Kwani ninyi mnawafanyaga nini wanawake wa aina hii?

Huyo ni wakuchapa tu hana hisia na ww
 
kuna mawili bro
either hajakupenda/hana hisia na wewe au anakuogopa/hajakuzoea/sio muongeaji

kati ya haya moja ni jibu na njia ya kufika kwenye jibu ni kumpa muda.
Over am out.
Huyo hajavutiwa na jamaa.
 
Penyeza rupia kwanza kulainisha mdomo, atakuchangamkia mpaka umkimbie
 
Hujamvutia au anakuona sio type yake yaani upoupo tu ndio maana anakudharau
Mie nikionaga hivyo napiga kimya simtafuti tena
 
Uwe unabadilisha reply mkuu..ongeza hta nyama kidogo...hawa vijana wanahitaji ushauri wenu zaid maana wameamua kukaza mafuvu...hawataki kuelewa
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Muulize bank account number af uifanyie maajabu uone[emoji2].
Shida yako unaleta mambo ya kizamani bro nani anataka kupotezeana mda
Duh..![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Muongozo;

Sio kwamba hakupendi wala kuvutiwa nawewe wala pesa, ni kwamba ndiyo hulka yake na wapo wengi wa hivyo.. very boring! Mimi nilidhani labda bado anautoto nikamwacha kwa muda lakini nlivyomrudia kuona maendeleo nikakuta vilevile..!

Ni wewe tu kuamua kuwa naye maishani au la maana hawezi kubadilika.
 
Kuwa karibu nae Mara kwa Mara mzoeane n vile tu hajakuzoea n hakufaham vzr ndo mana anakosa cha kuongea

Pia muwe mnashirikiana mambo muhm mtakua karibu zaidi
 
Toa pesa, kula mzigo asipobadilika jiachie zako
 

Vip umeshapata utelezi au bado tuanzie hapo kwanza
 
Na wew bado hujawajua wanawake vizuri.hakuna mwanamke anaekuchangamkia mara tu uombapo namba.hata awe malaya
 
Akianza kutumia hii local tigopesa, mpesa airtel money mtumie hela.
Huyu alishakataa pesa ndiomaana nimeshindwa kumsoma vizuri niliomba meet naye akaja hiyo sehemu akakataa nimlipie bill akaniambia nilipe bill yangu mwenyewe ya kwake atalipa mwenyewe nikampa ya nauli 30k baada yakumaliza akasema anayo haina haja yakunipa kuna wakati alikuwa anaumwa basi nikamwambia nitumie ya matibabu akasema hela ya matibabu anayo na inatosha Wewe niombee tu kwa Mungu nipone haraka.Bidada kwa style hii inakuaje
 
bila shaka atakuwa msabato huyo
 
Achana nae anakuchukulia kama mdogo wake hahitaji mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…