Kwani Makonda alitenda dhambi ngapi? Mbona anataka kuombewa na kila mtu?

Kiukweli sijawahi kuona mtu anayetaka kuombewa na kila dhehebu, huyu ni wa kwanza , yaani ukivaa msalaba au Baraghashia , au ukishika Tasbih au Rozali basi atakuvamia umuombee!

Kwanini anataka aombewe na kila mtu , alitenda Makosa gani? Je ni mzima au amepata matatizo ya Ubongo , hivi hawa wanadamu anaotaka wamuombee wenyewe ni waadilifu kiasi gani?

Kwa Mujibu wa Maandiko Matakatifu , Njia pekee ya kusamehewa na Mungu ni kukiri makosa hadharani na kuwaomba radhi kwa mdomo wako wote uliowakosea , vinginevyo ni sawa kutwanga maji kwenye kinu .

Angalizo kwa viongozi wa dini , na angalizo hili mlizingatie , si kila mtu ni wa kukaribishwa mazabauni , mkiendelea hivi mtakumbana na adhabu ya Mungu waziwazi.

Hata sisi waumini wenu hatutakubali mtudhalilishe kwa kuwakumbatia wachafu na wauaji , TUTAWAONDOA KWENYE HIVYO VYEO KAMA ILIVYOWAHI KUTOKEA HAPO AWALI , JIHESHIMUNI

View attachment 2831702View attachment 2831703
Lazima aombewe kujikinga na watu wenye roho za kwanini kama chadema!
 
He feels guilty

Senzo 2000's
 
Tambua makonda hajatembelea mtumishi was Mungu hata mmoja Hadi sasa zaidi ya watumishi was serikali wa siri kama hao!!!

Guility ya yaliyomjaa moyoni ndio inayomtafuna akijitahidi kujisafisha kwenye jamii!

Hata hivyo yupo kwenye mission aliyotumwa na kitengo!!

We huoni chongolo out,halafu namba mbili haonekani!!?
Jamii gani anajisafisha nayo? Wewe baki na Imani yako ambayo haina uhalisia!
 
Yaani wamesahau kabisa kwamba siasa ni science na ni taaluma vilevile....

kulalamika, kuzira au kuchukia washindani wao hakubadili chochote kwa wanaofanya siasa za malengo. Na hawa wasipojipanga tutawapanga vizuri sana...
Sayansi yenyewe ndio hii ?
IMG_20211218_014906.jpg
 
Tambua makonda hajatembelea mtumishi was Mungu hata mmoja Hadi sasa zaidi ya watumishi was serikali wa siri kama hao!!!

Guility ya yaliyomjaa moyoni ndio inayomtafuna akijitahidi kujisafisha kwenye jamii!

Hata hivyo yupo kwenye mission aliyotumwa na kitengo!!

We huoni chongolo out,halafu namba mbili haonekani!!?
Umeongea ukweli.
Niliwambia watu wakabisha
 
Yaani wamesahau kabisa kwamba siasa ni science na ni taaluma vilevile....

kulalamika, kuzira au kuchukia washindani wao hakubadili chochote kwa wanaofanya siasa za malengo. Na hawa wasipojipanga tutawapanga vizuri sana...
Wasiojulikana mmerudi baada ya muda mrefu wa likizo bila malipo
 
Sini ilitumika kama hadaa toka mkoloni anajiandaa kutukalia. Itaendelea kutumika kwa hadaa na watu wanaotafuta public sympathy!

Tukumbushane! Wakati wa mambo ya bandari - viongozi wa dini waliambiwa siasa na siasa zisichanganywe! Leo ni hao viongozi wa dini wakitumika kuombea shughuli za wanasiasa!! Ni viongozi hao huitwa kwenye hafla za kisiasa na kiserikali!!
Hehehe
 
Back
Top Bottom