Kwani ninyi mnawafanyaga nini wanawake wa aina hii?

Achana nae huyu mwanamke sio type yako ni venye tu haitaji kukutell true anasubili ujiongeze ukatafute type zako
 
Huyo huenda hakupendi, ongea naye vizuri ujue mbichi au mbivu.
 
[emoji23][emoji23]Nimecheka balaa

Kuna wengine wapo hivo mfano mm mwenyew sio muongeaji somtym unakaa watu unajua kabisa unawaboa the way upokimya mdawote atleast kidogo ukubwan huku chanaganyikeni na kazi inabidi uongee tu, kuandika ndo huwa najiachia Ila sio kuongea

Inawezekana ndo alivyo au tafuta namna anaependa kuwa wazi Kam sio kuongea basi huenda ankuwa free kujielezea kwa maandishi ikikupemdeza ishi nae humo



Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Muulize bank account number af uifanyie maajabu uone[emoji2].
Shida yako unaleta mambo ya kizamani bro nani anataka kupotezeana mda

Kabisaa kupotezeana muda tu!
 
Suala la kuwaza hakupendi linaweza kuwa sio sahihi Ila sababu pia nafsi ya mtu anaijua mwenyew

Labda nijitahid kuelezea kidogo kitu ambacho sio kizuri coz pia mhanga

Huwa hatuna uwazi hasa tukikwazika yaani kumwambia mtu umenikwaza moja mbili tatu ni kipengele inaplekea kurundka vitu moyoni japo ni wepes kusamehe

Namna ya kuishi nae muelewe ndo alivyo atabadilika kadri atavokuwa anakuzoea japo hawez kuwa muongeaji kuendana na kiwango unachotaka




Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hawa ndio wanawake wa kupima kiwango chako kama mwanaume! Sio kama wale wa kila kitu yes! Aina hii ya wanawake ukiwa mbunifu ukimpa mistar na akikuelewa amini Mungu hakuachi mpaka itakuwa kero kwako! Jitathmin unakosea wap? Jarib kumuelewa yeye kwanza yupo na hoby gan halaf ingia mzigon
 
😂na mimi wangu alikuwa hivohivo baada ya kupata jibu la YES saa hii ni kama vile mimi ndo hakimu na yeye ni mtuhumiwa
Dah mwanangu nipe mbinu maana kuna demu nimemsomesha bado haelewi kuna kipindi nilikuwa namcheki sana text na calls lakini yeye hafanyi hivyo nimekausha nae kakausha yaaani sina uzoefu na wanawake wa design hii ila namtaka sometimes nataka kumpiga chini ila naona nikomae tu hivo hivo ila sasa hivi simtafuti
 
watakwambia kila aina ya neno

lkn kuna wanawake ndo walivyo tu(hulka yao)

kama anafanya venye unamwambia basi mpe muda…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…