Hon
Nakujibu kwa hoja mbili na zitafakari .
1. Nadhan unajua maana ya kusilimu na unajua pia huwez kuwa Muislam bila kusilimu.
Na hapa wa kwanza Kuslim ni Mohamed.
Qutan 6 : 14
"Sema: Je, nimchukue rafiki mlinzi asiye kuwa Mwenyezi Mungu, ambaye ndiye Muumba mbingu na ardhi, naye ndiye anaye lisha wala halishwi? Sema: Mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wenye kusilimu. Na wala kabisa usiwe miongoni wa washirikina"
2. Huwez kuwa Muslam bila kukiri ile nguzo ya kwanza. Ambayo ni Shahada.
Shahada ni hii
"Nashuhudia kuwa hapana mungu anayestahiki kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah, na nashuhudia kuwa Muhammad ni Mtume wa Allah."
Sasa unionyeshe kuwa wap Adam, Na hao mitume mingne uliowataja wamefanya haya mawili hapa juu ukiacha Mohamed.
Mkono Mmoja Kazakh destroyer naomba ukijibu nitag