Kwani Makonda alitenda dhambi ngapi? Mbona anataka kuombewa na kila mtu?

Kama ww ulivyo mpumbavu!! Yaani unashangaa ya bashite ila ya dikteta mbowe haushangai!

Jipige kifua sema ww ni hamnazo.
Uliona Mbowe akizunguka makanisani na misikitini ?
 
Mwacheni kijana afanye amani na watu. Anajua wapi alijikwaa.
 
Makonda nafsi inamtesa sana hata AKIOMBEWA na PAPA FRANCIS bila Kutubu kwa Aliowakosea ni kazi bure tu kwa sasa Toba inamsumbua na hataipata mpaka akiri alichokifanya.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Ameua watu wengi sana
 
Mmmh !! Dunia Duara ! Ngoja Tusubiri tuone !!
 
Anatapatapa tu. Huwezi kutafuta maisha Kwa kupoteza maisha ya watu ukabaki salama. Awaambie ukweli hao anaowaomba wamuombee vinginevyo Mungu hawezi kusamehe dhambi ambayo haijanenewa.
 
Moyo wa mtu kichaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…