Kwani wanaume ni mambo gani yanawapa amani mkifanyiwa na wake zenu?

3. Se_x Au mbususu, Tena umpe bila masharti Wala kinyongo na isiwe ndio fimbo akikuudhi humpi hapana, pia wakat unampa unampa ushirikiano kama wote.
Nakazia ✍️✍️
Tena hii ndo ungeweka namba 1
 
Mwanaume anapenda kwa vipande vipande kama kakupendea jicho ujue kuna alikopendea guu pia👌 na wanatulia wanapopataka sio kwenye sijui cha utii wala heshima ni mpaka apende mwenyewe, hawa viumbe hawashkiki, ndo walivoumbwa asa we jimwambafai kupitiliza 🙌UTAUMIA.
 
Hilo mbona tatizo dogo Sana. Akiwa hivyo hivyo rafurafu mtoe out mwende maeneo ambayo atakuta kuna wanawake wenzake wamependeza kweli kweli.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Mimi mwanamke nikimpenda hata awe Rafu mi namuona anang'aa Tu!.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
We si ulishaachana na yule jamaa aliyekuzalisha ambaye yupo daresalam?

Kaa kwa kutulia acha ukorofi
 
Sasa kwa kuwa ndani hamueleweki, kila siku kusifia michepuko, kusifia mahousegirl, kusifia viuno vya wanaume wenzenu, wake zenu mnataka tuwatendee nn; ili tulipambanie life mpaka tufanikiwe pamoja na watoto wetu(Tulie kivulini)?
UTIIFU!! Mke akiwa MTIIFU kwa Mumewe, amani, utulivu na upendo vitatawala ndani ya nyumba zenu.
 
Sawa bhana
 
Ni kumuheshimu (kuwa cooperative) na kumsikiliza mwenza wako (kutokuwa mshindani na mbishi wakati wa majadiliano) kwenye majadiliano tumia suggestive language sio directive or commanding language, na kubwa kabisa kumsapot katika mapambano yake ya kimaisha aidha kwa kumpa moyo au kumpa ushauri unao ongeza mwanga/tija katika maono yake.

Wanaume ndio wanapenda hivyo in return mwanaaume anaweza kufanya chochote kukulinda na kuonyesha thamani Yako pale inapotokea mtu anaact ndivyo sivyo kwako.
 
Asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…