Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
DuhDamu za watu zinamlilia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhDamu za watu zinamlilia.
Ametoka wapi kwani?Acheni unafiki mlimwombea mabaya sana lakini wapi!
sijawahi kupanicUmeshapanic 😂
Hakuna upako bila kufanya toba ya kweli. Na toba ya kweli, kwanza ni kuwapigia magoti uliowadhulumu, ndipo uende nyumbani mwa bwana kuupata utakaso. Vinginevyo, anavyozidi kuwafool viongozi wa dini, anazidi kuchota laana badala ya baraka.Tulia bwana. Muache Kiongozi wetu shupavu apate upako wa viongozi wetu wa dini. Anajitafuta baraka zaidi na zaidi. Kwa maombezi yao, uKatibu Mkuu anao.
Hujipendi kabisa yani! Endelea na maswali yako korofi utajikuta akhera na kama msaidizi wa malaika.Vipi walio kwenda hija mtu na dakitari wake walifanya dhambi gani?
Zikiwapa ushindi mnasemaga zimetenda haki, mkikalia kuti kavu mnazibeza. Nyie chadena si mnao mawakili wasomi?Mahakama hizihizi za akina Thomas Simba ?
Kumbe wewe huelewi kabisa maswala ya dini. Hivi unadhani tunaenda kanisani kufanya nini?Kwani we kila unapoombewa dua unakuwa umetenda dhambi? Kwamba ukienda masjid au kanisani we ni mdhambi? Hivi vibonzo utavipata ufipa tu.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
anayeteseka ni yeyeAtawatesa sana Makonda...
Makonda aipoteze Chadema ! Nadhani ndio siku dunia itakuwa imefika mwishoAnapata upako kabla ya ziara ya nyanda za juu kusini kama nawaona Chadema mtakavyopotezwa na digital wenu feki😁
Damu za watu alioua zinamtesa. Na bado ataanza kutembea uchi na lile sambwanda sipati pichaKiukweli sijawahi kuona mtu anayetaka kuombewa na kila dhehebu, huyu ni wa kwanza , yaani ukivaa msalaba au Baraghashia , au ukishika Tasbih au Rozali basi atakuvamia umuombee!
Kwanini anataka aombewe na kila mtu , alitenda Makosa gani? Je ni mzima au amepata matatizo ya Ubongo , hivi hawa wanadamu anaotaka wamuombee wenyewe ni waadilifu kiasi gani?
Kwa Mujibu wa Maandiko Matakatifu , Njia pekee ya kusamehewa na Mungu ni kukiri makosa hadharani na kuwaomba radhi kwa mdomo wako wote uliowakosea , vinginevyo ni sawa kutwanga maji kwenye kinu .
Angalizo kwa viongozi wa dini , na angalizo hili mlizingatie , si kila mtu ni wa kukaribishwa mazabauni , mkiendelea hivi mtakumbana na adhabu ya Mungu waziwazi.
Hata sisi waumini wenu hatutakubali mtudhalilishe kwa kuwakumbatia wachafu na wauaji , TUTAWAONDOA KWENYE HIVYO VYEO KAMA ILIVYOWAHI KUTOKEA HAPO AWALI , JIHESHIMUNI
View attachment 2831702View attachment 2831703
Kamuulize mama yakoMbona Askofu Dr Shoo alikuwa anaenda Gerezani kumuombea Mbowe Wakati wa Ugaidi?!
Nchi hii wajinga kuja kuisha labda ije gharika kama ya Nuhu.Tatizo hao wanasumbuliwa na mengi! Ukanda,udini na ukabila! Wapuuzi sana!
Sasa msio na ushahidi acheni kulialia. Waachieni hao wenye ushahidi ndiyo waongee.Ushahidi wote Marekani inao
Kiukweli sijawahi kuona mtu anayetaka kuombewa na kila dhehebu, huyu ni wa kwanza , yaani ukivaa msalaba au Baraghashia , au ukishika Tasbih au Rozali basi atakuvamia umuombee!
Kwanini anataka aombewe na kila mtu , alitenda Makosa gani? Je ni mzima au amepata matatizo ya Ubongo , hivi hawa wanadamu anaotaka wamuombee wenyewe ni waadilifu kiasi gani?
Kwa Mujibu wa Maandiko Matakatifu , Njia pekee ya kusamehewa na Mungu ni kukiri makosa hadharani na kuwaomba radhi kwa mdomo wako wote uliowakosea , vinginevyo ni sawa kutwanga maji kwenye kinu .
Angalizo kwa viongozi wa dini , na angalizo hili mlizingatie , si kila mtu ni wa kukaribishwa mazabauni , mkiendelea hivi mtakumbana na adhabu ya Mungu waziwazi.
Hata sisi waumini wenu hatutakubali mtudhalilishe kwa kuwakumbatia wachafu na wauaji , TUTAWAONDOA KWENYE HIVYO VYEO KAMA ILIVYOWAHI KUTOKEA HAPO AWALI , JIHESHIMUNI
View attachment 2831702View attachment 2831703
Amini Mungu kivyako, usiamini huyo ndugu na wengine waonaoamini Mungu kivyao....Kumbe wewe huelewi kabisa maswala ya dini. Hivi unadhani tunaenda kanisani kufanya nini?
Wakristo wakatoliki kabla ya chochote, tunaanza na sala ya kuomba toba kwa Mungu kwa vile sisi siyo watakatifu. Ndiyo maana miongoni mwa maneno tunayoyatamka ni, "kwani nimekosa mimi nimekosa sana, kwa mawazo, kwa maneno, kwa matendo na kwa kutotimiza wajibu. Kwa hiyo lengo letu la kwanza ni kuomba toba kwa Mungu. Na hiyo inatakiwa kuwa imetanguliwa na kumwomba msamaha binadamu mwenzako uliyemkosea.
Siamini kama huyu ndugu yetu huwa anaenda kwa hao viongpzi wa dini kwenda kuomba msamaha. Bali anafanya hila.
hivi hiyo chama ipo?Makonda aipoteze Chadema ! Nadhani ndio siku dunia itakuwa imefika mwisho
Makonda anawakosesha usingizi. Chama chenu kimekosa mwelekeo mmebaki kudandia vitukio. Mwenzenu zitoo anachanja mbuga nyie mmebaki kujifariji eti Chama kikuu Cha upinzani. ZilipindweKiukweli sijawahi kuona mtu anayetaka kuombewa na kila dhehebu, huyu ni wa kwanza , yaani ukivaa msalaba au Baraghashia , au ukishika Tasbih au Rozali basi atakuvamia umuombee!