Bushesha jr
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 675
- 690
Watu waovu wasiopenda Mambo yawe shwari wanafitisha eti ondoa wachapakazi wote kwa kusingizio Cha sukuma gang kumbe hao wachapakazi ni tishio kwa waovukama kuna Stupid ni wewe....
Wasukuma ni 25% ya Watanzania.... kama unatafuta civil war, utaipata.
Haipati hiyo civil war maana tumeishamsitukia na Tunamjua!kama kuna Stupid ni wewe....
Wasukuma ni 25% ya Watanzania.... kama unatafuta civil war, utaipata.
Mkuu Shocker, neno SUKUMA GANG is very divisive and dangerous kwasababu unawaweka wasukuma wote kwenye kundi moja, na hili ni jambo hatari sana. Nimekutana na wasukuma ambao walikuwa hawakubaliani kabisa na sera za Magufuli na hata CCM: Pia nimekutana na watu ambao ni Wahaya, Wachagga, Wanyakyusa na makabila mengine ambao wanaamini kabisa Raisi Magufuli alikuwa ni masihi.Haya makundi yachunguzwe na mmoja mmoja kukamatwa na kuwekwa mahabusu huku uchunguzi ukiendelea ,Mwalimu Nyerere alisema tusimuonee haya mtu,hawa ni wazembe wanayoiua nchi kwa kutaka kujenga himaya yao,kwanza kujiita au kuwepo kitu Sukuma gang huu ni zaidi ya ugaidi ni uhaini ni kuigawa nchi kwa misingi ya ukabila ,kesho na kesho kutwa kutakuwepo na Makuwa gang .
wakamatwe na kufunguliwa mashitaka.
Wewe nawe una matatizo makubwa sana, nani amezungumzia Civil War sasa ???kama kuna Stupid ni wewe....
Wasukuma ni 25% ya Watanzania.... kama unatafuta civil war, utaipata.
Mkuu TUJITEGEMEE, you are a fanatic worshiper of state power. It's not healthy because it subjects your reason and intellectual faculties under fetters of everlasting nonage. Wake up!Haipati hiyo civil war maana tumeishamsitukia na Tunamjua!
Wakuu wa vyombo vya usalama wote ni kuondoa maana ni lile genge la Mwendazake.
Mama alifanya mistake kubwa sana kuwabakiza
Sifurahii fikra za kufanya chochote kwa kuegemea ukabila.kama kuna Stupid ni wewe....
Wasukuma ni 25% ya Watanzania.... kama unatafuta civil war, utaipata.
Wafunguliwe mashtaka kwa makosa gani? Kikwete alikuwa na "Wanamtandao" enzi za Njomba Che Nkapa. Walikamatwagwa? Acheni siasa za Ushamba.Je wanataka kumpindua Raisi na serikali yake kwa njia za Panya ? Sasa imekuwa si aibu wala siri hili genge linatajwa kila kona na linahusisha viongozi waandamizi ndani ya Chama Cha CCM.
Zinaweza kuwepo njia nyingi za kuipindua Serikali,zile za kizamani huwa hazina nguvu tena,ila hizi za kisasa ambazo tunaziona ni kuidhoofisha Serikali na kuifanya iwe hoi bin taabani ,kwa kuonekana kila inapoziba ufa kunatobolewa kwengine,tunasema kuisaboteji serikali,aidha kwa kutumia walio ndani ya serikali na hata walio inje ya serikali.
Ukienda Bungeni hali si shwari,ukiangalia polisi mambo varange ukiingia serikalini kila mmoja na kauli yake,kuna netiwaki hazipo sawa na zinavuruga kiaina kwa kutumia vichocheo vya hali ya uchumi na kuviza maendeleo.
Tunasikia kuna makundi ndani ya CCM na kila mmoja lina King Chawa wake ambae akiutwaa uRaisi mambo yatakuwa poa,Hivyo mapinduzi ya kileo hufanyika katika kumpata Mgombea Uraisi,mapinduzi daima ni kuwekwa kando Samia,kwa shinikizo kazi imemshinda,si mpiganaji na sababu lukuki na makubaliano kufikiwa kuwa asimamishwe mgombea mwingine,haya yaliyopo sasa ni mapigano ya kumzorotesha Samia ili achoke na atupilie mbali kutaka kugombea,ajiengue kabla ya kuenguliwa katika kikao ,ya kwamba wakiingia kwenye kikao basi tayari kazi imekuwa rahisi.
