Kwani Yesu kwenye Quran inamtambuaje kwanini mnawapinga wakristo na sikukuu ya kuzaliwa

Waislam, Wayahudi na wakristo asili yao ni moja ila kuna maeneo wamekuja kuachana. Ni hivi

Waislam (waliojisalimisha kwa Mungu)..Ndio dini ambayo Mungu amewaumba wanaadamu wote hapa ulimwenguni. Kila kitu kitu kinakuja hapa duniani katika default mode kwa maana kikiwa ni Kiislam. Ila wazazi wa mtoto ndio humbadilisha kuwa Myahudi,mkristo,mmajusi,mpagani n.k

Uislam ni dini ya baba yetu ADAM. Kwa maana alikuwa amejisalimisha kwa Mungu mmoja tu asiyekuwa na mshirika.

Vizazi vyake vilipoendelea kukua na kusambaa ndio zikaja kuzuka dini potofu (imani potofu) za kishirikina (kuabudu masanamu) n.k

Mungu akaleta mitume na manabii wengi sana kuwalingania watu waache ibada za kishirikina na kurudi katika imani ya asili ya Uislam.

Baada ya miaka mingi sana akaja Mtume Ibrahim (a.s)..huyu alizaa watoto wawili ambao nao walikuwa ni manabii...Isihaka (isaaq) na Ismael (ishmael).

Isihaq ndio chimbuko la kizazi cha mayahudi na Ismael ndio chimbuko la waarabu.

Isihaq na kaka yake Ismael walikuwa ni waislam kwa maana walikuwa wakimuabudu Mungu mmoja tu..

Kizazi cha isihaq kiliendelea kutoa manabii na mitume mingi sana kwa ajili ya kuwaongoza wana wa israel mpaka pale Alipokuja mtume Mussa aliyepewa Torati.

Baada ya Mussa kufariki dini ya Uislam iliendelea kuwepo mpaka pale alipokuja Yesu mwana wa mariam.

Yesu alikuta dini hii ya Uislam imeharibiwa sana na waandishi wa kiyahudi..akaja kuwarekebisha...baadhi wakamuamini na wengi wakamkataa...Waliomkataa wao wakaendelea kushikilia uyahudi wao uliokuwa na upotovu ndani yake..na Yesu akaendelea na imani ya Uislam...

Baada ya kupaa kwa Yesu kwenda mbinguni kukazuka kundi lililojiita Wakristo (wanasara/ nazarenes) wakijinasibu kufuata mafundisho ya Yesu baadae hili kundi likaja kuchanganyika na mila za kipagani na ndio huu ukristo tunaouona leo (ukristo wa Paulo) wa imani ya utatu mtakatifu,mungu mwana n.k

Baada ya miaka 600 kuondoka kwa Yesu...Mungu akaleta mtume na nabii wa mwisho kwa ajili ya kuwalingania watu warejee tena katika imani ya asili ya dini ya Uislam.Ndipo akamleta mtume Muhammad (pbuh) kutokea katika uzao wa Ishmael( ismail) ambaye ni mtoto wa Ibrahim.

Wayahudi wao wamemkataa Yesu na Muhammad.

Wakristo wao wamemkataa Muhammad.

Waislam wao wamewakubali mitume yote ya Mungu (Mussa,Yesu na Muhammad)n.k

Mitume ya Mungu ipo 124,000.

Katika Quran, Mungu amewataja mitume 25 tu.

Mitume yote ni ndugu mmoja ila wamezaliwa kwa mama tofauti tofauti.
Na hii habari ya Mohamed kuoa watoto wa miaka 9+11 ni maagizo ya Allah?
 
Uislam na Quran vilizusha karne ya sita tu hapo hakuna ushahidi wowote wa uwepo wa huo uzushi kabla
 
Quran inasadikisha kuwa Mungu aliteremsha Injili.

Quran 3:3-4
" Amekuteremshia Kitabu (Quran) kwa haki, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili. Kabla yake, ziwe uwongofu kwa watu. Na akateremsha Furqani (Upambanuo). Hakika walio zikanusha Ishara za Mwenyezi Mungu watakuwa na adhabu kali. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye kulipa."

