Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Kila sehemu ina sheria zake usiwe mjinga na mpumbavu ,unafikiria demokrasia ni kila mahali tafuta exposure unaonekana mjinga sana😅😅
Wewe ni mpumbavu akili zangu haziwezi fanana na zako shukuru hata nimekujibu.
 
Screenshot_20240329-123605_Chrome.jpg


Ujinga wanaufanya CCM lakini mzigo unabebeshwa uislamu.
 
Nilikua nawaza hivi wakati wakristo wanaoishi zanzibar wanafunga huwa hakuna waislamu wanaokula hadharani!? Huwa wanakamatwa na kuwekwa Jela pia?
Umeuliza swali au umetoa jibu?
 
Heshimuni imani za watu na kuweni wastaarabu.
Ushaona asilimia kubwa ya watu wa Zanzibar ni waislam na wanafunga kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Inakuaje wewe kwa kukosa ule mchana wazi wazi kila mtu akuone. Si ujifungie ndani ule ukimaliza toka nje. Simple tu.
Heshima ina kawaida ya kutolewa na kupokewa.Wewe umefunga kwa imani yako,vema. Unataka uheshimiwe,sawa.Na asiyekuwa wa imani yako na ambaye hafungi unapaswa kumuheshimu vilevile.Usawa uwepo.Kwani amekulisha au anakula chakula chake tu?
 
Ilikuwa ni miaka sita nyuma ,ila tatizo lenu mnapenda kufuata mkumbo 😅😅😅.

Chuki mbaya sana ,huyo mtu akiwa hana hela hwezi kumsaidia ila unataka kupambana ...Wenzenu wamecheza na akili ya ishu ya kosa lile ili kuleta chuki.


Kwani ile ishu ya Joshua Mollel imeishia wapi?

Siku mbili tu mnapoa kama matokea ya mpira.!😅😅
20240329_120720.jpg
 
Nikienda Zanzibar ni lazima niongozane na Bodyguard wangu.

20240327_131810.jpg


KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Wakristo ni watu wenye hekima, busara, wastahimilivu na civilized sana nahisi pengine ni kwasababu ya mafundisho kwenye biblia.
Acha kujidanganya kuna Wakristo wafia dini wanaweza kuleta machafuko kwenye hii Nchi. Wafia dini wako pande zote mbili.
 
Huyo atakuwa ana shida kichwani naona wanataka kutupeleka Nigeria vita vya wakristo na waislam au zama za JK fujo ja mabucha ya ng'ombe na tindikali
Kwani unaushahidi aliokamatwa ni Mkristo?? Waacheni wajiamulie mamboyao sisi huku tunatia moto wezi wa kuku bila kujali dini zao..safisana Zanziber sheria ya Allah lazima ifuatwe.
 
Ni sheria za nchi ya Zanzibar. Sasa unataka kupingana na Serikali?
Heshima ina kawaida ya kutolewa na kupokewa.Wewe umefunga kwa imani yako,vema. Unataka uheshimiwe,sawa.Na asiyekuwa wa imani yako na ambaye hafungi unapaswa kumuheshimu vilevile.Usawa uwepo.Kwani amekulisha au anakula chakula chake tu?
 
Acha kujidanganya kuna Wakristo wafia dini wanaweza kuleta machafuko kwenye hii Nchi. Wafia dini wako pande zote mbili.
Wafia Dini unamaanisha Jihad Ile ya Waislamu au unamaanisha nini kuritad Adhabu yake kukatwa kichwa Si ndio?
 
Back
Top Bottom