Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hahahaa hilo haliwezekani kabisaNitii tu na usiguse simu yangu [emoji41][emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa hilo haliwezekani kabisaNitii tu na usiguse simu yangu [emoji41][emoji41]
Nakazia ✍️✍️3. Se_x Au mbususu, Tena umpe bila masharti Wala kinyongo na isiwe ndio fimbo akikuudhi humpi hapana, pia wakat unampa unampa ushirikiano kama wote.
Upendo hauwezi kuwepo bila heshima na utii kwanza kutoka Kwa mke....mi naona ya kwanza mume awe na upendo wa kweli kwanza
Hilo mbona tatizo dogo Sana. Akiwa hivyo hivyo rafurafu mtoe out mwende maeneo ambayo atakuta kuna wanawake wenzake wamependeza kweli kweli.Siku unayo mtongoza mwanamke anakua kapendeza vizuri tu, ukiwa unataka kuonana nae anakuja kapendeza ila ukimuoa tu anaanza kuvaa nguo za ajabu ajabu mara kavaa dera kama kanzu Mara kavuruga vuruga nywele
Aaaahhhh ndo hapo tunarudi mtaani kutafuta alie pendeza tena
Ulikuwa unampa aliyekutamani sio aliyekupenda. Tamaa ina expiry date!. Upendo unadumu!Mi nahisi kuna vingine mkuu,mbona kuna jitu nililipa vyote lakini bado liliniona ndezi.....mi naona ya kwanza mume awe na upendo wa kweli kwanza
Mimi simu yangu ishikwe tu hamna shida kabisa!Papuchi tu hakuna kingine ibanie papuchi uone sasa
Halafu msitufatilie wala msishike simu zetu
Mimi mwanamke nikimpenda hata awe Rafu mi namuona anang'aa Tu!.Siku unayo mtongoza mwanamke anakua kapendeza vizuri tu, ukiwa unataka kuonana nae anakuja kapendeza ila ukimuoa tu anaanza kuvaa nguo za ajabu ajabu mara kavaa dera kama kanzu Mara kavuruga vuruga nywele
Aaaahhhh ndo hapo tunarudi mtaani kutafuta alie pendeza tena
Best comment in my life hats off bro 🖐️Ulikuwa unampa aliyekutamani sio aliyekupenda. Tamaa ina expiry date!. Upendo unadumu!
Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
Amina. UbarikiweBest comment in my life hats off bro [emoji2772]
We si ulishaachana na yule jamaa aliyekuzalisha ambaye yupo daresalam?Wake zenu,siyo wapenz wala wachumba, wake zenu yaani.
Amani ndiyo Nuru ya mafanikio kwa MTU yeyote awe mwanaume au mwanamke. Amani humpa nguvu mwanaume ya kuweza kupambana kutafuta pesa kwa ajili ya familia yake. Nyumba ikikosa amani tendo halifanyiki, nguvu za kiume hupungua(stress). Nyumba inakuwa kama jengo la Mahakama waingia kwa kunyata, kimahesabu.
Sasa kwa kuwa ndani hamueleweki, kila siku kusifia michepuko, kusifia mahousegirl, kusifia viuno vya wanaume wenzenu, wake zenu mnataka tuwatendee nn; ili tulipambanie life mpaka tufanikiwe pamoja na watoto wetu(Tulie kivulini)?
UTIIFU!! Mke akiwa MTIIFU kwa Mumewe, amani, utulivu na upendo vitatawala ndani ya nyumba zenu.Sasa kwa kuwa ndani hamueleweki, kila siku kusifia michepuko, kusifia mahousegirl, kusifia viuno vya wanaume wenzenu, wake zenu mnataka tuwatendee nn; ili tulipambanie life mpaka tufanikiwe pamoja na watoto wetu(Tulie kivulini)?
Sawa bhanaMwanaume anapenda kwa vipande vipande kama kakupendea jicho ujue kuna alikopendea guu pia👌 na wanatulia wanapopataka sio kwenye sijui cha utii wala heshima ni mpaka apende mwenyewe, hawa viumbe hawashkiki, ndo walivoumbwa asa we jimwambafai kupitiliza 🙌UTAUMIA.
Ni kumuheshimu (kuwa cooperative) na kumsikiliza mwenza wako (kutokuwa mshindani na mbishi wakati wa majadiliano) kwenye majadiliano tumia suggestive language sio directive or commanding language, na kubwa kabisa kumsapot katika mapambano yake ya kimaisha aidha kwa kumpa moyo au kumpa ushauri unao ongeza mwanga/tija katika maono yake.Wake zenu,siyo wapenz wala wachumba, wake zenu yaani.
Amani ndiyo Nuru ya mafanikio kwa MTU yeyote awe mwanaume au mwanamke. Amani humpa nguvu mwanaume ya kuweza kupambana kutafuta pesa kwa ajili ya familia yake. Nyumba ikikosa amani tendo halifanyiki, nguvu za kiume hupungua(stress). Nyumba inakuwa kama jengo la Mahakama waingia kwa kunyata, kimahesabu.
Sasa kwa kuwa ndani hamueleweki, kila siku kusifia michepuko, kusifia mahousegirl, kusifia viuno vya wanaume wenzenu, wake zenu mnataka tuwatendee nn; ili tulipambanie life mpaka tufanikiwe pamoja na watoto wetu(Tulie kivulini)?
Asante mkuuNi kumuheshimu (kuwa cooperative) na kumsikiliza mwenza wako (kutokuwa mshindani na mbishi wakati wa majadiliano) kwenye majadiliano tumia suggestive language sio directive or commanding language, na kubwa kabisa kumsapot katika mapambano yake ya kimaisha aidha kwa kumpa moyo au kumpa ushauri unao ongeza mwanga/tija katika maono yake.
Wanaume ndio wanapenda hivyo in return mwanaaume anaweza kufanya chochote kukulinda na kuonyesha thamani Yako pale inapotokea mtu anaact ndivyo sivyo kwako.