Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inafaa sana.Sas nilikuwa nauliza ya dgital haifai kwanii kama hii kupimia magunia ya kilo mia
Nafikri Hii ya Manual ni rahisi sana Kuwaibia wanaoleta kuja kuuza maana huwa ndio walengwa wakuu wa kuibiwa.Anapigwa kila 5 kwa kila kilo miaInafaa sana.
- Tataizo ni walio wengi wanashindwa elewa wapi atapata, hivyo anaangalia option iliyo karibu yake.
- Pia mizani ya analogy ni rahisi kufanya udanganyifu , kumwibia mteja na kujinufaisha yeye muuzaji. Kwa digital ni changamoto kidogo ila sio kwamba hawawezi fanya wizi.
Sahihi kabisa. Yaani unaibiwa ukiwa hapo hapo.Nafikri Hii ya Manual ni rahisi sana Kuwaibia wanaoleta kuja kuuza maana huwa ndio walengwa wakuu wa kuibiwa.Anapigwa kila 5 kwa kila kilo mia