Swali lako kuhusu Yusuf na Mariam sijalielewa una maanisha nini...unaweza kuliweka vizuri ili nikujibu.
Hiyo Quran ilitelemshwa kutoa wapi na iliangushwa tu au ni mawazo ya wahuni walioamua kusema wametelemshiwa?
 
Sasa kama wewe mwenyw mwenye dini yako hujui unataka mm kobaz nikupe elimu Gani?
hata wewe huna elimu kuhusu uzushi uliozushwa karne ya sita na mtu aliyetumia kigezo cha kutojua kusoma na kuandika kama hoja ya kuaminiwa?
 
Ukitaka tutumie kigezo cha karne utakimbia maana manabii wote akiwemo na Yesu unaedai Mungu nae atakua ni mzushi vilevile
 
Ahsante sana kwa maswali yako...Pia napenda niitumie hiyohiyo Quran kukujibu hoja zako.

Quran 10:19

"Wala watu hawakuwa ila Umma mmoja tu. Kisha wakakhitalifiana. Na lau kuwa si neno lililo kwisha tangulia kutokana na Mola wako Mlezi, hapana shaka hukumu ingeli kwisha katwa baina yao katika hayo wanayo khitalifiana."

Kwenye haya hiyo hapo juu Mungu anatupa historia ya sisi wanaadamu tulipotokea....Anasema kuwa wanadamu wote hatukua isipokuwa ni Umma ( dini) moja tu...kisha baadae tukaja kuhitilafiana sisi kwa sisi na kukazuka dini tofauti tofauti.

Kwahiyo toka kwa Adamu dini ilikuwa ni moja tu ambayo ni UISLAM. Ila baada ya Adamu kufariki zikapita karne 10 baina yake mpka kufika kwa Nuh ndipo watu wakazusha ibada za kishirikina za kuabudu masanamu.

Ila kabla ya Nuh huko nyuma watu wote walikuwa ni dini moja tu.
Hapo juu bila kupepesa maneno umma maana yake ni jamiii au watu sio dini kama unavyotaka kuiweka wewe
Quran 30:30

" Basi uelekeze uso wako sawasawa kwenye Dini - ndilo umbile la Mwenyezi Mungu alilo waumbia watu. Hapana mabadiliko katika uumbaji wa Mwenyezi Mungu. Hiyo ndiyo Dini iliyo nyooka sawa. Lakini watu wengi hawajui."

Mungu katika aya hiyo hapo juu anatupa wosia wanaadamu kuwa tuelekeze nyuso zetu katika DINI na anatuelezea kuwa ndio umbile alilowaumbia watu. Kwa maana ya kuwa kila kiumbe kimeumbwa na kuzaliwa kikiwa katika hii dini ya asili ambayo ni UISLAM....ila wazazi wa mtoto ndio humbadili mtoto na kuwa katika imani za kikristo,kiyahudi,kimajusi ama kipagani.
Tueleze hio kuruani inabadilisha vitu maaana dini hapa imetajwa kimahususi sio umma kama unavyosema wewe
Quran 3:19
"
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu (wayahudi na wakristo) hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu."
Quran 3:85
"Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri"

Mungu anatubainishia kuwa dini ya kweli na ya haki aliyowaumbia nayo wanaadamu ni UISLAM na yeyote atakayekufa nje ya imani hii basi atakuwa amepata hasara kubwa sana na imani yake haitakubaliwa na Mungu.

Nikirudi katika swali lako la kwanza, nakujibu kama ifuatavyo...

Mtume Muhammad (pbuh) hakuwa muislam wa keanza hapa duniani bali alikuwa ni muislam wa kwanza katika umma wake yeye ambaye ni Mtume wa mwisho.

Ili kuthibitisha hilo Mungu ameeleza ndani ya Quran kuwa kulikuwa na waislam waliopata kuishi kabla ya Muhammad..
Sasa hapa unajichanganya unaposema mwamedi hakua muislam wa kwanza kwenye umma(jamii yake) wake maana yake haiwezi kua dini maana huwezi sema mtu hakua wa kwanza kwenye dini yake kwaio kwa mantiki hio umma sio dini bali ni jamii
Quran 3:84
"Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haak na Yaakub na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake"

Kwenye aya hapo juu,Mungu anamuamrisha Mtume Muhammad aseme kutwambia kuwa Sisi tumemuamini Mungu na aliyotuteremshia katika Quran na aliyowateremshia waislam waliopita kabla yetu Ibrahim,Ismail ishaaq, Yaqub na wajukuu zao, na kina Musa,Yesu na manabii wengine ambao Mungu kawataja na ambao hajawataja ndani ya Quran...

