rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka nimuulize hili pia maana,..dahUna miaka mingapi kwanza? Na huyo kadadaa ni umri gani?
Mbona hivyo nipe maujuzi ninaweza kupata tofauti na njia ninazotumia maana wanawake kwa Wanawake mnajuana
Bonyeza mute button.Habari wandugu,
Nimekutana na wanawake kadhaaa lakini sijawah kutana na mwanamke kama huyu ukweli ananipa changamoto sana.
Nimwanamke ambae nimekutana nae somewhere tukabadilishana namba baada ya kumuelewa kiaina. Nikaanza kuanzisha ukaribu nae kwa kuwasiliana nae mara kwa mara na hapo ndo nikakumbana na maswahibu.
Kwanza kabisa mwanamke hakutafuti mpaka wewe ufanye hivyo, pia wakati mnaongea inakuwa kama vile unamfanyia interview yani yeye anakuwa wakuitikia tu na hata ikitokea anaongea basi ni kwa ufupi sana, hii ni kwenye simu pia hata mkiwa live mwendo ni uleule.
Naombeni ushauri wakuu ninyi huwa mnafanya vipi kwa wanawake wa aina hii kwasababu Kuna muda huwa inafikia hatua wote tunakaa kimya tunabaki kuangaliana tu kama mabroiler.
Me nipo kwenye 20's huyo mwanamke yupo kwenye 30's haya naomba unipe muongozoNilitaka nimuulize hili pia maana,..dah
Anatupotezea muda tu dogoNilitaka nimuulize hili pia maana,..dah
Dah 😄😄😄Umekutana na daz nundaz...😩
Kuleteana dharau za namna hii sio nzuri kiafya hapa tupo kwaajili yakujengana we umenipinga njia yangu na ndio maana nikataka unipe njia zako lengo ndio lilikuwa hivyoAnatupotezea muda tu dogo
Kweli bhanaaAnatupotezea muda tu dogo
Achana naeeMe nipo kwenye 20's huyo mwanamke yupo kwenye 30's haya naomba unipe muongozo
Kuleteana dharau za namna hii sio nzuri kiafya hapa tupo kwaajili yakujengana we umenipinga njia yangu na ndio maana nikataka unipe njia zako lengo ndio lilikuwa hivyo
Anatumia mtandao gani wa simu?
Kwanini best?Achana naee
Bado unataka a sign from heaven kua hakupend na ukifos atakula hela zako tuuHabari wandugu,
Nimekutana na wanawake kadhaaa lakini sijawah kutana na mwanamke kama huyu ukweli ananipa changamoto sana.
Nimwanamke ambae nimekutana nae somewhere tukabadilishana namba baada ya kumuelewa kiaina. Nikaanza kuanzisha ukaribu nae kwa kuwasiliana nae mara kwa mara na hapo ndo nikakumbana na maswahibu.
Kwanza kabisa mwanamke hakutafuti mpaka wewe ufanye hivyo, pia wakati mnaongea inakuwa kama vile unamfanyia interview yani yeye anakuwa wakuitikia tu na hata ikitokea anaongea basi ni kwa ufupi sana, hii ni kwenye simu pia hata mkiwa live mwendo ni uleule.
Naombeni ushauri wakuu ninyi huwa mnafanya vipi kwa wanawake wa aina hii kwasababu Kuna muda huwa inafikia hatua wote tunakaa kimya tunabaki kuangaliana tu kama mabroiler.
🤣🤣🤣🤣mkuu vipi akiwa kwa bwana mwingine anabehave vyenye anabahave
Nikiwaambia watafute hela wale maisha WANABISHA.Muulize bank account number af uifanyie maajabu uone😃.
Shida yako unaleta mambo ya kizamani bro nani anataka kupotezeana mda
Na moja wapo ya vitendo ni kuingiza hela kwenye bank account?Huwezi kumjua mtu kutumia njia hizo pekee.
Na huyo mtu anaona unamzingua tu
Wacha nikuhabarishe tu, kuna umri ukifika mwanamke anakua kiakili ufahamu na hana tena muda kupoteza.
Mwanaume muongeaji sana kwenye simu na kuchat kuhojiana anakua hana mvuto tena
Unampenda kweli? Muonyeshe mapenzi kwa vitendo katika hivyo vitendo utapata nafasi kumjua vizuri