Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana , Wengi hatuweziMimi pia mke wangu alihamishiwa Dodoma kikazi, akawa analiwa na bosi wa wizara! Nikagundua tukaachana,
Lakini nyumbani nilipobaki na watoto chumba cha wageni ndio kilikuwa chake akija kusalimia watoto.
Akapata kesi kikazi mimi nilimchomoa kwenye msala kupitia kwa mjomba wangu aliye na nafasi kwenye vyombo vya sheria.
Sikukuu ya pasaka alikuja nyumbani tukafurahi kama hakuna jambo baya kati yetu.
Watoto wanaona sawa tu hawajui kinachoendelea.
Hatulali pamoja na hatushiriki ngono,ni marafiki sana,akiwa ana shida najiotoa kusaidia,hivyo hivyo nikiwa na shida namcheki.
Tunataniana pia ikibidi.
Pamoja na yaliyotokea bado ndiye mwanamke bora kabisa kuwahi kuwa naye , namuheshimu na kumpenda pia.
Utaishi maisha marefu sana! BlessedPamoja na yaliyotokea bado ndiye mwanamke bora kabisa kuwahi kuwa naye , namuheshimu na kumpenda pia.
Napenda hiyoooWanaume wa Tz mkiachana mkawasiliana wanawqza kupasha viporo
Ooh sasa si mrudiane tu mkuu😔Mimi pia mke wangu alihamishiwa Dodoma kikazi, akawa analiwa na bosi wa wizara! Nikagundua tukaachana,
Lakini nyumbani nilipobaki na watoto chumba cha wageni ndio kilikuwa chake akija kusalimia watoto.
Akapata kesi kikazi mimi nilimchomoa kwenye msala kupitia kwa mjomba wangu aliye na nafasi kwenye vyombo vya sheria.
Sikukuu ya pasaka alikuja nyumbani tukafurahi kama hakuna jambo baya kati yetu.
Watoto wanaona sawa tu hawajui kinachoendelea.
Hatulali pamoja na hatushiriki ngono,ni marafiki sana,akiwa ana shida najiotoa kusaidia,hivyo hivyo nikiwa na shida namcheki.
Tunataniana pia ikibidi.
Pamoja na yaliyotokea bado ndiye mwanamke bora kabisa kuwahi kuwa naye , namuheshimu na kumpenda pia.
New experience to me.Mimi pia mke wangu alihamishiwa Dodoma kikazi, akawa analiwa na bosi wa wizara! Nikagundua tukaachana,
Lakini nyumbani nilipobaki na watoto chumba cha wageni ndio kilikuwa chake akija kusalimia watoto.
Akapata kesi kikazi mimi nilimchomoa kwenye msala kupitia kwa mjomba wangu aliye na nafasi kwenye vyombo vya sheria.
Sikukuu ya pasaka alikuja nyumbani tukafurahi kama hakuna jambo baya kati yetu.
Watoto wanaona sawa tu hawajui kinachoendelea.
Hatulali pamoja na hatushiriki ngono,ni marafiki sana,akiwa ana shida najiotoa kusaidia,hivyo hivyo nikiwa na shida namcheki.
Tunataniana pia ikibidi.
Pamoja na yaliyotokea bado ndiye mwanamke bora kabisa kuwahi kuwa naye , namuheshimu na kumpenda pia.
Ruhusu moyo upone.Hapana nimeshaharibika! Tukio hilo lilinitikisa sana...
Nimekuwa malaya mno mkuu[emoji1][emoji1] ,nina wanawake wengi mno hadi najionea huruma.
Kurudiana ni ngumu kwasasa namuona kama mama yangu mzazi ,sitaki hata kuona paja lake,sina mzuka nae kabisa.
Kuna siku utamkula tuMimi pia mke wangu alihamishiwa Dodoma kikazi, akawa analiwa na bosi wa wizara! Nikagundua tukaachana,
Lakini nyumbani nilipobaki na watoto chumba cha wageni ndio kilikuwa chake akija kusalimia watoto.
Akapata kesi kikazi mimi nilimchomoa kwenye msala kupitia kwa mjomba wangu aliye na nafasi kwenye vyombo vya sheria.
Sikukuu ya pasaka alikuja nyumbani tukafurahi kama hakuna jambo baya kati yetu.
Watoto wanaona sawa tu hawajui kinachoendelea.
Hatulali pamoja na hatushiriki ngono,ni marafiki sana,akiwa ana shida najiotoa kusaidia,hivyo hivyo nikiwa na shida namcheki.
Tunataniana pia ikibidi.
