Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Kila kitu kitu kinakuja hapa duniani katika default mode kwa maana kikiwa ni Kiislam.
Yesu alikuta dini hii ya Uislam imeharibiwa sana na waandishi wa kiyahudi..
Acha ubishi wa kpumbavu hakuna mwanafunzi wa Yesu hata mmoja katika hao matapel uliowataja, hata kumuona hawajawah kumuonaNikuletee ushahidi upi na wapi?
Nimesema mnaiamini injili na hamuisomi!
Soma injili utajua hao nilitaja ni wanafunzi wa YESU,
Mkuu nielimishe kwa kuwataja wanafunzi wa Yesu waukweli ambao waliishi nae kipindi chake chote na si hawa matapeliAcha ubishi wa kpumbavu hakuna mwanafunzi wa Yesu hata mmoja katika hao matapel uliowataja, hata kumuona hawajawah kumuona
Kawatafute maana ni 12 na hao matapel hawapo kwenye hao 12Mkuu nielimishe kwa kuwataja wanafunzi wa Yesu waukweli ambao waliishi nae kipindi chake chote na si hawa matapeli
Tafadhali nijifunze, Nielimishe kwa kuwataja maana mi sijaona wengine mkuu.Kawatafute maana ni 12 na hao matapel hawapo kwenye hao 12
KwaheriTafadhali nijifunze, Nielimishe kwa kuwataja maana mi sijaona wengine mkuu.
Sasa mkuu hapa tupo kuelimishana siyo kukimbiana hivi, tafadhali nipe Irimu na mimi niwajue kama wewe.Kwaheri
Sasa kama wewe mwenyw mwenye dini yako hujui unataka mm kobaz nikupe elimu Gani?Sasa mkuu hapa tupo kuelimishana siyo kukimbiana hivi, tafadhali nipe Irimu na mimi niwajue kama wewe.
Ahsante sana kwa maswali yako...Pia napenda niitumie hiyohiyo Quran kukujibu hoja zako.Hon
Nakujibu kwa hoja mbili na zitafakari .
1. Nadhan unajua maana ya kusilimu na unajua pia huwez kuwa Muislam bila kusilimu.
Na hapa wa kwanza Kuslim ni Mohamed.
Qutan 6 : 14
"Sema: Je, nimchukue rafiki mlinzi asiye kuwa Mwenyezi Mungu, ambaye ndiye Muumba mbingu na ardhi, naye ndiye anaye lisha wala halishwi? Sema: Mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wenye kusilimu. Na wala kabisa usiwe miongoni wa washirikina"
2. Huwez kuwa Muslam bila kukiri ile nguzo ya kwanza. Ambayo ni Shahada.
Shahada ni hii
"Nashuhudia kuwa hapana mungu anayestahiki kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah, na nashuhudia kuwa Muhammad ni Mtume wa Allah."
Sasa unionyeshe kuwa wap Adam, Na hao mitume mingne uliowataja wamefanya haya mawili hapa juu ukiacha Mohamed.
Mkono Mmoja Kazakh destroyer naomba ukijibu nitag
Hakuna umuhimu wa Adam kusilimu kwasababu aliumbwa hali ya kuwa ni Muislam...Na watoto wake aliwazaa wakiwa ni waislam kama ambavyo leo hii mtoto akizaliwa na mzazi wa kiislam hatakiwi kusilimu kwasababu tayari ni muislam.Hon
Nakujibu kwa hoja mbili na zitafakari .
1. Nadhan unajua maana ya kusilimu na unajua pia huwez kuwa Muislam bila kusilimu.
Na hapa wa kwanza Kuslim ni Mohamed.
Qutan 6 : 14
"Sema: Je, nimchukue rafiki mlinzi asiye kuwa Mwenyezi Mungu, ambaye ndiye Muumba mbingu na ardhi, naye ndiye anaye lisha wala halishwi? Sema: Mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wenye kusilimu. Na wala kabisa usiwe miongoni wa washirikina"
2. Huwez kuwa Muslam bila kukiri ile nguzo ya kwanza. Ambayo ni Shahada.
Shahada ni hii
"Nashuhudia kuwa hapana mungu anayestahiki kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah, na nashuhudia kuwa Muhammad ni Mtume wa Allah."
Sasa unionyeshe kuwa wap Adam, Na hao mitume mingne uliowataja wamefanya haya mawili hapa juu ukiacha Mohamed.
Mkono Mmoja Kazakh destroyer naomba ukijibu nitag
Mkuu kobaz ndo nini tenaππwewe nipe elimu!Sasa kama wewe mwenyw mwenye dini yako hujui unataka mm kobaz nikupe elimu Gani?
Kusilimu maana yake ni kukiri mwa moyo na kutamka kwa ulimi kuwa hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa MUNGU mmoja asiye na mshirika na kumkiri Mtume wa zama zako....hivyo waislam waliopita walikuwa wakishuhudia kuwa hakuna mola apasaye kuabudiwa isipokuwa Mungu mmoja na wanamkiri na kumkubali Mtume wa zama zao....Hon
Nakujibu kwa hoja mbili na zitafakari .
1. Nadhan unajua maana ya kusilimu na unajua pia huwez kuwa Muislam bila kusilimu.
Na hapa wa kwanza Kuslim ni Mohamed.
Qutan 6 : 14
"Sema: Je, nimchukue rafiki mlinzi asiye kuwa Mwenyezi Mungu, ambaye ndiye Muumba mbingu na ardhi, naye ndiye anaye lisha wala halishwi? Sema: Mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wenye kusilimu. Na wala kabisa usiwe miongoni wa washirikina"
2. Huwez kuwa Muslam bila kukiri ile nguzo ya kwanza. Ambayo ni Shahada.
Shahada ni hii
"Nashuhudia kuwa hapana mungu anayestahiki kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah, na nashuhudia kuwa Muhammad ni Mtume wa Allah."
Sasa unionyeshe kuwa wap Adam, Na hao mitume mingne uliowataja wamefanya haya mawili hapa juu ukiacha Mohamed.
Mkono Mmoja Kazakh destroyer naomba ukijibu nitag
Jibu lako ni hili hapaMkono Mmoja
si wayahudi na wakristo tulikuwa na gombo pamoja na chuo hata, na ndivyo vilitumika enzi na enzi hata yesu alipokuja duniani alivitumia vitabu hvyo
swali: hao unaodai kuwa walikuwa waislamu walitumia kitabu gani wakati quaran ya kwanza aliteremshiwa mohamedi miaka kadhaa baada ya uwepo wa kristo?
kumbuka mohamed alizaliwa mwaka 576 BK (BAADA YA KRISTO)
umemezeshwa sumu na hutaki kuishughulisha akili yako kusoma na kuutambua ukweliKuna dini inatukuza san majini na kuona fahari mtu kuwa nayo siwezi kushindana nao
UarabuniKwani quruan imetoka wapi?
Yaani wenye dini yao Waislamu Waarabu wa Saudi Arabia waliojenga Al-Kaaba wanasheherekea Maulidi:Ni haramu
Peleka upuuzi wako huko. Huyo allah ukimuabudu wewe na wafuga majini wenzio inatosha. Usilazimishe watu wengine wamuabudu.Mitume wote wamekuja na ujumbe mmoja watu wamuabudu Allah peke yake na wasimshirikishe na chochote, mitume wote ni ndugu na dini yao ni moja {uislamu} usiumie sana ukiskia uislamu mkuu, maana yake ni kujisalimisha tu kwa muumba wa mbingu na ardhi.