Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Time is telling......CCM ni mfumo sio mtu mmoja, msijisumbue kuelekeza nguvu zenu kwa mtu mmoja mkadhani ndo mnaikomesha CCMSukuma gang, mie nilikuwa mmoja wa watu waliowashambulia sana na kumsifia sana mama SSH.
Lakini hii ya kuanza kuwashtaki watu kuwa ni magaidi imenifanya nitafakari na kuanza kurudi nyuma!
Anachotakiwa kufahamu ni kuwa magaidi wapo ndani ya chama chake ccm na anaishi nao. Time will tell.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo na wewe ni miongoni mwa wapumbavu waliojaa pale ufipa walokuwa wanafikiri Magu alikuwa anatawala nchi kwa utashi wake?Sukuma gang, mie nilikuwa mmoja wa watu waliowashambulia sana na kumsifia sana mama SSH.
Lakini hii ya kuanza kuwashtaki watu kuwa ni magaidi imenifanya nitafakari na kuanza kurudi nyuma!
Anachotakiwa kufahamu ni kuwa magaidi wapo ndani ya chama chake ccm na anaishi nao. Time will tell.
Tukikuwa tunawaambia haya ila wakawa wanashupaza shingo.Time is telling......CCM ni mfumo sio mtu mmoja, msijisumbue kuelekeza nguvu zenu kwa mtu mmoja mkadhani ndo mnaikomesha CCM
Biashara ndio imeanza. Natabiri watakuja kumsafisha "mabaya" waliyosema juu ya JPM ili kuipaka matope awamu hii. Kwavile wanajua huko kwa umma JPM ni kipenzi cha watu watataka ku capitalise huko.
Huko Space kwenyewe main speakers ni wale wale tunaojua misimamo yao sijui kwanini hawatoi mwaliko kwa wenye mawazo tofauti.Mimi natamani waingie barabarani[emoji1787]
Nitakaa na popcorn zangu kushuhudia yanayotokea.
Yalishangilia sana msiba ,,Mimi niliwashusha vyeo vyote tangu zile siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakuunga mkono, nami bado nauchungulia mchezo kwa mbali. Ni ukweli kuwa timu moja inatumia $ na ingine CITIZENS, na mchezo ndio unaanza. Mtanange una matokeo ya aina tatu; timu moja KUSHINDA, au SARE au MPIRA KUVUJIKA. Bado nauangalia.Mimi nimebaki ninaungalia huu mchezo wa kisiasa mpaka mwisho!
Sijui wataanzaje tena kwenda upande wa JPM wakati walishangilia humu meno yote nje..halafu wanajidai kumtaja MUNGU,sijui Mungu gani anakubali huo uhuni wao.Biashara ndio imeanza. Natabiri watakuja kumsafisha "mabaya" waliyosema juu ya JPM ili kuipaka matope awamu hii. Kwavile wanajua huko kwa umma JPM ni kipenzi cha watu watataka ku capitalise huko.
Tayari wameanza kuonesha mama ni mbaya zaidi [emoji57]
Mimi sijawahi hata kuwafwatilia waropokaji wale.Huko Space kwenyewe main speakers ni wale wale tunaojua misimamo yao sijui kwanini hawatoi mwaliko kwa wenye mawazo tofauti.
Hawapendi challenge ndio maana hao ndio mabingwa wa kutembeza blocks [emoji724] . Imagine Kigwangalla ameomba ashiriki lakini hawamkaribishi! Zamani Maccm hata kujiunga JF yalikuwa yanaogopa lakini siku hizi wanawakimbia. Wawaalike akina January Makamba, Nape n.k maana mada zipo wazi na ni mjadala tu.
Huwa wanaongea utadhani wao hawatakufa,wakati Kila mtu atakufa,,jamaa wana akili za ajabu sana wale....kwamba nendeni Chato kwa Mungu wenu...Mungu wenu ameshakufa...mama ameponya majeraha...furaha imerejea...futa legasi...Sabaya tupa ndani...sasa Leo ni kilio kwao. Katekenywa kidogo tu mwenyekiti wa Maisha wa saccos... kelele kama nchi inafutika
Kumi tena kwa mama.Sukuma gang, mie nilikuwa mmoja wa watu waliowashambulia sana na kumsifia sana mama SSH.
