Kwani ninyi mnawafanyaga nini wanawake wa aina hii?

Me nazungumzia kwenye kuchart au kwenye kuongeza live
Huwezi kumjua mtu kutumia njia hizo pekee.
Na huyo mtu anaona unamzingua tu
Wacha nikuhabarishe tu, kuna umri ukifika mwanamke anakua kiakili ufahamu na hana tena muda kupoteza.
Mwanaume muongeaji sana kwenye simu na kuchat kuhojiana anakua hana mvuto tena
Unampenda kweli? Muonyeshe mapenzi kwa vitendo katika hivyo vitendo utapata nafasi kumjua vizuri
 
We unataka siku ya kwanza ufanyiwe vipi ili isiwe boring kwako?
 
Kwenye uzi umesema siku kadhaa au ni siku ya kwanza?
Kama ni siku ya kwanza muulize jina tu inatosha
Ukianza story nyingi ndio kukera kwenyewe huko
Kama ikiwa siku kadhaa unatakiwa umfanyie nini mwanamke
 
Back
Top Bottom