Hivyo Uislam haukuanzia kwa Mtume Muhammad bali ulikuwepo toka mwanadamu wa kwanza anaumbwa.
 
Waislam, Wayahudi na wakristo asili yao ni moja ila kuna maeneo wamekuja kuachana. Ni hivi

Waislam (waliojisalimisha kwa Mungu)..Ndio dini ambayo Mungu amewaumba wanaadamu wote hapa ulimwenguni. Kila kitu kitu kinakuja hapa duniani katika default mode kwa maana kikiwa ni Kiislam. Ila wazazi wa mtoto ndio humbadilisha kuwa Myahudi,mkristo,mmajusi,mpagani n.k

Uislam ni dini ya baba yetu ADAM. Kwa maana alikuwa amejisalimisha kwa Mungu mmoja tu asiyekuwa na mshirika.

Vizazi vyake vilipoendelea kukua na kusambaa ndio zikaja kuzuka dini potofu (imani potofu) za kishirikina (kuabudu masanamu) n.k

Mungu akaleta mitume na manabii wengi sana kuwalingania watu waache ibada za kishirikina na kurudi katika imani ya asili ya Uislam.

Baada ya miaka mingi sana akaja Mtume Ibrahim (a.s)..huyu alizaa watoto wawili ambao nao walikuwa ni manabii...Isihaka (isaaq) na Ismael (ishmael).

Isihaq ndio chimbuko la kizazi cha mayahudi na Ismael ndio chimbuko la waarabu.

Isihaq na kaka yake Ismael walikuwa ni waislam kwa maana walikuwa wakimuabudu Mungu mmoja tu..

Kizazi cha isihaq kiliendelea kutoa manabii na mitume mingi sana kwa ajili ya kuwaongoza wana wa israel mpaka pale Alipokuja mtume Mussa aliyepewa Torati.

Baada ya Mussa kufariki dini ya Uislam iliendelea kuwepo mpaka pale alipokuja Yesu mwana wa mariam.

Yesu alikuta dini hii ya Uislam imeharibiwa sana na waandishi wa kiyahudi..akaja kuwarekebisha...baadhi wakamuamini na wengi wakamkataa...Waliomkataa wao wakaendelea kushikilia uyahudi wao uliokuwa na upotovu ndani yake..na Yesu akaendelea na imani ya Uislam...

Baada ya kupaa kwa Yesu kwenda mbinguni kukazuka kundi lililojiita Wakristo (wanasara/ nazarenes) wakijinasibu kufuata mafundisho ya Yesu baadae hili kundi likaja kuchanganyika na mila za kipagani na ndio huu ukristo tunaouona leo (ukristo wa Paulo) wa imani ya utatu mtakatifu,mungu mwana n.k

Baada ya miaka 600 kuondoka kwa Yesu...Mungu akaleta mtume na nabii wa mwisho kwa ajili ya kuwalingania watu warejee tena katika imani ya asili ya dini ya Uislam.Ndipo akamleta mtume Muhammad (pbuh) kutokea katika uzao wa Ishmael( ismail) ambaye ni mtoto wa Ibrahim.

Wayahudi wao wamemkataa Yesu na Muhammad.

Wakristo wao wamemkataa Muhammad.

Waislam wao wamewakubali mitume yote ya Mungu (Mussa,Yesu na Muhammad)n.k

Mitume ya Mungu ipo 124,000.

Katika Quran, Mungu amewataja mitume 25 tu.

Mitume yote ni ndugu mmoja ila wamezaliwa kwa mama tofauti tofauti.
Kwamba Ezekiel ni ndugu wa Muhammad kwamba YHWH aliyeabudiwa na Jeremia ndo huyu Allah wa Muhammad?
 
We kwani huna Bando ?

Ayatollah Khomein Mwarabu Mkuu wa Uislamu tumesheherekea naye Chrismas Juzi:
Nyie Muslims Wagogo wa Dodoma munasema ni Haramu:
Mnazugwa namna Gani nyie...!
Ayatollah ni mwarabu tangu lini?
 
Back
Top Bottom