Lakini hii ya kuanza kuwashtaki watu kuwa ni magaidi imenifanya nitafakari na kuanza kurudi nyuma!
Anachotakiwa kufahamu ni kuwa magaidi wapo ndani ya chama chake ccm na anaishi nao. Time will tell.
shoga yuleAkina Mshana Jr ndo walikuwa front line proponents wa kutangaza sukuma gang, sasa hivi ndio wanalia kilio cha mbwa, mdomo juu na kumwita mama dikteta!
Kwa wale wakongwe wa Jamiiforums wananifahamu kuwa mimi ni mmoja wa watu tulikuwa nyuma ya aliyekuwa Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tano, Rais Magufuli tokea kwenye mchakato wa kumpata mgombea Urais ndani ya CCM mpaka alipoitwa na Mwenyezi Mungu. Rais Magufuli amenifundisha mengi sana mazuri na mabaya lakini kikubwa zaidi ameacha mijadala ambayo haitaisha sio nchini pekee bali hata nchi za nje.
Kifo cha Rais Magufuli kama vifo vya wapendwa kwanza kilianza kwa kutia mshangao, baadaye kuhudhunisha na mwishoni kuukubali ukweli na kuangalia ya mbele. Mbele niliyoiangalia ni utawala ujao baada ya Rais Magufuli huku nikijua vizuri siasa za nchi yetu zilivyo.
Baada ya Rais Samia kuingia madarakani na kuanza kupanga ''safu yake'' ya uongozi huku akitoa maagizo ya hapa na pale. Wale tulikuwa tunaitwa MATAGA wakati wa utawala wa Rais Magufuli tukaongezewa jina jingine na kuanza pia kuitwa ''sukuma gang''.
Kwa wasiozijua siasa za nchi hii walituona kama ''laughing stock'' huku wakimhimiza Rais Samia kuhakikisha ''anatufagia'' katika serikali yake na tukilalamika tunaambiwa tuende Chato bila wao kujua kitakachowakuta pia mbele ya safari yao ya kisiasa!
Miezi minne baada ya kifo cha Rais Magufuli wale waliokuwa wanatucheka na kutukejeli kwa sasa wanalia na hata yale majina ''waliotubatiza'' kwa sasa wameyasahau na yamepotea kwa haraka sana!
Waliokuwa wanatucheka na kutukejeli hawakujua kama ''atatumaliza sisi'' basi watafuata wao! Wahenga walisema, kulia kupokezana!
Sisi kwa sasa hatucheki wala kukejeli bali tunashangaa na kuuangalia huu mchezo wa kisiasa mpaka dakika za mwisho!
Kwa sasa najiuliza, kwani ''Mama'' amemalizana na sisi tuliokuwa tunaitwa ''MATAGA'' na ''sukuma gang''?
Siasa za nchi hii zinakwenda kwa haraka ss
Hawa ndio waliolikoroga hata sasa limekorogeka,imebakia kulinywa tu,atalinywa nani no jambo la kusubiri na kuona kama sii kushuhudia.Kwa wale wakongwe wa Jamiiforums wananifahamu kuwa mimi ni mmoja wa watu tulikuwa nyuma ya aliyekuwa Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tano, Rais Magufuli tokea kwenye mchakato wa kumpata mgombea Urais ndani ya CCM mpaka alipoitwa na Mwenyezi Mungu. Rais Magufuli amenifundisha mengi sana mazuri na mabaya lakini kikubwa zaidi ameacha mijadala ambayo haitaisha sio nchini pekee bali hata nchi za nje.
Kifo cha Rais Magufuli kama vifo vya wapendwa kwanza kilianza kwa kutia mshangao, baadaye kuhudhunisha na mwishoni kuukubali ukweli na kuangalia ya mbele. Mbele niliyoiangalia ni utawala ujao baada ya Rais Magufuli huku nikijua vizuri siasa za nchi yetu zilivyo.
