Kwani ni lazima wauza nafaka wote jumla kuwa na mizani ile kubwa ya bei kubwa, hizi za digital hazifai kupimia magunia?

aBuwash

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2023
Posts
262
Reaction score
497
Mimi nataka fungua nafaka jumla ila nashangaa wenzangu kila kona wana mzanii ile mikubwa kama hii.



Sas nilikuwa nauliza ya digital haifai kwani kama hii kupimia magunia ya kilo mia.

 
Sas nilikuwa nauliza ya dgital haifai kwanii kama hii kupimia magunia ya kilo mia
Inafaa sana.

- Tataizo ni walio wengi wanashindwa elewa wapi atapata, hivyo anaangalia option iliyo karibu yake.

- Pia mizani ya analogy ni rahisi kufanya udanganyifu , kumwibia mteja na kujinufaisha yeye muuzaji. Kwa digital ni changamoto kidogo ila sio kwamba hawawezi fanya wizi.
 

- Kwa wenye uhitaji wa mizani ya aina hii, basi ingia na chagua katika mtandao wa alibaba, kisha ukihitaji nikufikishie mahala ulipo karibu kati ile thread yangu.
 
Nafikri Hii ya Manual ni rahisi sana Kuwaibia wanaoleta kuja kuuza maana huwa ndio walengwa wakuu wa kuibiwa.Anapigwa kila 5 kwa kila kilo mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…