Torquemada
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 231
- 260
Nani kakudanganya zimechomwa moto zote?[emoji23][emoji23]Kama ni kweli kwa nini mzichome moto? Kwa nini mliharibu ushahidi?
Wadanganyeni mafala wenzenu
Huku kudharau-dharau nchi yako ndiko kumefanya hatuendelei kwa miaka mingi na ndiyo 7bbu mojawapo kuu wananchi wakawapigeni chini kwenye uchaguzi huu. Hata hivyo, ndiyo maana tunamhitaji kiongozi makini & mchapakazi kama JPM atuvushe kwenda juu zaidi ya hao unaowaghilibu.
Kura feki mlizotengeneza ili kuwadanya wananchi. Acheni upuuzi wenu. Kama ni za wizi kweli ziwekeni hadharani na majina ya waliofoji.Hivi nyie CCM mna akili hata kidogo? Kwa hiyo hizo kura ambazo viongozi wa CHADEMA na ACT wameonyesha vyombo vya habari zimechomwa?
Halafu akili yako kiasi cha kuku hata haijui kuwa katika Tanzania, NECCM ikishamtangaza Magufuli mshindi, hairuhusiwi kupinga mahakamani! Yaani mtaji wa CCM ni ujinga ujinga ujinga. Na watu kama wewe ndio mtaji wa CCM.
AiseeKama mlikamata kura za wizi kwa nini mlizichoma? Kwanini msifungue kesi kupinga matokeo mahakamani na huo ndio ukawa ushahidi?
Maandamano hayaleti mabadiliko ya uchaguzi ambao CHADEMA wameshindwa kihalali.
Utakuta jitu zima linaitwa baba kabisa na midevu alafu ubongo ni kikopo[emoji23][emoji23]Ma-CCM ni majinga sana. Yaani wakati mwingine naona napoteza muda kubishana nayo.
na kama walizikamata lazima zilikua na mtu huyo mtu yuko wapi?Kama mlikamata kura za wizi kwa nini mlizichoma? Kwanini msifungue kesi kupinga matokeo mahakamani na huo ndio ukawa ushahidi?
Maandamano hayaleti mabadiliko ya uchaguzi ambao CHADEMA wameshindwa kihalali.
Wewe tushakupuuza jamaa lijinga fulani hivi bado unalamba makasi.Kura feki mlizotengeneza ili kuwadanya wananchi. Acheni upuuzi wenu. Kama ni za wizi kweli ziwekeni hadharani na majina ya waliofoji.
Chadema ushoga unawapeleka kasi Sana...Kenya Mara ngapi wameuana kwa mambo ya kipumbavu kipindi Cha uchaguzi..fanya HV kesho chukua jiwe ingia mtaani kampopoe FFU Amsterdam atakutetea....jiulize marekani kwanini waafrika wanauliwa na hatujawahi sikia Trump anapelekwa Hague...fanyeni kazi madogo
Hapo umemaliza uongo wao kabisa.na kama walizikamata lazima zilikua na mtu huyo mtu yuko wapi?
kwanini wasimuulize kazitoa wapi na nani kampa? huwezi tu kusema
nimezidaka kura feki ziwe tu zimekaa kama furushi la uchafu barabarani.
Huu upumbavu peleka nyumbani kwako. Wanaandamana kudai maslahi ya familia zao au watanzania wote?NIMENUKUU
UKIWAONA HAWA KATIKA MAANDAMANO, ANDAMANA!!
---------------------------------
1. Ukimuona Dudley, mtoto wa kwanza na Freeman Mbowe na wadogo zake wakiongoza maandamano nawe andamana. Freeman Mbowe pekee hatoshi, yeye hawezi kupigwa risasi hata moja. Nafasi yake ya Uenyekiti wa Chama kikuu cha Upinzani nchini inamlinda, ni jicho la Dunia anatazamwa, hakuna risasi inayoweza kuelekezwa kwake hata moja. Pale Mkwajuni Kinondoni risasi ilimkwepa Mbowe ikamuua Akwiline Akwelina. Wazazi wake wanalia hadi sasa, hakuna kitu. Usipowaona watoto wa Freeman Mbowe usiandamane!!