Haya makundi yachunguzwe na mmoja mmoja kukamatwa na kuwekwa mahabusu huku uchunguzi ukiendelea ,Mwalimu Nyerere alisema tusimuonee haya mtu,hawa ni wazembe wanayoiua nchi kwa kutaka kujenga himaya yao,kwanza kujiita au kuwepo kitu Sukuma gang huu ni zaidi ya ugaidi ni uhaini ni kuigawa nchi kwa misingi ya ukabila ,kesho na kesho kutwa kutakuwepo na Makuwa gang .
wakamatwe na kufunguliwa mashitaka.
Wewe ni sukuma gang.Kwa wale wakongwe wa Jamiiforums wananifahamu kuwa mimi ni mmoja wa watu tulikuwa nyuma ya aliyekuwa Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tano, Rais Magufuli tokea kwenye mchakato wa kumpata mgombea Urais ndani ya CCM mpaka alipoitwa na Mwenyezi Mungu. Rais Magufuli amenifundisha mengi sana mazuri na mabaya lakini kikubwa zaidi alichonifundisha ni Ujasiri na kujiamini katika kufanya maamuzi na ameacha mijadala ambayo haitaisha sio nchini pekee bali hata nchi za nje.
Kifo cha Rais Magufuli kama vifo vya wapendwa kwanza kilianza kwa kutia mshangao, baadaye kuhudhunisha na mwishoni kuukubali ukweli na kuangalia ya mbele. Mbele niliyoiangalia ni utawala ujao baada ya Rais Magufuli huku nikijua vizuri siasa za nchi yetu zilivyo.
Baada ya Rais Samia kuingia madarakani na kuanza kupanga ''safu yake'' ya uongozi huku akitoa maagizo ya hapa na pale. Wale tulikuwa tunaitwa MATAGA wakati wa utawala wa Rais Magufuli tukaongezewa jina jingine na kuanza pia kuitwa ''sukuma gang''.
Kwa wasiozijua siasa za nchi hii walituona kama ''laughing stock'' huku wakimhimiza Rais Samia kuhakikisha ''anatufagia'' katika serikali yake na tukilalamika tunaambiwa tuende Chato kwa “mungu” wetu ambaye ameshakufa.
Tulikuwa tunaambiwa “mama” anaponya majeraha...furaha imerejea nchini...”mama” anafuta legasi za mwendazake..
Nilijua ni muda tu hizi pongezi kwa Rais Samia zikiambatana na kicheko, kejeli na matusi kwa wanawaita MATAGA na sukuma gang zitapotea kwa sababu hawajui kitakachowakuta mbele ya safari yao ya kisiasa!
Miezi minne baada ya kifo cha Rais Magufuli wale waliokuwa wanatucheka na kutukejeli kwa sasa wanalia na hata yale majina ''waliotubatiza'' kwa sasa wameyasahau na yamepotea kwa haraka sana!
Waliokuwa wanatucheka na kutukejeli mpaka wakaanza kuchora katuni za kejeli lakini hawakujua kama ''atakapotumaliza sisi'' basi watafuata wao! Wahenga walisema, kulia kupokezana!
Sisi kwa sasa hatucheki wala kukejeli bali tunashangaa na kuuangalia huu mchezo wa kisiasa mpaka dakika za mwisho!
Kwa sasa najiuliza, kwani ''Mama'' amemalizana na sisi tuliokuwa tunaitwa ''MATAGA'' na ''sukuma gang''?
Siasa za nchi hii zinakwenda kwa haraka sana!
Tusijekushangaa sana watakapoanza kumkumbuka Marehemu Magufuli huko mbele ya safari ya kisiasa!
View attachment 1870346
Sukuma gang kwa sasa wanalia na kusaga meno maana walizoeshwa kulishwa kama kinda la ndege tunduniDakika za mwisho bado Sanaaaa.....tutalia kwA zamu awamu hii
Uko pekee yakoMkuu, kwa hilo hauko peke yako, tuko wengi na hatutorudi nyuma. Hata tukikosa mengine yote, basi tutamuenzi Hayati Rais John Pombe Magufuli kwa kusimamia ujasiri aliotufundisha na kujiamini kuwa tunaweza.