Baada ya Rais Samia kuingia madarakani na kuanza kupanga ''safu yake'' ya uongozi huku akitoa maagizo ya hapa na pale. Wale tulikuwa tunaitwa MATAGA wakati wa utawala wa Rais Magufuli tukaongezewa jina jingine na kuanza pia kuitwa ''sukuma gang''.
Kwa wasiozijua siasa za nchi hii walituona kama ''laughing stock'' huku wakimhimiza Rais Samia kuhakikisha ''anatufagia'' katika serikali yake na tukilalamika tunaambiwa tuende Chato bila wao kujua kitakachowakuta pia mbele ya safari yao ya kisiasa!
Miezi minne baada ya kifo cha Rais Magufuli wale waliokuwa wanatucheka na kutukejeli kwa sasa wanalia na hata yale majina ''waliotubatiza'' kwa sasa wameyasahau na yamepotea kwa haraka sana!
Waliokuwa wanatucheka na kutukejeli hawakujua kama ''atatumaliza sisi'' basi watafuata wao! Wahenga walisema, kulia kupokezana!
Sisi kwa sasa hatucheki wala kukejeli bali tunashangaa na kuuangalia huu mchezo wa kisiasa mpaka dakika za mwisho!
Kwa sasa najiuliza, kwani ''Mama'' amemalizana na sisi tuliokuwa tunaitwa ''MATAGA'' na ''sukuma gang''?
Siasa za nchi hii zinakwenda kwa haraka sana!
mama anaonyesha kisasi chake juu yamagufuli kwa kupeleka tako lake lichomwe sindano ya covid hii mother ni kituko kwa kweli[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]Kwa wale wakongwe wa Jamiiforums wananifahamu kuwa mimi ni mmoja wa watu tulikuwa nyuma ya aliyekuwa Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tano, Rais Magufuli tokea kwenye mchakato wa kumpata mgombea Urais ndani ya CCM mpaka alipoitwa na Mwenyezi Mungu. Rais Magufuli amenifundisha mengi sana mazuri na mabaya lakini kikubwa zaidi ameacha mijadala ambayo haitaisha sio nchini pekee bali hata nchi za nje.
Kifo cha Rais Magufuli kama vifo vya wapendwa kwanza kilianza kwa kutia mshangao, baadaye kuhudhunisha na mwishoni kuukubali ukweli na kuangalia ya mbele. Mbele niliyoiangalia ni utawala ujao baada ya Rais Magufuli huku nikijua vizuri siasa za nchi yetu zilivyo.
Baada ya Rais Samia kuingia madarakani na kuanza kupanga ''safu yake'' ya uongozi huku akitoa maagizo ya hapa na pale. Wale tulikuwa tunaitwa MATAGA wakati wa utawala wa Rais Magufuli tukaongezewa jina jingine na kuanza pia kuitwa ''sukuma gang''.
Kwa wasiozijua siasa za nchi hii walituona kama ''laughing stock'' huku wakimhimiza Rais Samia kuhakikisha ''anatufagia'' katika serikali yake na tukilalamika tunaambiwa tuende Chato bila wao kujua kitakachowakuta pia mbele ya safari yao ya kisiasa!
Miezi minne baada ya kifo cha Rais Magufuli wale waliokuwa wanatucheka na kutukejeli kwa sasa wanalia na hata yale majina ''waliotubatiza'' kwa sasa wameyasahau na yamepotea kwa haraka sana!
Waliokuwa wanatucheka na kutukejeli hawakujua kama ''atatumaliza sisi'' basi watafuata wao! Wahenga walisema, kulia kupokezana!
Sisi kwa sasa hatucheki wala kukejeli bali tunashangaa na kuuangalia huu mchezo wa kisiasa mpaka dakika za mwisho!
Kwa sasa najiuliza, kwani ''Mama'' amemalizana na sisi tuliokuwa tunaitwa ''MATAGA'' na ''sukuma gang''?
Siasa za nchi hii zinakwenda kwa haraka sana!
haaa wapi [emoji23]mama anajua kuna kuvuliwa madaraka nakuvuliwa pichuCHADEMA Walifikiri Rais ni "dhaifu" atafanya chochote wanachotaka wakimshinikiza... ila sukuma gengi bado mpo mama hajawasahau anawalia timing tu[emoji1787]