Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Kwamba Rais mpaka sasa haoni kile kinacho endelea Zanzibar ? Au kwa sababu ni watu wa imani yake na ndugu zake Wazanzibari ?

Mnataka mturudishe kwenye fujo za mabucha ya ng'ombe wakati wa Jakaya ?
Nimeona video jamaa anapigwa kwa kula mchana,wanamuambia huku sio Bara

Uislam ni kazi sana 😀😇
 
Wakristo ni watu wenye hekima, busara, wastahimilivu na civilized sana nahisi pengine ni kwasababu ya mafundisho kwenye biblia.
 
Sheria za kishenzi hazina nafasi katika Jamhuri ya watu wote na wa dini zote na hata wale wasio na dini.

Na hata hiyo sheria nikikuambia unitajie hautaweza kufanya hivyo
Kila sehemu ina sheria zake usiwe mjinga na mpumbavu ,unafikiria demokrasia ni kila mahali tafuta exposure unaonekana mjinga sana😅😅
 
Heshimuni imani za watu na kuweni wastaarabu.
Ushaona asilimia kubwa ya watu wa Zanzibar ni waislam na wanafunga kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Inakuaje wewe ule mchana wazi wazi kila mtu akuone. Si ujifungie ndani ule ukimaliza toka nje. Simple tu.
 
Nilikua nawaza hivi wakati wakristo wanaoishi zanzibar wanafunga huwa hakuna waislamu wanaokula hadharani!? Huwa wanakamatwa na kuwekwa Jela pia?
 
Back
Top Bottom