Rest in peace uncle Magu, till we meet again [emoji1548]
Nani asiyekujua wewe kuwa ni sukuma gang?Walokuwa wanaita wenzao Sukuma Gang sasa ndo wanamwita Samia dikteta!
Who didn’t see that coming?
Mtazidi kuumia sana nyinyi sukuma gang na siye tupo zetu mlingotini na mkojhani twala pweezaKwa kuogopa kulia tena, sisi tulioitwa sukuma gang hatucheki wala kukejeli bali tunaangalia mchezo unavyochezwa!
Labda wewe pekee yakoRais Magufuli ametufundisha mengi mazuri na mabaya!
Mtaishia kumpigia makofi na vigeregere chakubanga lkn hakuna uteuziYaani furaha yao na kejeli zao zimeyeyuka haraka kama barafu kwenye joto kali!
Baada ya miezi minne hatusikii tena maneno kama MATAGA na Sukuma gang kwenye majukwaa ya siasa!
Siasa za Tanzania zinaenda kwa kasi sana!
Mama analiponya taifa by cdm voiceKwa wale wakongwe wa Jamiiforums wananifahamu kuwa mimi ni mmoja wa watu tulikuwa nyuma ya aliyekuwa Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tano, Rais Magufuli tokea kwenye mchakato wa kumpata mgombea Urais ndani ya CCM mpaka alipoitwa na Mwenyezi Mungu. Rais Magufuli amenifundisha mengi sana mazuri na mabaya lakini kikubwa zaidi alichonifundisha ni Ujasiri na kujiamini katika kufanya maamuzi na ameacha mijadala ambayo haitaisha sio nchini pekee bali hata nchi za nje.
Kifo cha Rais Magufuli kama vifo vya wapendwa kwanza kilianza kwa kutia mshangao, baadaye kuhudhunisha na mwishoni kuukubali ukweli na kuangalia ya mbele. Mbele niliyoiangalia ni utawala ujao baada ya Rais Magufuli huku nikijua vizuri siasa za nchi yetu zilivyo.
Baada ya Rais Samia kuingia madarakani na kuanza kupanga ''safu yake'' ya uongozi huku akitoa maagizo ya hapa na pale. Wale tulikuwa tunaitwa MATAGA wakati wa utawala wa Rais Magufuli tukaongezewa jina jingine na kuanza pia kuitwa ''sukuma gang''.
Kwa wasiozijua siasa za nchi hii walituona kama ''laughing stock'' huku wakimhimiza Rais Samia kuhakikisha ''anatufagia'' katika serikali yake na tukilalamika tunaambiwa tuende Chato kwa “mungu” wetu ambaye ameshakufa.
Tulikuwa tunaambiwa “mama” anaponya majeraha...furaha imerejea nchini...”mama” anafuta legasi za mwendazake..
Nilijua ni muda tu hizi pongezi kwa Rais Samia zikiambatana na kicheko, kejeli na matusi kwa wanawaita MATAGA na sukuma gang zitapotea kwa sababu hawajui kitakachowakuta mbele ya safari yao ya kisiasa!
Miezi minne baada ya kifo cha Rais Magufuli wale waliokuwa wanatucheka na kutukejeli kwa sasa wanalia na hata yale majina ''waliotubatiza'' kwa sasa wameyasahau na yamepotea kwa haraka sana!
Waliokuwa wanatucheka na kutukejeli mpaka wakaanza kuchora katuni za kejeli lakini hawakujua kama ''atakapotumaliza sisi'' basi watafuata wao! Wahenga walisema, kulia kupokezana!
Sisi kwa sasa hatucheki wala kukejeli bali tunashangaa na kuuangalia huu mchezo wa kisiasa mpaka dakika za mwisho!
Kwa sasa najiuliza, kwani ''Mama'' amemalizana na sisi tuliokuwa tunaitwa ''MATAGA'' na ''sukuma gang''?
Siasa za nchi hii zinakwenda kwa haraka sana!
Tusijekushangaa sana watakapoanza kumkumbuka Marehemu Magufuli huko mbele ya safari ya kisiasa!
View attachment 1870346
Ni prime area za weza kuwa kweli....lakini.Kumwita "Mama" mtu ambae ufisadi ukipigwa kwenye serikali yake anaishia tu kudemka ni utahira🚶🚶🚶
View attachment 2033989