mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Mungu anazaliwaje?Wewe wasema
Mungu anazaliwaje?Wewe wasema
Mitume wote wamekuja na ujumbe mmoja watu wamuabudu Allah peke yake na wasimshirikishe na chochote, mitume wote ni ndugu na dini yao ni moja {uislamu} usiumie sana ukiskia uislamu mkuu, maana yake ni kujisalimisha tu kwa muumba wa mbingu na ardhi.Mkuu hizi mambo bhana zinachanganya sana , umetaja majina yote ya mitume/ manabii kiyahudi mara ukahamia kwa muarabu.Naomba kuelimishwa uhusiano wa Mitume na maNabii wa WaArab na Wayahudi maana ni kama ndugu hivi maana wote wametoa mitume na maNabii.
Waislam, Wayahudi na wakristo asili yao ni moja ila kuna maeneo wamekuja kuachana. Ni hiviMkuu hizi mambo bhana zinachanganya sana , umetaja majina yote ya mitume/ manabii kiyahudi mara ukahamia kwa muarabu.Naomba kuelimishwa uhusiano wa Mitume na maNabii wa WaArab na Wayahudi maana ni kama ndugu hivi maana wote wametoa mitume na maNabii.
Quran inasadikisha kuwa Mungu aliteremsha Injili.Quran kuamini kuwa Injili ni moja ya vitabu vitakatifu Kisha kupinga kilichoandikwa ndani huoni huo ni utapeli?
Imeandikwa wazi kuwa, Yusuph na Mariam hawakuwa biological father wala mama wa YESU.
Sasa huoni kuwa WEWE hujielewi?
Mathew,Luke,Mark, John ni baadhi ya vitabu ya Injili.Quran inasadikisha kuwa Mungu aliteremsha Injili.
Quran 3:3-4
" Amekuteremshia Kitabu (Quran) kwa haki, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili. Kabla yake, ziwe uwongofu kwa watu. Na akateremsha Furqani (Upambanuo). Hakika walio zikanusha Ishara za Mwenyezi Mungu watakuwa na adhabu kali. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye kulipa."
Swali lako kuhusu Yusuf na Mariam sijalielewa una maanisha nini...unaweza kuliweka vizuri ili nikujibu.
Wewe ndio umesema hivyoMungu anazaliwaje?
Quran 5:48Mkuu hizi mambo bhana zinachanganya sana , umetaja majina yote ya mitume/ manabii kiyahudi mara ukahamia kwa muarabu.Naomba kuelimishwa uhusiano wa Mitume na maNabii wa WaArab na Wayahudi maana ni kama ndugu hivi maana wote wametoa mitume na maNabii.
Unaweza kunitajia wasifu wa Mark,luke,matthew na John...hawa ni kina nani? majina ya baba zao,? Je kuna ushahidi kuwa walionana au kukutana na Yesu ana kwa ana?Mathew,Luke,Mark, John ni baadhi ya vitabu ya Injili.
Na vyote vimeeleza jinsi Mariam na Yusuph hawakuwa biological mother wala father wa YESU,
Vimeeleza wazi kuwa YESU ni MUNGU aliyekuja Katika mwili wa mwanadamu yaani Imanuel.
Sasa unaamini injili Kisha unapinga kilichoandikwa humo??
Unnajielewa?
Una elimu Gani?Unaweza kunitajia wasifu wa Mark,luke,matthew na John...hawa ni kina nani? majina ya baba zao,? Je kuna ushahidi kuwa walionana au kukutana na Yesu ana kwa ana?
Nimekuomba uthibitisho tu uniletee ushahidi unaoonesha kuwa Matthew,Luke,John na Mark walikuwa wanafunzi wa Yesu....Una elimu Gani?
Mathew alikuwa mwanafunzi wa YESU, Mark, John, Luke vile vile..
Sasa kuniuliza wanafunzi wa YESU walimwona YESU ana kwa ana ni swali Hilo?
Labda Mimi nikuulize swali!
Unaruhusiwa kuedit Quran kama ambavyo unaedit Injili mnayodai mnaiamini Islams?
Karibu
Waislam, Wayahudi na wakristo asili yao ni moja ila kuna maeneo wamekuja kuachana. Ni hivi
Waislam (waliojisalimisha kwa Mungu)..Ndio dini ambayo Mungu amewaumba wanaadamu wote hapa ulimwenguni. Kila kitu kitu kinakuja hapa duniani katika default mode kwa maana kikiwa ni Kiislam. Ila wazazi wa mtoto ndio humbadilisha kuwa Myahudi,mkristo,mmajusi,mpagani n.k
Uislam ni dini ya baba yetu ADAM. Kwa maana alikuwa amejisalimisha kwa Mungu mmoja tu asiyekuwa na mshirika.
Vizazi vyake vilipoendelea kukua na kusambaa ndio zikaja kuzuka dini potofu (imani potofu) za kishirikina (kuabudu masanamu) n.k
Mungu akaleta mitume na manabii wengi sana kuwalingania watu waache ibada za kishirikina na kurudi katika imani ya asili ya Uislam.