Pamoja na yaliyotokea bado ndiye mwanamke bora kabisa kuwahi kuwa naye , namuheshimu na kumpenda pia.
Yes nyoko nyoko kupishana mguu wa shingo mguu wa koromeo.Tuachane kwa amani ili iweje, tukiachana ni timbwili tu ngendembwe yani....nakudai hadi boxa nlizokununulia, nikiondoka kwako nachukua hadi bulb ulale gizani
Sasa watoto hawaulizi kwann mama Yao analala chumba cha wageni ?Mimi pia mke wangu alihamishiwa Dodoma kikazi, akawa analiwa na bosi wa wizara! Nikagundua tukaachana,
Lakini nyumbani nilipobaki na watoto chumba cha wageni ndio kilikuwa chake akija kusalimia watoto.
Akapata kesi kikazi mimi nilimchomoa kwenye msala kupitia kwa mjomba wangu aliye na nafasi kwenye vyombo vya sheria.
Sikukuu ya pasaka alikuja nyumbani tukafurahi kama hakuna jambo baya kati yetu.
Watoto wanaona sawa tu hawajui kinachoendelea.
Hatulali pamoja na hatushiriki ngono,ni marafiki sana,akiwa ana shida najiotoa kusaidia,hivyo hivyo nikiwa na shida namcheki.
Tunataniana pia ikibidi.
Pamoja na yaliyotokea bado ndiye mwanamke bora kabisa kuwahi kuwa naye , namuheshimu na kumpenda pia.
Umeona eeh...Mh, Ngumu..!
Sio lazimaView attachment 2627724
Muigizaji Vin Diesel aliachana na mpenzi wake wa miaka mitatu, lakini walipoachana, hakumtoa nje ya nyumba yake, aliogopa kwamba angeishi maisha ya chini, hivyo alimuachia nyumba yao na yeye akaenda kupanga nyumba nyingine.
Sio hivyo tu, aliendelea kulipia bili zote kwaajili yake na binti yao na alikataa kabisa chombo chochote cha habari kuingilia au kuchapisha chochote kuhusu kutengana kwao. Baada ya miaka 6 huyo ex wake alipata ajali na alihitaji kuongezewa damu. Vin Diesel aliwahi haraka hospitalini kwenda kumuongezea damu na alipopona wakarudiana!
𝗖𝗛𝗔 𝗞𝗨𝗝𝗜𝗙𝗨𝗡𝗭𝗔: Nadhani tunatakiwa kuishi pamoja kwa upendo na unyenyekevu Ila ikitokea tumetengana basi isiwe vita, upendo na heshima ubaki kati yetu bila kujali kitakachotokea!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuachane kwa amani ili iweje, tukiachana ni timbwili tu ngendembwe yani....nakudai hadi boxa nlizokununulia, nikiondoka kwako nachukua hadi bulb ulale gizani
Ukipita pembeni ya geto lake mwaga mchanga dirishani....hakuna amani tena.Yes nyoko nyoko kupishana mguu wa shingo mguu wa koromeo.
Jamaa kumbe anapashaga makabichiView attachment 2627724
Muigizaji Vin Diesel aliachana na mpenzi wake wa miaka mitatu, lakini walipoachana, hakumtoa nje ya nyumba yake, aliogopa kwamba angeishi maisha ya chini, hivyo alimuachia nyumba yao na yeye akaenda kupanga nyumba nyingine.
Sio hivyo tu, aliendelea kulipia bili zote kwaajili yake na binti yao na alikataa kabisa chombo chochote cha habari kuingilia au kuchapisha chochote kuhusu kutengana kwao. Baada ya miaka 6 huyo ex wake alipata ajali na alihitaji kuongezewa damu. Vin Diesel aliwahi haraka hospitalini kwenda kumuongezea damu na alipopona wakarudiana!
𝗖𝗛𝗔 𝗞𝗨𝗝𝗜𝗙𝗨𝗡𝗭𝗔: Nadhani tunatakiwa kuishi pamoja kwa upendo na unyenyekevu Ila ikitokea tumetengana basi isiwe vita, upendo na heshima ubaki kati yetu bila kujali kitakachotokea!
Eeennh hivyo hivyo, miye jicho ntakalokukata ukiingia mitaa yangu utaona hujavaa. Na usithubutu kunikol utajutaUkipita pembeni ya geto lake mwaga mchanga dirishani....hakuna amani tena.
Mimi pia mke wangu alihamishiwa Dodoma kikazi, akawa analiwa na bosi wa wizara! Nikagundua tukaachana,