwa hakuna magonjwa.

Tatu as long as jamii duniani kote bado inathamini ndoa (hata wadhungu wanaoana japo wanadivorce daily), kuwa single kwa kiasi fulani kunamfanya muhusika kujihisi socially excluded. Hata ulaya ukimuuliza mtu marital status kama ameoa/ameolewa anakujibu with a smile. Ila kama yupo yupo anakwambia it is a odd question. Why?

Kuoana bila kufocus katika kuzaa sio mpango wa Mungu na hata wewe kama mlikaa miaka 4 bila kuzaa kwa vyovyote mlikaa mbali na familia ya ndugu za mume vinginevyo kelele za mawifi usingezimudu hapa namaanisha kuwa ndoa ispojibu inakuwa balaa kwahiyo si mimi tu mwenye wrong perception katika hilo.
Pili sijamaanisha kuwa na multple partners ila ni kama ulivyo demo kuwa ulaya wanaoana na kuachana meaning unapoachana for the time being mnakuwa hamna ndoa sasa utaona most of people wana tie knots za maisha hivyo hakuna provision ya divorce kama hao wa ulaya

Tatu kuoana kwako maana yake ni security na social acceptability kwako na si kuwa kunakuwa na kikubwa zaidi ya hicho.

Kama maana ni hiyo je ni kweli kuna amani na mshikamano katika ndoa ili haya ya security na kukubalika katika jamii ni lazima kuwepo na piece and tranquility katika ndoa je ndivyo ilivyo sasa?
je haijafikia mahala couples kila mtu anakuwa na mipango yake?

Labda nikupe mfano mwingine. Katika jamii hata Tz kuna watu waliingia kwenye ndoa alafu waka divorce. The way jamii inavyomchukulia mtu aliye divorce ni tofauti na yule ambaye amefika 45 bila ndoa. In fact watu wana sympathize na mwanandoa aliyedivorce even without knowing the reason. Yaani mara kumi uoe/olewe ndoa ikushinde jamii itakuelewa kuliko kutoingia kwenye ndoa maisha yote. Kwa kifupi utaonekana hauko sawa, and that is what I mean by social exclusion.

Ndio maana kuna watu wanatafuta hata wenza wa hovyo kutoa nuksi.

Jamii ku sympathize, jamii kukuona si wa kawaida jamii, jamiii, jamiii!!!! hivi usawa wako unatokana na jamii inavyokuona na kukuchukuia au ni zaidi ya kuwa mkamilifu kwa faida yako mwenyewe na mbele za Mungu wako aliyekuumba kwanza? umenena vyema kuwa wapo wanaotafuta hata watu wa hovyo na kuingia nao kwenye ndoa kuondoa nuksi! hapo uutaona kwamba watu wanaingia kwenye ndoa bila kuwa na enngo la ndani bali muonekano katika jamii kuwa wameoana!

Nipitie hapa ku emphasize mada yangu kwamba ndoa kama taasisi, ndoa kama chimbuko la familia, ndoa kama shina la mshikamano na umoja sasa hayo hayapo katika kitu kinachoitwa ndoa bali yanafanyika pasipo ndoa je bado kuna haja ya kuoana tena siku hizi??

Back
Top Bottom