Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kwenye imani yenu mnasherekea sikukuu ya kuzaliwa mtume wenu Muhammad wala hakuna kosa lolote wakristo walisema ni kosa kwao.
Huku kwenu mumekuwa na makatazo sana kwamba kusherekea happy birthday ya yesu ni haramu.
Naomba kuuliza kwenu kwani Quruan ina yesu gani maana mliyemtaja kwa jina lenu sisi tuna mtambua yesu.
Haya mnaweza kutupa kwamba happy birthday ya Muhammad ni bora tu