2. Ukimuona Alicia Magabe na watoto wake wa damu andamana. Alicia ni mke wa Tundu Lissu ambae Urais wa Lissu unamhusu zaidi kuliko mimi na wewe. Ukimuona Tundu Lissu peke yake usidanganyike kuandamana. Lissu ndie aliegombea Urais kwa Chama kikuu cha upinzani akiungwa mkono na ACT Wazalendo, huyu ni icon ya uchaguzi, ndie mwanamkakati ktk maandano hayo. Dunia yote ipo kwake, akifa hakuna cha kujificha, mission INATIKI.
Hakuna Askari mpumbavu anaweza kulenga shabaha ktk mwili wa Lissu, risasi zitaelekezwa kwako. Utakufa na si ajabu usifahamike, taarifa zako hazitofika popote, utakufa kama Mbwa, utazikwa siku inayofuata ktk kabuli la futi mbili au usizikwe kabisa. Usipomuona Alicia na wanawe, usiandamane!!
3. Ukimuona Bi Fourtuna Salehe na Bi Aweina Sinani na watoto wao katika maandamano andamana. Hii ni familia ya Maalim Seif ambayo inasemwa kuwa imepelekwa Oman mafichoni tayari. Wanasema watu wameuawa Zanzibar lkn hakuna jina la mtoto wa Maalim Seif wala wa mtoto wa Jussa hata moja. Usiwe mjinga, hukuzaliwa kuwa chambo, hukuzaliwa kwa ajili ya Urais wa Maalim au Lissu. Wakiwa Marais wewe haitokusaidia chochote. Usipomuona mtoto wa Maalim Seif, wake zake na familia yake jilalie zako nyumbani hauna cha kupoteza.
4. Ukimuona Anna Bwana, Wiza na Josina ktk maandamano yaliyoitishwa na wewe ungana nao, andamana kwa moyo mkunjufu kabisa. Hii ni familia ya Zitto Kabwe, akiwa peke yake muache aendelee na kazi yake. Zitto Kabwe ni Kiongozi wa Chama cha upinzani (KC), ni jicho la Dunia hawezi kupigwa risasi taratibu za kuzuia maandamano zinamtambua na kumlinda. Usipomuona mke wake, watoto na ndugu zake wengine achana na kazi hiyo haina faida itakupeleka kuzimu bure.
5. Ukimuona Askofu Bagonza na mkewe, na watoto wake wote ktk maandamano andamana. Akiwa peke yake muombee kwa Mungu, usijiunge nae. Ukimuona Lema na watoto wake, Sugu na mke wake na watoto zake, Msigwa na wadogo zake kutoka Iringa, Heche na mkewe na watoto wake andamana.
Ukiwaona wao peke yao usiandamane, Ubunge na Urais wao hauna maana yoyote kwako. Maisha yako ni ya kwako peke yako, pambana!!
#USIANDAMANE!!
bas kama wataandamana na ww mkuu bila shaka itabid uwepoHuu upumbavu peleka nyumbani kwako. Wanaandamana kudai maslahi ya familia zao au watanzania wote?
Hii yote uliyoandika ni UPUUZI.
Hata uwafundishe wawe na PhD kama kura zinaibiwa na NECcm kushirikiana na Policcm hazitavunjwa ni kazi bure
Hakuna sheria inayoruhusu maandamano tz
Wewe ni mpuuzi na hufai hata kuwa humu JF, nenda Facebook huko. Katiba inasema nn kuhusu kesi za uchaguzi. Unatujazia server tu.Kwanini msifungue kesi kupinga matokeo mahakamani na huo ndio ukawa ushahidi?
Ahaaaaa, hasira za nini? Halima alitakiwa atunze ushahidi, nyie kwa uongo wenu mkauchoma. Uongo wa kipuuzi kabisa. Kwani rais akiiba kura na ikiwa ni kweli uchaguzi hauwezi kurudiwa?Wewe ni mpuuzi na hufai hata kuwa humu JF, nenda Facebook huko. Katiba inasema nn kuhusu kesi za uchaguzi. Unatujazia server tu.
"Wanaoshabikia ccm ni mbumbumbu"..Twaweza