Baada ya miaka mingi sana akaja Mtume Ibrahim (a.s)..huyu alizaa watoto wawili ambao nao walikuwa ni manabii...Isihaka (isaaq) na Ismael (ishmael).
Isihaq ndio chimbuko la kizazi cha mayahudi na Ismael ndio chimbuko la waarabu.
Isihaq na kaka yake Ismael walikuwa ni waislam kwa maana walikuwa wakimuabudu Mungu mmoja tu..
Kizazi cha isihaq kiliendelea kutoa manabii na mitume mingi sana kwa ajili ya kuwaongoza wana wa israel mpaka pale Alipokuja mtume Mussa aliyepewa Torati.
Baada ya Mussa kufariki dini ya Uislam iliendelea kuwepo mpaka pale alipokuja Yesu mwana wa mariam.
Yesu alikuta dini hii ya Uislam imeharibiwa sana na waandishi wa kiyahudi..akaja kuwarekebisha...baadhi wakamuamini na wengi wakamkataa...Waliomkataa wao wakaendelea kushikilia uyahudi wao uliokuwa na upotovu ndani yake..na Yesu akaendelea na imani ya Uislam...
Baada ya kupaa kwa Yesu kwenda mbinguni kukazuka kundi lililojiita Wakristo (wanasara/ nazarenes) wakijinasibu kufuata mafundisho ya Yesu baadae hili kundi likaja kuchanganyika na mila za kipagani na ndio huu ukristo tunaouona leo (ukristo wa Paulo) wa imani ya utatu mtakatifu,mungu mwana n.k
Baada ya miaka 600 kuondoka kwa Yesu...Mungu akaleta mtume na nabii wa mwisho kwa ajili ya kuwalingania watu warejee tena katika imani ya asili ya dini ya Uislam.Ndipo akamleta mtume Muhammad (pbuh) kutokea katika uzao wa Ishmael( ismail) ambaye ni mtoto wa Ibrahim.
Wayahudi wao wamemkataa Yesu na Muhammad.
Wakristo wao wamemkataa Muhammad.
Waislam wao wamewakubali mitume yote ya Mungu (Mussa,Yesu na Muhammad)n.k
Mitume ya Mungu ipo 124,000.
Katika Quran, Mungu amewataja mitume 25 tu.
Mitume yote ni ndugu mmoja ila wamezaliwa kwa mama tofauti tofauti.
Waislam wanamtambuwa Yesu kama mtume wa Mungu,
Hoja ni kwamba kwenye biblia imeandikwa kwamba Roho mtakatifu alimshukia maria mwezi wa 6.
Sasa kama mtoto anazaliwa akiwa na miezi 9 tumboni,
Ukipiga hesabu kuanzia mwezi wa 6 ni kwamba Yesu atakuwa kazaliwa mwezi March na sio dec 25..
Je huyu aliyezaliwa tarehe 25 ni nani haswa?
Na kwann iwe xmass wakati kwenye biblia neno xmass halipo?
Nimekuomba uthibitisho tu uniletee ushahidi unaoonesha kuwa Matthew,Luke,John na Mark walikuwa wanafunzi wa Yesu....
Mpaka sasa hujaleta ushahidi...Haya nitajie wale wanafunzi 12 wa Yesu... nione kama Mark,Luke,John na Matthew walikuwepo au laa...
karibu tujadiliane kwa hoja na kwa ustaarabu bila kebehi wala matusi
Kwahyo hoja ni kwamba. Yesu hakuzaliwa dec 25 bali ni march 25.Hakuna amri ya kusheherekea siku za kuzaliwa. Ingawa kwenye Biblia kuna watawala walikuwa wanakumbuka na kufanya sherehe siku zao za Kuzaliwa (mfano Herode).
Kwahiyo ingawa hakuna amri ila pia sio kosa.
2. Ni watawala wa Kirum ndio waliweka tar 25 Dec. Na sio kwamba ndio siku haswaa Yesu Kristo amezaliwa.
Pia kumbuka kalenda ilibadilika.
April 01 inaitwa April fool kwasababu baada ya kalenda ya Gregory kukubalika kutumika ila kuna bado watu walikuwa wanatumia kalenda nyingnr ambayo 01 April ndio ilikuwa new Year . Na ndio wakaitwa Wajinga.
Na ndio maana 01 April ni siku ya wajinga.
Kwahyo hoja ni kwamba. Yesu hakuzaliwa dec 25 bali ni march 25.
kwani Xmas SI siku ya kuzaliwa mungu yesu au?Wewe ndio umesema hivyo
Halafu unaniuliza Mimi:
Hijistukii Muungwana
Nikuletee ushahidi upi na wapi?Nimekuomba uthibitisho tu uniletee ushahidi unaoonesha kuwa Matthew,Luke,John na Mark walikuwa wanafunzi wa Yesu....
Mpaka sasa hujaleta ushahidi...Haya nitajie wale wanafunzi 12 wa Yesu... nione kama Mark,Luke,John na Matthew walikuwepo au laa...
karibu tujadiliane kwa hoja na kwa ustaarabu bila kebehi wala matusi